Nitumie njia gani niisahau pombe?

Nitumie njia gani niisahau pombe?

Pole Sana mkuu ila ungekuwa Kigoma Kuna dawa Mama mmoja anatoa unachanganya na pombe unakunywa Wengi wameacha kabisa na walikuw ma amada wazuri kuliko wew..
Shukran mkuu! Lakn sasa ndo hayo mambo ya kutapika au?
 
hujanywa na kushiba, toa siku moja unywe mpaka ushibe. Nadhani yatakayokukuta baadae utaamua kuacha.
Mimi naeza kunywa kuanzia asubuhi mpaka jioni na kesho nikanywa tena..yaan naweza kunywa wiki nzima bila wasiwasi..
 
Kama hulewi chakari,hutukani watu,hupigi watu,etc huwa unajutia kitu gani sasa?Yaani unakunywa zako pombe kisha unaenda zako nyumbani kirohoo safi kabisa halafu unajuta tena?Huwa unajutia nini?
Atakua ameliwa jicho huyo
 
Pombe si kitu kibaya ila binadamu wanaitumia vibaya. Pombe inaburudisha baada ya kazi ngumu. Raha ya pombe ni kunywa kiasi kidogo tu. Kama ni bia, moja au mbili zinatosha. Unasikiaje raha baada ya bia 5 au 7?

Mwanzo wa Wazungu kuanzisha Public Houses au Pubs ilikuwa ni sehemu ya wanaume kukutana na kubadilisha a mawazo. Kutokana na hali ya uchumi wanaume wengi wa ujira wa chini walimudu bia moja au mbili.

Siku hizi watu wanakunywa benefit yote. Matokeo yake ni kuongezeka kwa magonjwa yatokanayo na Pombe.
Kunywa Bia 1?

Hapo unakunywa bia au unasafisha koromeo tu mkuu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom