Hisha Sorel
Senior Member
- Dec 27, 2017
- 192
- 140
dunia ya mwanzoni ilikuwa na joto sana, na hali ya sumu so kulikuwa hakuna viumbe vyevyoteNdugu msomi naomba niku ulize swali moja, kwa mujibu wa maelezo yako ni kwamba ilianza dunia ndio wakaja viumbe si ndio?
baada ya kuchimba katika madimbwi na volcano chini ya bahari, mabaki ya vijidudu yenye miaka 3.77 billion yalipatikana
kwahiyo, viumbe vya kwanza vya dunia vinawezeka vilianza kuishi baharini miaka 4 billion iliyopita