Nitatoa zawadi ya 200,000

Nitatoa zawadi ya 200,000

Mimi naona itakuwa fundisho. Uaminifu ni kitu cha bure. Na kaambiwa achukue elfu hamsini juu. Loh.
Mwache aanikwe tu. Wewe hayajakukuta
Hawa watoto tatizo kwakua wanatuona tunashinda nao humu na kutaniana nao, wanadhani tunafanana nao.
Kama jamaa ameshindwa kua muungwana, nami sioni ajizi kumuanika aiseeeee.... Na hii itakua fundisho kwa wenye tabia kama yake
 
huo ni kuchafuana brand!una uhakika gani kama ndio yeye?kosa ni kako au lake?kwa nini umejipa kazi ya polisi na mahakama?kama sio yeye uko tayari kumlipa fidia?achaupuuzi
Mtu kajieleza na ushahidi kaweka wewe unamuita mpuuzi.?! Katapeliwa na anatoa 200,000/ ukiwa na akili utajua kuwa jamaa amepoteza hela ndeefu. Vaa viatu vyake halafu utwambie ungefanyaje!!!
 
Jumapili nenda hapo kkkt kimara utamuona anasimama hapo alipopigia picha, akitaka kupiga nyingine au umwambie mchungaji atangaza hapo kanisani!
Lakini isije ikatokea ukamwaga machozi hapo kanisani maana ndipo hapo Bashite alipomwaga machozi!
 
Hawa watoto tatizo kwakua wanatuona tunashinda nao humu na kutaniana nao, wanadhani tunafanana nao.
Kama jamaa ameshindwa kua muungwana, nami sioni ajizi kumuanika aiseeeee.... Na hii itakua fundisho kwa wenye tabia kama yake
Utoto unawasumbua
 
Duh pole sana! ewe kaka jambazi rudisha pesa za watu, usawa huu mgumu alafu nahis atakua pia member wa humu keshajiona lol.
 
Jumapili nenda hapo kkkt kimara utamuona anasimama hapo alipopigia picha, akitaka kupiga nyingine au umwambie mchungaji atangaza hapo kanisani!
Lakini isije ikatokea ukamwaga machozi hapo kanisani maana ndipo hapo Bashite alipomwaga machozi!
Asante kwa ushauri wako mkuu
 
Mtu kajieleza na ushahidi kaweka wewe unamuita mpuuzi.?! Katapeliwa na anatoa 200,000/ ukiwa na akili utajua kuwa jamaa amepoteza hela ndeefu. Vaa viatu vyake halafu utwambie ungefanyaje!!!
Watoto kama hawa huwa ni wakuwapuuza tu, sababu hata ugali wenyewe wa shkamoo, hivyo hawawezi jua uchungu wa pesa
 
Mkuu kuna jamaa hapa USHIROMBO karibu na bazizan alikuja kutoa laki 2 na ninamfahamu kabisa inaweza kuwa ni yeye, labda ungenipa maelezo hayo malipo ulikuwa unawalipa watu wa idara gani ili iwe rahisi kupata uhakika wa ninachokihisi.
 
Duh pole sana! ewe kaka jambazi rudisha pesa za watu, usawa huu mgumu alafu nahis atakua pia member wa humu keshajiona lol.
Imebidi nimchane tu humu, ili watu wamjue na kwakua hakutaka kua muungwana..... Basi ngoja aibu iwe yake
 
Niyeye mkuu, kwani hata namba aliokua akitumia haipatikani tena.
Pia nimefanya udukuzi kwa mambo machache na nikapata informations zake kadhaa
Tusizunguke mbuyu, Huyo Jamaa ni mwizi maana Kama pesa Imeingi Kwenye ac yako halafu hujui imetoka wapi ni busara kusubiri na kuona nani atakupigia, Mimi ilishanitokea siku moja hela iliingia kwangu yakutosha kiss nikasema doh, mambo yamekaa poa ila roho ikaniuma sana, nilikuwa na rafki yangu akanishauri tukaitoe fasta nikaona ni mwenye Tamaa nikampa ukweli kuwa sili jasho la mtu kwanza sijui kaipata vipi, nimekaa masaa mawili nishasahau nasikia sim inaita kupokea nasikia mama analia nikamuuliza vipi mbona walia na sikufahamu akaniambia amenitumia pesa kimakosa nikamuuliza sasa anacholia ni nini akaanza kujieleza mambo meengi nikamwambia pesa yake ipo salama cha msingi aongee na Huduma kwa Mteja wairudishe na kuanzia wakati huo sitafanya muamala wowote mpaka anijulishe kuwa amerudishiwa hela yake mama alifurahi sana, sikuona nimeshinda njaa kwasababu nimeachia pesa isiyo halali yangu, hivyo Mimi napitisha kabisa kuwa huyo mtu ni mwizi kabisa tena alaaniwe
 
Mkuu kuna jamaa hapa USHIROMBO karibu na bazizan alikuja kutoa laki 2 na ninamfahamu kabisa inaweza kuwa ni yeye, labda ungenipa maelezo hayo malipo ulikuwa unawalipa watu wa idara gani ili iwe rahisi kupata uhakika wa ninachokihisi.
Haya malipo nimeyafanyia Dar kwa kuhamisha toka kwenye account yangu ya bank na kwenda kwa m-pesa, tigo pesa na Airtel money
 
Tusizunguke mbuyu, Huyo Jamaa ni mwizi maana Kama pesa Imeingi Kwenye ac yako halafu hujui imetoka wapi ni busara kusubiri na kuona nani atakupigia, Mimi ilishanitokea siku moja hela iliingia kwangu yakutosha kiss nikasema doh, mambo yamekaa poa ila roho ikaniuma sana, nilikuwa na rafki yangu akanishauri tukaitoe fasta nikaona ni mwenye Tamaa nikampa ukweli kuwa sili jasho la mtu kwanza sijui kaipata vipi, nimekaa masaa mawili nishasahau nasikia sim inaita kupokea nasikia mama analia nikamuuliza vipi mbona walia na sikufahamu akaniambia amenitumia pesa kimakosa nikamuuliza sasa anacholia ni nini akaanza kujieleza mambo meengi nikamwambia pesa yake ipo salama cha msingi aongee na Huduma kwa Mteja wairudishe na kuanzia wakati huo sitafanya muamala wowote mpaka anijulishe kuwa amerudishiwa hela yake mama alifurahi sana, sikuona nimeshinda njaa kwasababu nimeachia pesa isiyo halali yangu, hivyo Mimi napitisha kabisa kuwa huyo mtu ni mwizi kabisa tena alaaniwe
Asante kwa uahuhuda mkuu
 
Mkuu...
Huyu jamaa nilimtumia pesa kwa bahati mbaya nikiwa nafanya malipo kwa watu kadhaa.... Sasa baada ya kuwalipa wengine wote, nikapata sim toka kwa jamaa mmoja akiulizia malipo yake. Nami nikamjibu kwamba tayari nimefanya malipo kwa watu wote, lakini nikaamua kurudi kuhakiki kama nilikua sahihi.... Toba... , nikakuta nimezituma kwa Venance Chiwalala.
Hapo nikaamua kumpigia sim na kumtaarifu kuhusu kilicho tokea king makosa kwa kumtumia pesa asio stahiki, kisha huyu jamaa akakubali na akaniahidi kuirudisha baada ya muda mchache, nami bila hiyana nikamwambia achukue 50,000 kwakua amekua muungwana.
Baada ya kuona muda unapita, ndipo nikaamua kumpigia tena na jamaa akawa amezima sim.
Hajapatikana kwenye namba ile hadi leo.
Hapo nikaamua kwenda toa taarifa police kuhusu tukio lile, na nikafungua kesi ya kuibiwa kwa njia ya mtandao.
Hapo bila kuchelewa nikaanza kufanyia kazi jambo hili na nikapata informations zake kadhaa
Ulifanya kosa kubwa sana, next time ikotokea tena wakuwapigia ni mtandao husika, wanaiblock fasta wanakurudishia, haina hata haja ya kutoa hela km io 50 uliomu offer. Pole mzee
Anatafutwa kwa kosa la wizi kwa njia ya mtandao. Pia namba alio tumia kupokelea pesa haipatikani.
Kwa mujibu wa maelezo kadhaa.... Inasemekana anaishi maeneo ya kimara Dar.
Kama nilivyo toa angalizo kwamba zawadi ya 200,000 itatolewa kwa yeyote atakae toa informations zake na exactly location anayo patikana naomba ani PM.
Nimeambatanisha picha na machache niliyo yapata kuhusu mtu huyu.
Asanteni.View attachment 492396View attachment 492397View attachment 492398
 
Back
Top Bottom