careenjibebe
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,604
- 1,655
Mwenzenu nikinywa pombe usiku asubuhi najuta sana najuta kwanini nilikunywa lakini huwa sifanyi kibaya kwa maana nikishajiona nimelewa tu huwa natoroka narudi kulala ila majuto yake ni makubwa sana lakini cha kushangaza nashindwa kuacha naeza nikakaa nikapata kiu nikanywa halafu tena baadaye najuta.
Kwa mliofanikiwa kuacha mlifanyaje?
Kwa mliofanikiwa kuacha mlifanyaje?