Nitumie njia gani niisahau pombe?

Nitumie njia gani niisahau pombe?

Yaan nimeshtuka saa kumi alfajiri nikawa najuta sana kwanini nimekunywa tena? Imekuaje? Mpaka sahiz nipo kitandan hata kazin sijaenda nimesema nitafute njia leo ya kunisaidia niache kabisa
Nitafute 0744 033 555 ninayo namna ya kukusaidia.
Thank me later
 
Mwenzenu nikinywa pombe usiku asubuhi najuta sana najuta kwanini nilikunywa lakini huwa sifanyi kibaya kwa maana nikishajiona nimelewa tu huwa natoroka narudi kulala ila majuto yake ni makubwa sana lakini cha kushangaza nashindwa kuacha naeza nikakaa nikapata kiu nikanywa halafu tena baadaye najuta.

Kwa mliofanikiwa kuacha mlifanyaje?
Ni kwanini,unakuwa umetumia pesa bila mpangilio?huwa inakutesa? au umekaririshwa kuwa pombe ni mbaya ndio maana unajuta kuinywa...?
 
simple, acha kazi au kama umejiajiri honga hadi mtaji. Ukiendelea kua mlevi we ni minidevil
Umenichekesha sana! Hujaona watu wamepoteza kazi wanakua walevi kupindukia? Niliwah kupoteza kazi miaka ya nyuma nilikua siwez kupata usingizi mpaka ninywe vinginevyo ntakesha kbisa na mchana pia utapita bila lepe la usingizi
 
Dawa ni kwamba siku moja ufyonze mtindi vizuri afu kaanguke karibu na kijiwe cha wahuni..amini nakuambia utaamka ukiwa umelowana na hutorudia tena pombe
 
Yaan nimeshtuka saa kumi alfajiri nikawa najuta sana kwanini nimekunywa tena? Imekuaje? Mpaka sahiz nipo kitandan hata kazin sijaenda nimesema nitafute njia leo ya kunisaidia niache kabisa
Mkuu fanya uende job bhana...
 
Mwenzenu nikinywa pombe usiku asubuhi najuta sana najuta kwanini nilikunywa lakini huwa sifanyi kibaya kwa maana nikishajiona nimelewa tu huwa natoroka narudi kulala ila majuto yake ni makubwa sana lakini cha kushangaza nashindwa kuacha naeza nikakaa nikapata kiu nikanywa halafu tena baadaye najuta.

Kwa mliofanikiwa kuacha mlifanyaje?
Mtumikie mungu kwa dhati. Na kwa nguvu zako zote. Utajikuta umesahau kutumia hicho Kinywaji haramu
 
Mwenzenu nikinywa pombe usiku asubuhi najuta sana najuta kwanini nilikunywa lakini huwa sifanyi kibaya kwa maana nikishajiona nimelewa tu huwa natoroka narudi kulala ila majuto yake ni makubwa sana lakini cha kushangaza nashindwa kuacha naeza nikakaa nikapata kiu nikanywa halafu tena baadaye najuta.

Kwa mliofanikiwa kuacha mlifanyaje?
Kweli ni mtihani mgumu Sana,hata wakawepo wengine wakidai Kuna dawa ya kuacha kitu ambacho Mimi siafiki.Nilitumia Sana pombe kipindi kirefu hatua niliyofikia mwenyewe niliamini siwezi Tena kuiacha,ilitokea siku moja katika tafakuri ya kina nilijihoji binafsi nimefaidika na Nini kwa unywaji was pombe na nimepata hasara gani?kweli kuanzia hapo niliichukia pombe na kuisema Sana Tena kuisema vibaya hatimaye nilitangaza Vita na hata kuishinda.Imani yangu kubwa no kwamba Mungu ndiyo aliniwezesha kuishinda,hivyo kitendo Cha wewe kuichukia no mwanzo mzuri was kuiacha mwombe Mungu atakuvusha.
 
Ameen!!! Nashukuru mkuu wacha namie niianze safar
 
Mwenzenu nikinywa pombe usiku asubuhi najuta sana najuta kwanini nilikunywa lakini huwa sifanyi kibaya kwa maana nikishajiona nimelewa tu huwa natoroka narudi kulala ila majuto yake ni makubwa sana lakini cha kushangaza nashindwa kuacha naeza nikakaa nikapata kiu nikanywa halafu tena baadaye najuta.

Kwa mliofanikiwa kuacha mlifanyaje?
Kweli ni mtihani mgumu Sana,hata wakawepo wengine wakidai Kuna dawa ya kuacha kitu ambacho Mimi siafiki.Nilitumia Sana pombe kipindi kirefu hatua niliyofikia mwenyewe niliamini siwezi Tena kuiacha,ilitokea siku moja katika tafakuri ya kina nilijihoji binafsi nimefaidika na Nini kwa unywaji was pombe na nimepata hasara gani?kweli kuanzia hapo niliichukia pombe na kuisema Sana Tena kuisema vibaya hatimaye nilitangaza Vita na hata kuishinda.Imani yangu kubwa no kwamba Mungu ndiyo aliniwezesha kuishinda,hivyo kitendo Cha wewe kuichukia no mwanzo mzuri was kuiacha mwombe Mungu atakuvusha
 
Tafuta mwanamke mzuri Kisha mruhusu akutawale, yaani hata hela atunze yeye.
Siku mbili nyingi utakua kwenye mstari
 
Mpokee Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako. Yeye pekee ndiye mwenye uwezo wa kukuondolea tamaa ya pombe na tamaa ya maovu mengine for that matter. Kinyume cha hapo, hakuna msaada pengine popote.
 
Matangazo ya dini sasa hayo,mbona kuna watu wameacha ulevi na uteja pasina kuhusika imani zao za dini.
 
Kuna kitu kinaitwa 'relapse'. Hao walioacha kwa jitihada zao most likely in the future watarudi kulekule walikotoka. The only way ya kuacha permanently ni kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi. Yeye pekee ndiye alikufa kwa ajili ya maovu ya wanadamu.
 
Pombe hata ukiwa huna hela unakunywa tu..wanywaji wanapendana sana
Hakuna watu wana ushirikiano kama walevi.
Yaani utakuta walevi wa Kigamboni wanajuana hadi na walevi wa Tabata.
Na walevi wakionana bar hata kama hawajuani muda huo huo wanazoeana na kuwa ndugu.
 
Aise iyo kitu mwenyewe Ina nitesa Sana Kwanza heal natumia nyingi nikinywa pombe najuta Sana kesho yake utakuta Sina raha kabisa hang over kibao

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom