The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 15,396
- 12,979
- Thread starter
- #21
Hata Wabunge matajiri ambao wanajidai wamegombea ili kusaidia jimbo hutawasikia wanagusia hiyo kitu ......!!HAKUNA MBUNGE MZALENDO WOTE WAPIGAJI TU

Hivi mshahara wao ni mil 12?????
Daaaah bora yao....Ndio Mkuu wanakunja 12m ,haukuona yule mbunge alikuwa anawaonyesha wapiga kura wake mshahara wa kwanza kuingia kwa meseji? Pili wabunge wa sasa walioshindwa uchaguzi wa 2020 wanasema wazi kwenye mijadala mbali mbali kwamba mshahara ni 12m.
Tumeshapiga hesabu kama watakatwa basi kwa mwaka tutapata zaidi ya 20.7 billion - hizi tumeamua kuzipeleka kwenye zahanati zote nchini ili mama wajawazito wajifungue salama.Wabunge ilitakiwa wakatwe kati ya 20% to 25% kwa kila mapato yao.
Kwa namna hii wangekuwa na feeling ya what it take ku-earn then kabla fedha haijaungia mfukoni, TRA inakata kutoka kwenye pay yao.
Otherwise tuna watu ambao hawana hisia za nini wafanyakazi wa nchi hii wanapitia.
Halafu ukiishamuita shujaa?Kwa kweli wananchi wa Tanzania hasa wafanyakazi wa serikali wamesota sana kwa miaka 6 iliyopita. Kuiishi miaka yote hiyo bila kuongezewa mshahara wakati ghalama za maisha zikiendelea kupanda kwa kweli siyo mchezo.
Hapa lazima tuwapongeze hawa wafanyakazi. ingekuwa nchi za wenzetu has kama za ndugu zetu kule Bondeni naamini kabisa wangeitisha Kunji za kufa mtu. Thanks God, this is Bongoland!
Straight to the point. Naona Wabunge wetu safari hii wamekuja na mapendekezo ya Uzalendo pamoja na ile kodi ya kidogo iliyoitwa na Mh. Zungu kuwa ni ya Uzalendo, ile ya makato ya siku kila uki-recharge voucher. Ni wazo zuri, ila kwa nini hatokei Mbunge mmoja akapendekeza makato kwenye mishahara na marupurupu yao manono. Mimi nitamuita SHUJAA WA TANZANIA.
Kwanini miaka yote hii hatokei walau Chizi moja tu humo mjengoni akaja na wazo hili; kila moja wetu anajua kuwa halitakubaliwa lakini litampa ushujaa mleta hoja.
Daaaah bora yao....
Kwakuwa wabunge wote ni wazalendo na wamechaguliwa na wanyonge kuwaletea maendeleo sasa waanze kwa vitendoWabunge wetu kama watakatwa 30% ya 15m = 4.5m
Kwa wabunge 380 ina kuwa
1.7billion kwa mwezi
Kwa mwaka ni 20.7 billion. Hii pesa inatosha kabisa
kuhakikisha mama wazazi
wanajifungua salama nchini na kuboresha mazingira ya afya. Hawataki nasisi hatutadai rist kutoka kwa wafanya biashara pindi tununuapo bidhaa.
Mitaa ya twita au wapi?Acha tu kuna Daktari Christopher Cyril ameanzisha movement ya kupinga mishahara mikubwa ya wabunge huku walimu,MD,Eng etc wakilipwa mishahara ya namba za viatu....Tumuunge Mkono mwanaharakati huyo kupigania maslahi ya watumishi wa umma.
Mimi nikimuona ni shujaa, wewe ukamuona ni shujaa na mwingine akamuona ni shujaa then atakuwa amekuwa shujaa .......!!Halafu ukiishamuita shujaa?
Well said my friend!!!Kwa kweli wananchi wa Tanzania hasa wafanyakazi wa serikali wamesota sana kwa miaka 6 iliyopita. Kuiishi miaka yote hiyo bila kuongezewa mshahara wakati ghalama za maisha zikiendelea kupanda kwa kweli siyo mchezo.
Hapa lazima tuwapongeze hawa wafanyakazi. ingekuwa nchi za wenzetu has kama za ndugu zetu kule Bondeni naamini kabisa wangeitisha Kunji za kufa mtu. Thanks God, this is Bongoland!
Straight to the point. Naona Wabunge wetu safari hii wamekuja na mapendekezo ya Uzalendo pamoja na ile kodi ya kidogo iliyoitwa na Mh. Zungu kuwa ni ya Uzalendo, ile ya makato ya siku kila uki-recharge voucher. Ni wazo zuri, ila kwa nini hatokei Mbunge mmoja akapendekeza makato kwenye mishahara na marupurupu yao manono. Mimi nitamuita SHUJAA WA TANZANIA.
Kwanini miaka yote hii hatokei walau Chizi moja tu humo mjengoni akaja na wazo hili; kila moja wetu anajua kuwa halitakubaliwa lakini litampa ushujaa mleta hoja.
wabunge wa nchi hii ni shida tu.wanajali matumbo yao tu wala hawana huruma na wengine.wao kodi hawalipi lkn maslahi yao kila siku yanaboreshwa.watumishi ati wanadanganywa kupunguziwa kodi ya 1% hilo punguzo litamsaidia nini mtumishi.mimi natamani waingie wabunge wengi kutoka upinzani ili hawa waliopo nao waonje joto la jiwe.wananchi tuungane wakati wa kupiga kura tuwadondoshe hao wabunge dhalimu na mafisadi.Kwa kweli wananchi wa Tanzania hasa wafanyakazi wa serikali wamesota sana kwa miaka 6 iliyopita. Kuiishi miaka yote hiyo bila kuongezewa mshahara wakati ghalama za maisha zikiendelea kupanda kwa kweli siyo mchezo.
Hapa lazima tuwapongeze hawa wafanyakazi. ingekuwa nchi za wenzetu has kama za ndugu zetu kule Bondeni naamini kabisa wangeitisha Kunji za kufa mtu. Thanks God, this is Bongoland!
Straight to the point. Naona Wabunge wetu safari hii wamekuja na mapendekezo ya Uzalendo pamoja na ile kodi ya kidogo iliyoitwa na Mh. Zungu kuwa ni ya Uzalendo, ile ya makato ya siku kila uki-recharge voucher. Ni wazo zuri, ila kwa nini hatokei Mbunge mmoja akapendekeza makato kwenye mishahara na marupurupu yao manono. Mimi nitamuita SHUJAA WA TANZANIA.
Kwanini miaka yote hii hatokei walau Chizi moja tu humo mjengoni akaja na wazo hili; kila moja wetu anajua kuwa halitakubaliwa lakini litampa ushujaa mleta hoja.
Mitaa ya twita au wapi?
Hii inshu ya mafao wanayochukua ya mil 250 ndio huwa inaniuma sana na nikiangalia jinsi vijijini watu wakiteseka na huduma mbovu za afya asee mungu atuhurumie.Wabunge ni wanafiki na wabinafsi sana! Inabidi wanaharakati waanzishe wao kuishinikiza serikali ipeleke muswada wa kupunguza mipunga ya ubunge maana ni kufuru ,nimeona Mwanaharakati Dr Cyril Christopher amelianzisha.
Mafao ya Mil 250 anapewa bila kukatwa(Kuchangia) aisee wabunge wametudharau sana.
Anza na mshahara wa Rais kwanza nao ukatwe kodiKwa kweli wananchi wa Tanzania hasa wafanyakazi wa serikali wamesota sana kwa miaka 6 iliyopita. Kuiishi miaka yote hiyo bila kuongezewa mshahara wakati ghalama za maisha zikiendelea kupanda kwa kweli siyo mchezo.