Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,940
- 131,739
"Kwa mujibu wa uislam"uislamu unazitambua dini zingine, ambazo zimejumuishwa na kuitwa "dini za kinasara".. kwa mujibu wa uislamu ni kua " uislamu ni dini ya kweli" na dini ya haki kuliko zote zingine.
As long as umesem kwa mujibu wa uislam basi hiyo ni boundary kwamba wasio waislamu haiwahusu maana siyo haiko katika muktadha wa universal
Ushawahi jiulize kwa mujibu wa hizo dini zingine zinauchukuliaje uislam?
Ushawahi kujiuliza kwa mujibu wa dini zingine zinajichukuliaje kama ni dini za haki au la?
Kwani dini gani ambayo imejinasibu kwa mujibu wa mafundisho yake kua sio dini ya haki na kuitaja dini yako kua ndio ya haki?
Sasa ukitaka tufanye hitimisho kwa kutumia keyword "kwa mujibu wa dini husika" kuangalia dini ipi ni ya haki tutapata ukweli, kweli hapo?