careenjibebe
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,604
- 1,655
- Thread starter
- #41
Dah!Wala usijisumbue, nimeshajaribu sana, haiwezekani...!
Dah!Wala usijisumbue, nimeshajaribu sana, haiwezekani...!
Vitu vinavyonifanya nitaman pombe ni pamoja na aibu kingine mapenz..yaan ili nifanye ngono ninywe..sasa hapo nafanyaje na kisu kimegusa mfupa?Ukiamua kuacha pombe unaaacha vizuri tu,ujue mambo mengi tunayoyafanya ni kujiendekeza,ukijinedekeza kufanya jambo flani inakujengea mazoeza na hali ya kutamani kufanya!! Kuna mtu alikuwa kila msosi lazima ashushie na soda yaani hawezi kupiga msosi bila soda pembeni lakini kwasasa kashaacha fresh tu! Weka dhamira kwamba kwasasa sitaki kunywa pombe na pia epuka vitu vinayokufanya utamamani pombe.
Ila nilisikoaga kuna bini mmoja huko Dodoma anakupa kikombr cha dawa unakunywa, ukinywa unatapika sana, baada ya hapo ukisikiantu harufu ya pombe unapata kichefuchefu, kuna jamaa kaacha kwa njia hiyo, hagusi pombeYaan nimeshtuka saa kumi alfajiri nikawa najuta sana kwanini nimekunywa tena? Imekuaje? Mpaka sahiz nipo kitandan hata kazin sijaenda nimesema nitafute njia leo ya kunisaidia niache kabisa
Shukran saaana!!!somo zuri sana kwangu na nomba nilikop kabisa uwe muongozo wangu!!Wewe hujutii kulewa, Ila unajutia pesa uliyotumia kulewa Asubuhi unajikuta unaogopa kuchungulia wallet maana salio halizidi buku tatu. Na una lewa kila ukipata pesa maana huna mpangilio.
Tatizo unalewa bila kanuni, leo nakupa zakwangu Tano zingine wadau wataongeza.
1.Nalewa kujipongeza au kupiga akili changamoto iliyombele yangu naitatua vipi.
2. Sichanganyi pesa ya kulewa na bajeti nyingine, hapa Nina maana ukinikuta bar hata Nina million mbili mfuko wa shati Kama bajeti ya pombe Ni buku ishirini hapo haizidi ikiisha natembea.
3. Nahakikisha nimekula na kushiba vizuri kuzuia hangover Asubuhi.
4.Nalewa nikihisi akili yangu imechoka kwa hiyo naichosa zaidi na pombe ili ikiamka iwe na nguvu mpya.
5. Nalewa kutafuta misimamo ya maisha pale ninapokwazwa Basi huwa naepusha madhara kwa kupuuzia kero ZOTE ikiwa Ni pamoja na kuondoa kinyongo.
"IF YOU WHAT TO BE A PLAYER YOU MUST KNOW THE RULES"
Kama aibu vaa miwani usione gere na kama mapenzi fanya mazoezi jichoshe mwili uachane kuwaza ngono.Vitu vinavyonifanya nitaman pombe ni pamoja na aibu kingine mapenz..yaan ili nifanye ngono ninywe..sasa hapo nafanyaje na kisu kimegusa mfupa?
Siamini sana kwenye dawa lakini naweza kujaribuIla nilisikoaga kuna bini mmoja huko Dodoma anakupa kikombr cha dawa unakunywa, ukinywa unatapika sana, baada ya hapo ukisikiantu harufu ya pombe unapata kichefuchefu, kuna jamaa kaacha kwa njia hiyo, hagusi pombe
Hutakiwi kuzisikia kichwani, kunywa Pombe ni social activity, mnaongea na wenzako na kubadilisha ana mawazo. Ukianza kuisikia kichwani kuna hatari ya kuitegemea pombe kwa furaha yako.Asee namie nimefikia kiwango ambacho mtu anayekunywa bia mbili namshangaa maana mie sizisii kichwan kabisa ni kama nimekunywa maji tu
Ngoja nikanunue miwan leo sema sasa ofisini unaingiaje na miwan ya giza?Kama aibu vaa miwani usione gere na kama mapenzi fanya mazoezi jichoshe mwili uachane kuwaza ngono.
Beer?Hili nalo ni tatizo jingine..ili niienjoy sexs ninywe kiasi
Sa pombe inanifanya najuta! Hata mie sielew itakuaje nikitaka kujiburudisha lakin inabid niacheFanya vyote mdogo angu hila usiache pombe sa utakuwa unafanya nn?
Pia tumpige virungu vya utosini!Unajiendekeza.unahitaji viboko vingi mno
Pole Sana mkuu ila ungekuwa Kigoma Kuna dawa Mama mmoja anatoa unachanganya na pombe unakunywa Wengi wameacha kabisa na walikuw ma amada wazuri kuliko wew..Mwenzenu nikinywa pombe usiku asubuhi najuta sana najuta kwanini nilikunywa lakini huwa sifanyi kibaya kwa maana nikishajiona nimelewa tu huwa natoroka narudi kulala ila majuto yake ni makubwa sana lakini cha kushangaza nashindwa kuacha naeza nikakaa nikapata kiu nikanywa halafu tena baadaye najuta.
Kwa mliofanikiwa kuacha mlifanyaje?
Unawaambia naumwa macho!! Nimeshauriwa nivae GOGOZI kuzuia mwanga wa taa na jua.Ngoja nikanunue miwan leo sema sasa ofisini unaingiaje na miwan ya giza?
Ata mimi nikinywa najuta sana mpaka nawachukia wanaonifanya ninywe sasa nikiacha pombe naona sina starehe nyingine wanawake wananishinda naona sio vitu zangu mimi ponbe na mziki nikilewa nacheza sana alafu baadae najuta sana lakini sina jinsi naona ninywe tuSa pombe inanifanya najuta! Hata mie sielew itakuaje nikitaka kujiburudisha lakin inabid niache
Doh! Mkuu angalau tupunguze tuAta mimi nikinywa najuta sana mpaka nawachukia wanaonifanya ninywe sasa nikiacha pombe naona sina starehe nyingine wanawake wananishinda naona sio vitu zangu mimi ponbe na mziki nikilewa nacheza sana alafu baadae najuta sana lakini sina jinsi naona ninywe tu
Format kichwaMwenzenu nikinywa pombe usiku asubuhi najuta sana najuta kwanini nilikunywa lakini huwa sifanyi kibaya kwa maana nikishajiona nimelewa tu huwa natoroka narudi kulala ila majuto yake ni makubwa sana lakini cha kushangaza nashindwa kuacha naeza nikakaa nikapata kiu nikanywa halafu tena baadaye najuta.
Kwa mliofanikiwa kuacha mlifanyaje?