Nitumie njia gani niisahau pombe?

Nitumie njia gani niisahau pombe?

Kunywa Bia 1?

Hapo unakunywa bia au unasafisha koromeo tu mkuu?
Unaweza kunywa bia moja tu tena na chakula inakua poa sana. Kwa mfano bia, ugali, nyama choma na kachumbari.
 
Unaweza kunywa bia moja tu tena na chakula inakua poa sana. Kwa mfano bia, ugali, nyama choma na kachumbari.
Yaan nikishakula nashushia bia moja hlf naona niongeze ya pili nichangamshe kichwa hlf naona tena haijakolea naongeza ya tatu najiona angalau imeanza kukolea naamua ya mwisho aah mwisho nasema sa nakunywa ili nileww au niumize kichwa? Weita hebu ongeza tatu hapa ninywe nisepe lol
 
Neno vilabuni huwa linanichekesha sana!😂Yeye ikishafika jioni ni kuwaza tu vilabu vya pombe!😅
Yani anaakili mbaya sana.😁😁sijui huko vilabuni kuna kuwaga na totozi za maana !!!
Dawa yake ni kumuwekea upupu kwenye ulabu atie adabu
 
Walevi konki hua wanaulizana kwani unataka ufe na ini zako zikiwa nzima ili ukazifanyie nini?
Bahati nzuri ukiumwa matibabu unajigharimia mwenyewe. Matajiri wanaweza kununua ini India. Apeche alolo tunakulia ubwabwa na kusema RIP.
 
Mwenzenu nikinywa pombe usiku asubuhi najuta sana najuta kwanini nilikunywa lakini huwa sifanyi kibaya kwa maana nikishajiona nimelewa tu huwa natoroka narudi kulala ila majuto yake ni makubwa sana lakini cha kushangaza nashindwa kuacha naeza nikakaa nikapata kiu nikanywa halafu tena baadaye najuta.

Kwa mliofanikiwa kuacha mlifanyaje?
Hebu weka wazi, unajutia nini? Kupoteza hela? Imefanya dhambi? Unajutia nini hasa?
 
Bahati nzuri ukiumwa matibabu unajigharimia mwenyewe. Matajiri wanaweza kununua ini India. Apeche alolo tunakulia ubwabwa na kusema RIP.
Na baada ya muda na wao wanakuja kuimbiwa Parapanda kama kawa.

Au wenyewe hua wanaishi milele?
 
Bahati nzuri ukiumwa matibabu unajigharimia mwenyewe. Matajiri wanaweza kununua ini India. Apeche alolo tunakulia ubwabwa na kusema RIP.
Kufa kupo tu na kila kifo kina sababu yake..kuna wanaokufa na kansa na kuna wanaokufa na maleria..hapa dunian tunatafuta ahuen ya maisha kabla ya kufa ndo tunajikuta tumetumbukia huko
 
Kufa kupo tu na kila kifo kina sababu yake..kuna wanaokufa na kansa na kuna wanaokufa na maleria..hapa dunian tunatafuta ahuen ya maisha kabla ya kufa ndo tunajikuta tumetumbukia huko
Afya ni asset isiyo nunulika lakini inatunzika. Ukiilinda afya yako utaweza kupigana na maisha na uzeeni uishi bila stress.
 
Ukiamua kuacha pombe unaaacha vizuri tu,ujue mambo mengi tunayoyafanya ni kujiendekeza,ukijinedekeza kufanya jambo flani inakujengea mazoeza na hali ya kutamani kufanya!! Kuna mtu alikuwa kila msosi lazima ashushie na soda yaani hawezi kupiga msosi bila soda pembeni lakini kwasasa kashaacha fresh tu! Weka dhamira kwamba kwasasa sitaki kunywa pombe na pia epuka vitu vinayokufanya utamamani pombe.
Kaka umeongea kihekima zaidi si kiuhalisia, kuacha mazoea si pombe tu inahitaji jitihada sana, kwani kuna vitu vingine ninachangia hayo mazoea, so si rahisi
 
simple, acha kazi au kama umejiajiri honga hadi mtaji. Ukiendelea kua mlevi we ni minidevil
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom