Nitamwambiaje Mke wangu mimi ni 'Atheist'?

Nitamwambiaje Mke wangu mimi ni 'Atheist'?

Watu kama hawa tunawapa muda tuuu ukikutana na la kukutana wana rudi kwa Mungu chap
Ukikutana na lq kukutana ndiyo inaonesha hakuna Mungu.

Angekuwepo, usingekutana nalo la kukutana.
 
Kwa muktadha huo ndiyo Mungu kaweka siku ya hukumu.
Ambazo kila mtu kwa dini nyingine tofauti na yake ameandikwa ataenda motoni

Yani wewe muislam kwenye dini ya mkristo ni wa motoni, na mkristo kwenye mafunzo ya kiislamu ni kafiri hivyo ataenda motoni

See how it sounds?

so unamtishiaje atheist kua ataenda motoni wakati maelfu ya dini zinazopingana nayako zimekuhesabia kua ni mtu wa motoni?
Ulimwengu haujaja kwa bahati mbaya na vilivyomo havipo kwa bahati mbaya.
Unless mungu tu kaja kwa bahati mbaya is it?
Mtaenda kukutana naye aliyewaleta na atahukuku hizo ikhtilafu baina yenu.
Aliyenileta ni mzazi wangu na swala la mimi kua atheist hajalichukulia negatively zaidi napotoa sababu za mimi kwanini nimeirudia asili yangu anafurahi

So huyo mwingine aliyenileta mi simjui, atakua ni imaginary guy ambaye mmeaminishwa kua yuko juu anawa cheki kwa chini
Atakayekuwa sahihi atajulikana asiyekuwa sahihi atajulikana pia.
Hizi ni kauli za kuficha ukweli

Kwanini asiyekua sahihi asijulikane now

Sasa tuanze kumtafuta hapa ili tujue nani kati yangu na mimi yuko sahihi

Thibitisha mungu yupo
 
Ok kwahiyo atheism ni lack of belief ila sio kwamba atheist haamini?ndio unavyokusudia si ndivyo?

Nimesema lack of belief kisha nimeishia hapo, sijatia neno lingine sasa kivipi utwist hoja yangu kwa kunilazimisha nijibu hoja ambayo mimi sijaiandika?

Hoja yangu ni kwamba kila mtu alizaliwa akiwa atheist, atheism ni lack of beliefs.

Hata aliyeanzisha dini asili yake ni atheist
 
Ndio nika
Tufanye kua jukumu letu ni kujua tuliumbwa na Mungu issue ya yeye aliumbwa na nani inamhusu yeye .
Hiyo ni limit ambayo ni lazima uijiwekee endapo utaamini uwepo wa mungu.

Hutakiwi kuhoji mungu alitokea wapi.

Mfano:
Kwenye dini ya kiislamu, ukihoji kuhusu chanzo cha mungu, unaambiwa ni kufuru na nidhambi kubwa.
Unaambiwa, we amini tu na ufuate alicho kuamrisha.
Hapo ndipo wanao pinga uwepo wa mungu wanapingana hiyo limit ya kuhoji.
 
Kwa mujibu wa Uislam dini zipo nyingi ila inayokubalika kwa Mungu ni Uislam.
Na ndio maana nimekuambia ukisema wote tutembee kwa dhana hiyo iwe msingi wa kujua dini ipi ni sahihi tutajikuta tuna maelfu ya dini ambazo zote kwa mujibu zao ni sahihi
Kwenye Quran wametajwa wa aina 3 kuna Makafir, Yahudi na Wanaswara.
Kwenye biblia wametaja kua asiyebatizwa haendi mbinguni, so you all guys will never see heaven

Biblia imesema bila yesu huwezi kuiona pepo na mafundisho ya yesu kwenye biblia ni pamoja na utatu mtakatifu kitu ambacho mnakipinga, na ukumbuke yeyite abayepingana na mafundisho ya yesu kwenye biblia ni mpinga kristo

Pili yesu anaabudiwa katika dhana ya msalaba kitu ambacho nyinyi hamkikubali

So kwa kigezo hicho pia waislamu wote mtaenda motoni

Unakubalina na maandiko hayo kwa mujibu wa ukristo kua wako sahihi?

Kafir hana tofauti na mpagani.
Mimi na wewe ni wapagani kwenye dini za wengine, tena bora atheist ambaye hana vinasaba vya kuamini imani za kufikirika anaweza aihusishwe kwenye upagani
Yahudi ni wayahudi.
Naswara ni wakristo.
Yahud na Naswara kwa lugha nyengine wameitwa Ahlul Kitaab.

Dini ni mfumo wa maisha. Unaweza ukawa ni mfumo sahihi na usiwe sahihi.
Dini sio mfumo wa maisha, dini ni mfumo wa imani waliojiwekea watu kutafuta matumaini ya kufikirika
 
Swali langu lipo wazi kabisa kwamba huo ushahidi unaoutaka unajua unafananaje au una idea ya ushahidi wa kuwepo Mungu unavyotakiwa kuwa? Nimekupa mfano wa mie kutaka mtu kunipa ushahidi wa kuwa kweli kaoa,nikasema kwa haraka nitategemea kuoana cheti cha ndoa. Kama huna idea ya huo ushahidi unaweza ukaletewa ushahidi na ukakataa au ukaletewa kisicho ushahidi ukakubali.

Sasa wewe sema huyo Mungu ambaye wewe unataka ushaidi wake je huo ushahidi unafikiri unatakiwa uweje? Hata huko mahakamani sio kila ushahidi unakubalika au kutambulika.

Unataka kusikia sauti ya Mungu?
Kuoneshwa Mungu? Au vp ambavyo wewe unaona yapaswa Mungu kuthibitishwa?

Kwa sababu wapo watu wamejaribu kutoa ushahidi ila mmeona kuwa si ushahidi na ndio mnasema kuwa hakuna mtu aliyeweza kutoa ushahidi,sasa mie nimeona tatizo lipo kwenye huo ushahidi wenyewe ndio maana nikauliza hilo swali.
swali lako lipo wazi lakini sio sahihi
anaedai ameoa ndio anatoa cheti cha ndoa, na yeye ndie anayechagua kutoa cheti cha ndoa kama ushahidi; jukumu ni lake na sio la mwingine
mimi kama judge, kazi yangu ni kupinga au kukubari ushahidi wake

nina sababu zangu za kukataa kukujibu swali lako; nakuelewa unachouliza; lakini najua unachofanya

mi nina ushahidi kwamba huna ushahidi wowote kuhusu kuwepo kwa mungu wako

kwani ungekuwa na ushahidi, hata kama punje, ungekuwa umesha utoa
ila unanipa hiyo kazi mimi: yani nichague ushaidi ninao utaka alafu nikuombe
NO

wewe ndo mwenye madai kwamba mungu yupo
MI NASEMA HAKUNA USHAHIDI YUPO
mi nasema nipe ushahidi wowote

NIPE PICHA
NIPE SAUTI
NPE KIPIMO
NIPE CHOCHOTE zaidi ya maneno yalioandikwa na wakoloni, wasomi wakijeudi, king james, na wengineyo

TOA USHAHIDI WOWOTE

lakini najua uwezi, kwani una zaidi ya ku-quote maandishi
ndo maana unataka mimi ndo nikufanyie kazi ya kufikilia
 
Sasa wewe si ndio uliyeanza hii hoja ya kitu ambacho kipo lazima kiwe kimeumbwa? Kwa logic yako basi hata huyo mungu lazima naye awe ameumbwa, au logic yako inabagua?
Hakuna logic niliyotumia hapo, bali wewe unahitajika kutetea swali lako.

Siamini katika logic,sababu ni upumbavu wa mfano wake.
 
Mungu wetu husamehe, akifanya toba akamwomba Mungu amsamehe kwa kuamua mambo yake bila kumshirikisha na kumwomba amwonyeshe suluhu kadri ya mapenzi yake Mungu atafanya

Hakuna kosa kubwa kwake muumba lisilosameheka tukifanya toba
Mpende adui yako

agizo hilo unalitimiza?
 
Nadhani sababu wakristo wapo huru zaidi kuliko Waislam.

Mkristo yupo huru kufungua kanisa lake au kuhamia kanisa jingine ama Dini

Kwa Waislam ni tofauti, ni dini ya itikadi Kali zaidi, madhehebu yao wenyewe kwa wenyewe wanapigana Vita, kufunga Ramadan wanalazimishwa, kuna nchi nyingine ukibadili dini adhabu yake ni kifo.
Ok! Hili suala linajulikana, wanaoshangaa ni wavivu wa kufikiri.
 
Kujiita atheist napo ni kufungwa na mipaka..... Wewe unaonekana akili yako bado haijatulia vizuri
 
Swali langu lipo wazi kabisa kwamba huo ushahidi unaoutaka unajua unafananaje au una idea ya ushahidi wa kuwepo Mungu unavyotakiwa kuwa? Nimekupa mfano wa mie kutaka mtu kunipa ushahidi wa kuwa kweli kaoa,nikasema kwa haraka nitategemea kuoana cheti cha ndoa. Kama huna idea ya huo ushahidi unaweza ukaletewa ushahidi na ukakataa au ukaletewa kisicho ushahidi ukakubali.

Sasa wewe sema huyo Mungu ambaye wewe unataka ushaidi wake je huo ushahidi unafikiri unatakiwa uweje? Hata huko mahakamani sio kila ushahidi unakubalika au kutambulika.

Unataka kusikia sauti ya Mungu?
Kuoneshwa Mungu? Au vp ambavyo wewe unaona yapaswa Mungu kuthibitishwa?

Kwa sababu wapo watu wamejaribu kutoa ushahidi ila mmeona kuwa si ushahidi na ndio mnasema kuwa hakuna mtu aliyeweza kutoa ushahidi,sasa mie nimeona tatizo lipo kwenye huo ushahidi wenyewe ndio maana nikauliza hilo swali.
Easiest way

Tupe uthibitisho uliokufanya ujue mungu yupo kisha tuupime kama ume qualify
 
Ndio nika
Hiyo ni limit ambayo ni lazima uijiwekee endapo utaamini uwepo wa mungu.

Hutakiwi kuhoji mungu alitokea wapi.

Mfano:
Kwenye dini ya kiislamu, ukihoji kuhusu chanzo cha mungu, unaambiwa ni kufuru na nidhambi kubwa.
Unaambiwa, we amini tu na ufuate alicho kuamrisha.
Hapo ndipo wanao pinga uwepo wa mungu wanapingana hiyo limit ya kuhoji.
sasa hili ndo tatizo la dini, haupaswi kutafakari na kuuliza
ukiuliza, kwanini mtu mweusi anafaa kuwa mtumwa, ungeambiwa unyamaze na wakoloni
ukiuliza kwanini umpige mawe mwanamke aliedhini, unaambiwa kaa kimya
ukiuliza kwanini ukimchinje jilani yako kisa ni kafiri (au aamini dini yako) unaambia ndivyo amri inavyosema

yani kutafakali ni dhambi; kuomba ushahidi ni kosa
ndo maana mtu akielimika uanza kuona uozo na mapungufu ndani ya dini

dini inawezakuwa imeweka mipaka kwenye swali la kabla ya universe au sayali na vinginevyo, nini kilikuwepo; ila sayansi kupitia quantam mechanics wameshaanza kujibu haya maswali kiasi kwamba kila nikisikia watu wadini wakijadili hizi mada naishia kucheka😂

inanikumbusha story za chumvi za adam na hawa, wazungu (waarabu sijui ila sio weusi) wawili waliokuwa binadamu wa kwanza na waliombwa kwa mchanga...dah wazungu kwali walituona sisi bonge la mambumbu.
 
Unachokieleza hakiingii akilini kwa sababu kama hakuna kisicho na chanzo au mwanzo basi isingewezekana kupatikana chochote.
Bado kidogo uelewe.
"Kama hakuna kisicho na chanzo au mwanzo basi isingewezekana kupatikana chochote".

Ni kweli kabisa, ndio maana swali kama 'Mungu ametokea wapi' linazaliwa.

Maana huwezi kusema kuwa kuna mungu, alafu hutaki kusema ametokea wapi.

Wasio amini uwepo wa mungu wanasubiri kupata jibu la chanzo cha mungu.

Ila, jiulize swali...ukiacha vitu vilivyo anzishwa na binadamu, dunia na vilivyomo na vitu nje ya dunia vimeletwa na nani...?

Ukisema: Vimeletwa na Mungu, je mungu alitokea wapi...? Jibu hauna.

Ukisema: Vimezuka tu...jibu hili lina ukakasi pia.

Kazi kwako.
Amini au usiamini, live your life.
 
we jamaa hauna hata huruma, yani unamburuza mwenzako hivyo kwa kutumia reason and logic... 😂 dah!
muonee huruma ... mwanzako kashazoea ku-quote biblia na kufunga mada, we unaleta mambo ya philosophy tena, na kumlizimisha atafakali kiundani...😂
 
Bado kidogo uelewe.
"Kama hakuna kisicho na chanzo au mwanzo basi isingewezekana kupatikana chochote".

Ni kweli kabisa, ndio maana swali kama 'Mungu ametokea wapi' linazaliwa.

Maana huwezi kusema kuwa kuna mungu, alafu hutaki kusema ametokea wapi.

Wasio amini uwepo wa mungu wanasubiri kupata jibu la chanzo cha mungu.

Ila, jiulize swali...ukiacha vitu vilivyo anzishwa na binadamu, dunia na vilivyomo na vitu nje ya dunia vimeletwa na nani...?

Ukisema: Vimeletwa na Mungu, je mungu alitokea wapi...? Jibu hauna.

Ukisema: Vimezuka tu...jibu hili lina ukakasi pia.

Kazi kwako.
Amini au usiamini, live your life.
Juzi niliwauliza swali la mfanano kama huo wacha mungu

Vitabu vyao kurasa ya mwanzoni vimeanza kwa kusema hapo mwanzo mungu aliumba mbingu na ardhi

Ukifungua page zinazofuata zimedai kua alikuwepo tangu na tangu

Swali nj je kabla ya mwanzo mungu alikua akiishi wapi?

Huko alikokua akiishi kuliumbwa na nani? Na kama alikuumba yeye iweje mbingu na ardhi viwe mwanzo wa uumbaji wake?
 
Kama simu imetengenezwa haimaanishi aliyetengeneza alijitengeneza

Kama dunia na vinginevyo viliumbwa haimaanishi aliyeumba alijiumba au haitaji muumbaji

Ukisema muumbaji wa ulimwengu hana muumba unakua huna tofauti na anayekubali simu ina mtengenezaji ila ulimwengu hauna muumbaji

Hapo ndipo ninapowaona kuwa nyie atheists ni wajinga!
Utalinganishaje physical objects na mambo ya imani?
 
Hapo ndipo ninapowaona kuwa nyie atheists ni wajinga!
Utalinganishaje physical objects na mambo ya imani?
Sasa imani ikijinasibu kua yenyewe ndio imefanya physical objects ku exit tukubali kindezi kwakua hiyo ni imani?

Mtu akikuambia imani yake inamtuma kusema 2³=6 nimkubalie tu kwasabau imani yake imesema hivyo?
 
mada ni pana sana, na mwisho wake huwa hakuna mshindi.
mada ni pana sana, na mwisho wake huwa hakuna mshindi.

Kama kweli kila kitu kina mwanzo wake, haina ubishi kwamba 'mungu tunayemzunguzia ana mwanzo pia.
Kwanza una hoji kitoto sana, na "kama" zimekuwa nyingi kwako.

Kwa akili yako ya kawaida tu, unakubali ya kuwa kila kitu kina chanzo ?

Huna majibu.
Acha ubishi...
Ni haki yako kuamini uwepo wa Mungu.
Nimecheka sana, kwanza sijawahi kukosa majibu juu ya hii mada.

Liki, jenga hija au kosoa hoja yangu. Usilete habari za vijiweni za kutupa lawama.

Usione vyaelea, vimeundwa.
Aliyeviunda, na yeye aliundwa.
na
Aliyemuunda aliyeviunda, na yeye aliundwa
Katika hii "chain" nataka unionyeshe mwisho wake ni wapi ? Na kama haina mwisho, je kisicho mwisho ni nini na kina sifa gani na kinapaswa kiwe ni nini ? Je kiwe kina ufahamu, hekima, lengo,kusanifu au ?

Ila kijana mpaka unanipa uvivu kuendelea kujadiliana na wewe, yaani hiki ulichokiandika kinaonyesha wewe hufikirii na kama unafikiria basi unafikiria kitoto, na hiki ulicho kiandika kinathibitisha hilo.
 
Back
Top Bottom