Nitumie njia gani niisahau pombe?

Nitumie njia gani niisahau pombe?

Hili ni janga kwa Sasa Cha muhimu amua toka moyoni utafanikiwa tu kuacha niamini mimi
 
Kweli ni mtihani mgumu Sana,hata wakawepo wengine wakidai Kuna dawa ya kuacha kitu ambacho Mimi siafiki.Nilitumia Sana pombe kipindi kirefu hatua niliyofikia mwenyewe niliamini siwezi Tena kuiacha,ilitokea siku moja katika tafakuri ya kina nilijihoji binafsi nimefaidika na Nini kwa unywaji was pombe na nimepata hasara gani?kweli kuanzia hapo niliichukia pombe na kuisema Sana Tena kuisema vibaya hatimaye nilitangaza Vita na hata kuishinda.Imani yangu kubwa no kwamba Mungu ndiyo aliniwezesha kuishinda,hivyo kitendo Cha wewe kuichukia no mwanzo mzuri was kuiacha mwombe Mungu atakuvusha
Ushauri mzuri sana
 
Ukishakunywa pombe, ,tafuta sehemu kama kuna wahuni uchochoroni jiangushe hapo,,
Shusha suruali hadi magotini ,,hakikisha makalio yako yaelekee juu..

Lala hapo hadi asubuhi .

Kesho asubuhi kukikucha hutotamani tena pombe.

Au huenda ukahama na mji kabisa
 
Yaan nimeshtuka saa kumi alfajiri nikawa najuta sana kwanini nimekunywa tena? Imekuaje? Mpaka sahiz nipo kitandan hata kazin sijaenda nimesema nitafute njia leo ya kunisaidia niache kabisa
Kunywa siku ambayo unajua kesho hauendi kazini
 
Ahaaahaaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]
Piga kachumbari na samaki choma apo pande za Kawe beach dah una shushia na za vugu vugu kama kumi una pumua kidogo kwa 'round ya pili eti mtu ana kuambia me nina pigaga 2 au 4 🙆
Me 10 bado network na server zina kuwa down
 
Kuna kitu kinaitwa 'relapse'. Hao walioacha kwa jitihada zao most likely in the future watarudi kulekule walikotoka. The only way ya kuacha permanently ni kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi. Yeye pekee ndiye alikufa kwa ajili ya maovu ya wanadamu.
Hebu jaribu basi kuileta hiyo imani yako katika uhalisia wa maisha wote tuweze kwenda sawa,kwa sababu hapo maelezo ni kana kwamba unatuambia kuwa ili mtu aache addition lazima awe mkristo kinyume na hivyo haiwezekani. Hebu fafanua maana unajua humu watu tuna mitazamo tofauti na tunaitizama dunia tofauti kutokana na hizo tofauti za mitazamo.
 
Kaka umeongea kihekima zaidi si kiuhalisia, kuacha mazoea si pombe tu inahitaji jitihada sana, kwani kuna vitu vingine ninachangia hayo mazoea, so si rahisi
Ni kweli inahitaji jitihada kama watu wanaacha NGADA ambapo ni kazi sana kuliko vitu vyote kuacha lakini wanaacha ndio itakuwa pombe ambayo haina alosto yeyote?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom