Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,920
- 131,695
imeweza kuthibitisha mungu yupo bila kuacha shaka wala kuweka limitation kwenye maswali magumu?Islam
imeweza kuthibitisha mungu yupo bila kuacha shaka wala kuweka limitation kwenye maswali magumu?Islam
Kwahyo mtoto aliyezaliwa leo anaamini uwepo wa Mungu?.Sasa mtoto mdogo wa kuzaliwa leo anawezaje kuwa na msimamo wa kwamba hakuna Mungu?
SI kila mahali Kuna oxygen mkuuKila akikukumbusha kwenda kanisani mwambie "dini ni matendo ya mtu " Mungu hakai tu kanisani, yupo mahali pote kama oxygen.
Ndio na mm najua hilo, wengi mbona wamefungishana ndoa za mahakamani ili wapate vyeti ili wapate stahiki za mke pongezi sana nao ni uamuzi mkubwaKuna masuala ya bima, likizo, posho mbalimbali na likizo pia mkuu, ukiwa kwenye ndoa (hasa mke) unakua na advantage kubwa kuliko ambaye hajaolewa
Mtumie huu ujumbe atakuelewa vizuri mkuuWakuu habari,
Mimi ni siamini kuhusu masuala ya dini, ila naamini binadamu tunapaswa kuishi kwa upendo kati yetu na tuwapende pia viumbe wengine, naamini hii ndio 'perfect' na 'universal dini'.
Matatizo kama vita, njaa, mauaji, talaka, pengo kati ya matajiri na masikini n.k vyote hivi tungevipunguza kwa kiasi kikubwa kama tungezingatia hii 'universal dini' zaidi kuliko nyingine
Mke wangu ni mtu wa Dini sana, ametokea familia ya walokole.
Amekuwa akinisumbua kuhusu kwenda kanisani kila mara, nimekuwa nikimpa visingizio vya hapa na pale ili nisiende naye kanisani, ila naona visingizio vimeisha.
Sasa nimechoka kelele za kuhusu kanisani, nafikiria nimchane kuwa siamini masuala yake ya kanisani na sitaki usumbufu tena.
Nitakuwa harsh sana au kuna mbadala wa kuyamaliza?
Poa.Kwa nini wafia dini mnakuwa na hasira hivi kwa watu ambao hawaamini Imani zenu? Kama huyo mungu yupo si ataniadhibu Mimi wewe inakuuma Nini?
Atazaliwa aje polini wakati yeye sio mnyama poli? hapo ndio ukuu wa Mungu unawazidi maarifaKwahyo mtoto aliyezaliwa leo anaamini uwepo wa Mungu?.
Kuwa atheist sio lazima uwe na msimamo Hakuna Mungu hata kutoamini uwepo wake either kwa kutokujua pia ni Atheism.
Chukulia mtoto azaliwe na akulie porini na wanyama..Je dini yake itakuwa ipi?Uislam au Atheism?
Kwa maelezo yako paragraph ya mwisho unaonyesha unamtambua Mungu basi tu umeamua kusumbua watuMasimulizi yanaweza kutungwa tu mkuu, anyway mimi sio muumini wa Ukristo wala Uislam au dini nyingine kuu
Lakini Nina independent philosophy yangu nikiamini kuwa kila binadamu anapaswa kumpenda binadamu mwingine na viumbe wengine, wanaaonyesha upendo huo wanakuwa rewarded na 'Mamlaka nyigine iliyo Juu' ambayo unaweza kuita mungu or whatever
Tofauti yao na antheist wengine ni kuwa wale wanaotokea kwenye Ukristo wako huru kuukana Ukristo, wale wanaotokea imani nyingine hawana uhuru huo.Hivi kwanini atheists wengi wana asili ya Ukristo?
Na huyo muumbaji aliumbwa na nani...?Hao wote wana matatizo ya akili, kama wanakubali simu imetengenezwa na kuwa hivi ilivyo, vipi Dunia na vinginevyo visiwe na muumbaji ? Hizi akili wanazitumia vibaya sana, ila bishara mbaya kwao.
😆Atazaliwa aje polini wakati yeye sio mnyama poli? hapo ndio ukuu wa Mungu unawazidi maarifa
Kichwani kwako hamna kitu ..Huo nao pia ni mfumo wa maisha,ndio dini yako,ya kutofanya mapenzi.
Bali ina maanisha nini ? Yaani aliyeitengeneza amefanya nini ?Kama simu imetengenezwa haimaanishi aliyetengeneza alijitengeneza
Bali ina maanisha nini ?Kama dunia na vinginevyo viliumbwa haimaanishi aliyeumba alijiumba au haitaji muumbaji
Ili niwe sawa na huyo wa kwanza, naomba unipe sababu tano tu zinazo onyesha ya kuwa muumbaji anabidi awe ameumbwa. (Japo najua hili huwezi kulifanya ila naonyesha kwa namna gani ulivyo dhaifu wa kufikiri).Ukisema muumbaji wa ulimwengu hana muumba unakua huna tofauti na anayekubali simu ina mtengenezaji ila ulimwengu hauna muumbaji
Hapo unapo jiuiluza aliumbwa na nani ndio anapo kushinda uelewa anabaki kua MunguNa huyo muumbaji aliumbwa na nani...?
Nithibitishie ya kuwa sote tumezaliwa tukiwa "Atheist".Wote tumezaliwa tukiwa atheist, dini tulikuja kuzifata baada ya kuja kuwa indoctrinated
Mtu kuwa atheist haimaanishi kabadili asili yake bali kairejea asili yake ambayo mwanzo aliikacha
Aliamini utabadilika na labda umri na mwili wake ulianza kuchoka kujizuia. Yote kwa yote alikupenda.Ndoa ya Serikali
Kwanza nipe sababu na unionyeshe haja ya muumbaji wa mbingu na ardhi kuwa na yeye ameumbwa.Hii point ila huwa inanipa maswali hadi nahisi kuchanganyikiwa na huwa naachana nayo. Huyo mwumbaji wa dunia yeye nani alimwumba???? Nikijibiwa hili vizr nakuwa mchungaji mwaka huu😇😇