Alright. Kwa hapo siwezi kusema kama ni arthritis.
Ila ina kawaida ya kufanya recurrence (kujirudia).
Kitendo cha kutumia pain killer kama hiyo Diclofenac kinakupa relief ya muda mfupi tu kama ugonjwa kweli upo, shambulizi litarudiwa.
Kwa sasa relax, inawezekana haukuwa na tatizo kubwa.
Inawezekana ni kwa sababu ya mazoezi makali uliyoyafanya, ukapata upungufu wa potassium au calcium kutokana na ku sweat sana, ambapo hali zote hizo zinapelekea mwili kuchoka ikiambatana na maumivu ya nyama na mifupa.