Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,844
Pamoja sanaAsante sana comrade
Pamoja sanaAsante sana comrade
Sasahapo kakuibia wakati wewe mwenyewe ndoumekosea kutuma ulivyodai mwizi wa kwenye mtandao nikajua ameibia watu wengi sana ahaaa! umejuaje kama amezima cm labda huko alipo cm imemuishia chaji akijakukupigia na akakupa maelezo yanayoeleweka akakurudishia pesa zako upo tayari kumsafisha na kumlipa fidia? Mawazo yangu tuMkuu...
Huyu jamaa nilimtumia pesa kwa bahati mbaya nikiwa nafanya malipo kwa watu kadhaa.... Sasa baada ya kuwalipa wengine wote, nikapata sim toka kwa jamaa mmoja akiulizia malipo yake. Nami nikamjibu kwamba tayari nimefanya malipo kwa watu wote, lakini nikaamua kurudi kuhakiki kama nilikua sahihi.... Toba...![]()
, nikakuta nimezituma kwa Venance Chiwalala.
Hapo nikaamua kumpigia sim na kumtaarifu kuhusu kilicho tokea king makosa kwa kumtumia pesa asio stahiki, kisha huyu jamaa akakubali na akaniahidi kuirudisha baada ya muda mchache, nami bila hiyana nikamwambia achukue 50,000 kwakua amekua muungwana.
Baada ya kuona muda unapita, ndipo nikaamua kumpigia tena na jamaa akawa amezima sim.
Hajapatikana kwenye namba ile hadi leo.
Hapo nikaamua kwenda toa taarifa police kuhusu tukio lile, na nikafungua kesi ya kuibiwa kwa njia ya mtandao.
Hapo bila kuchelewa nikaanza kufanyia kazi jambo hili na nikapata informations zake kadhaa
Kumpata atampata ila kurudi pesa hazitarudi maanake ukiona mpk kaamua kutopatikana kubadili na namba ya simu ujue pesa aliyopokea kaona ni kubwa sana kwake mpk akatokwa na imani. Hapo kesi tu mahakamani ndo ninachokiona.Pole Sana. Nina hakika zitarudi.utampata tu
sio Mungu tu mkuu alishapewa na hamsini elfu burepole aisee, kuna watu uamifu kwao ni dhambi mno, watu wanajifungia baraka kwa kitu kidogo tu hajui angerudisha mungu angemlipia nini.
Anatafutwa kwa kosa la wizi kwa njia ya mtandao. Pia namba alio tumia kupokelea pesa haipatikani.
Kwa mujibu wa maelezo kadhaa.... Inasemekana anaishi maeneo ya kimara Dar.
Kama nilivyo toa angalizo kwamba zawadi ya 200,000 itatolewa kwa yeyote atakae toa informations zake na exactly location anayo patikana naomba ani PM.
Nimeambatanisha picha na machache niliyo yapata kuhusu mtu huyu.
Asanteni.View attachment 492396View attachment 492397View attachment 492398
Hakutosheka napo wakati wenzie wanatafuta kwa siku tu na hawapatisio Mungu tu mkuu alishapewa na hamsini elfu bure
Basi sawa kwakua haya ni mawazo yakoSasahapo kakuibia wakati wewe mwenyewe ndoumekosea kutuma ulivyodai mwizi wa kwenye mtandao nikajua ameibia watu wengi sana ahaaa! umejuaje kama amezima cm labda huko alipo cm imemuishia chaji akijakukupigia na akakupa maelezo yanayoeleweka akakurudishia pesa zako upo tayari kumsafisha na kumlipa fidia? Mawazo yangu tu
Wewe ndio unaongea upuuzi gani, mbona unaongea kama umekalia KIGOGO KWA NYUMAhuo ni kuchafuana brand!una uhakika gani kama ndio yeye?kosa ni kako au lake?kwa nini umejipa kazi ya polisi na mahakama?kama sio yeye uko tayari kumlipa fidia?achaupuuzi
sio siku moja, kuna watu wanalipwa hamsini kwa mwezi na wanashukuruHakutosheka napo wakati wenzie wanatafuta kwa siku tu na hawapati
mkuu komaa hadi umpate na ukishampata usimpeleke polisi we njoo huku huku tutakwambia adhabu inayomfaaBasi sawa kwakua haya ni mawazo yako
Asante kwa ushauri wako piaKosa ni lako wewe. Huwezi kumuita mwizi. Siyo lazima akurudishie hizo pesa kwani hauna mkataba naye kama ilivyo kati ya benki na mteja ambao ni legal binding mteja kurudisha pesa kama benki ikitokea kuweka pesa kwenye akaunti yako kimakosa. Kwa hiyo kwa hili lililokutokea utakuwa unatumia vibaya dhana ya wizi wa kimtandao
Ni afadhaliKumpata atampata ila kurudi pesa hazitarudi maanake ukiona mpk kaamua kutopatikana kubadili na namba ya simu ujue pesa aliyopokea kaona ni kubwa sana kwake mpk akatokwa na imani. Hapo kesi tu mahakamani ndo ninachokiona.
Anyway pole sana mkuu.