Nisaidieni, upendo unapungua kwa mume wangu

luckyline

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2014
Messages
10,672
Points
2,000

luckyline

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2014
10,672 2,000
No kipindi tupo uchumba hakuwa anaonyesha hizo tabia,tulipofunga ndoa baada ya miezi kadhaa ndo nikawa nashangaa baadhi ya tabia ,mfano anaweza kufunga samaki mzima sato kama kulikuwa na kifunction kazini ,but akija nampashia kwa oven anakula pekee yake anamaliza namwangalia ,
😁😁😁kwakeli wewe unazaliwa na Mke wa gwajima.MNA moyo sawa, yaan ale samaki peke yake nipo namuona? Siwezi mwacha cha kufanya najisogeza natoa kichwa nakila naona atafanyaje sio kwa uchoyo huo.

Wewe Dada sikujii ila Leo na kuweka kwenye maombi.

Ale samaki mzima mwenyewe aje kitandani ale na papuchi yako?? No way!!!
 
mbarika

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2015
Messages
2,184
Points
2,000

mbarika

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2015
2,184 2,000
Unisamehe nitakachoongea hapa, haiwezekani Siku ya kwanza mume akutamkie eti wanawake wa nje hatoacha? Dhalau gani? Hukulia jamani?

Nimevaa viatu vyako vimenilegea nawaza dia au wewe ndio ulilazimisha ndoa? Au ilitegesha mimba akalazimika kukuoa?

Ni nini shida mbona mwanaume anakunyanyasa hivyo?

Kweli dia alikuoa kutoka moyoni mwake? Au ulivyoona imefika 28 ukawa desperate ukaamua kuolewa ukidhani umri umeenda? Mbona sisi tupo?

Ndoa ni kifungo dia, yaan nakuonea huruma. Nashindwa kukushauri umuache maana mm sipendi usingle Maza hata Siku moja.

Ila unajua nini dia, vumilia huu mwaka uishe asipobadilika, waweza mwambia aoe mwanamke anae mpenda, wewe Lea wanao thank God una kazi.

Pole sana hii imeniuma sana mtu unadhani mmeo ndio atakupa raha anageuka simba?

Ee Mungu msaidie huyu binti.
Huyo mwanaume ni Mpumbavu
Anacheza na shiling kwenye tundu la choo
Atakuwa mwanaume wa dar huyo
Ndiyo tabia zao
tapatalk_1560276590971.jpeg
 
Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Messages
9,654
Points
2,000

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2016
9,654 2,000
😁😁😁kwakeli wewe unazaliwa na Mke wa gwajima.MNA moyo sawa, yaan male samaki peke yake nipo namuona? Siwezi mwacha cha kufanya najisogeza natoa kichwa nakila naona atafanyaje sio kwa uchoyo huo.

Wewe Dada sikuji ila Leo na kuweka kwenye maombi.

Ale samaki mzima aje kitandani ale na papuchi yako?? No way!!!
Samaki peke yake,mdada anastahili tuzo,😂😢😩
 
Cute Cindy

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2019
Messages
214
Points
1,000

Cute Cindy

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2019
214 1,000
Nashukuru dear kwa ushauri ingawa ni mama kijacho ,yaani kazini walikataa kunilipia masomo ya master ,ada ilikuwa milioni kama milioni kumi na tano hivi pamoja na research nililipa kama milioni 13,000,000 hivi sasa ikabaki milioni 3 nikamwomba akakataa kunipa ikabidi nikamkopa coz bank nilikuwa najua ana sh.ngapi akanipa baada ya miezi 3 alikuwa ananidai mpaka nikitoka kazini nakosa raha ya kurudi Nyumbani ,ikabidi niingie bank nikope nimrudishie ndo tukawa na amani but roho inaniuma coz kaenda kuweka bank,
Huyo mumeo nahisi anatumia swala LA kufiwa na wazazi wake kama excuse tu..ila nahis kuna mambo kati ya haya
1) Ana asili ya uchoyo/ ni tabia yake
2)Alishawahi kumpenda mdada, lakini akaishiwa kuchunwa pesa nyingi na papuchi hakupata..so maumivu ya kupendewa pesa na kuchunwa bado anayo miss_mbeya
 
Ncherry1

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2016
Messages
1,806
Points
2,000

Ncherry1

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2016
1,806 2,000
Umeona sasa anafanya makosa afu anajsemesha umeona wazaz wangu wamefark ndo unaniacha na 7bu anajua una huruma huwez muacha ni kupambana na hal tu mama
Kipindi nimefunga ndoa siku hiyo usiku ,alinambia nimekuoa but wasichana was nje siwezi waacha ,but kipindi cha a mwanzo nimepata Shida sana ,nikawaona wasimamuzi wangu wa ndoa wakamshauri akapunguza but nilimshakamata kalala na binti wa kazi ndani,nikamwambia naomba tuachane hapo mtoto akiwa na miaka 3 ,akanibembembeleza sana,akaomba msamaha yakaisha,but kuna kipindi akawa anatongoza mabinti ,nikasema sasa inabidi tuachane ,akalia sana akasema umeona coz wazazi wangu wamefariki ndo unataka kuniacha sawa,huruma ikaniingia tukayamaliza ,kwa sasa naona ametulia hata Kanisani anahudhuria vizuri tu
 
copernicucci98

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Messages
229
Points
500

copernicucci98

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2018
229 500
Duh huo mtungi unavuja usiwashe kiberiti
Ni bora awashe njiti mapema. Cz kama unavuja its the matter of time, utalipuka tu. Huwa naamini kinachowakutanisha na kuwaweka pamoja mke na mme ni upendo.. upendo means kuoneana huruma, kuguswa, kusaidiana, kufurahi pamoja, kusameheana etc.. na hivi vitu huwa vinakuja naturally. Mara uonapo hivi vitu vinaanza kutafutwa kwa manati, me huwa sishauri kuendelea kung'ang'aniana hadi watu wanakuja kuuana.

Nimejisikia vibaya kwako ndugu japo pengine hujadadavua sana mahusiano yenu A to Z.. pengine una changamoto zako pia
 
kingunebe

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2019
Messages
709
Points
1,000

kingunebe

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2019
709 1,000
Hyo hata kama n utoto umezid utadhan ndo wa kwanza kufiwa na vip akiwa na kisiran ndo wanafufuka?mshenz anatumia kigezo cha kufiwa kukunyanyasa japo mengine hatuyajui lakn anakosea
Ushauri
1.anza kumpotezea,akiwa na kisiran jifanye kama vile hujal,akae na kisiran chake kiishe kisiishe Atajiju
2.kuwa mwanamke sasa mahitaj ambayo hayakuhusu mfano umeme,kodi au ada na hata chakula usiyafanye kama umeme ukiisha mlale giza,hajaacha hela ya chakula pika chako kula lala kiufup usibebe majukumu yasokuhusu
3.Kataa kupigwa kisiran chake apeleke kwa boss wake kama n mzur wa ngum akapigane na wenzake mpe warning kwamba siku akikupiga hata kofi ataenda kujieleza polis
4 punguza ikiwezekana acha kabisa kumletea zawad hzo ambazo huwa unamletea instead jinunulie zawad unayoipenda,ukiweza siku za weekend toka out na mwanao au na marafik zako, ye hata usimuulze kiufup mpotezee utaona mabadiliko anaeza akahis unachepuka narudia yaan jifanye kama husikii anayoyaongea
MWISHO
Nakutakie utekelezaji mwema japo inaonekana kuna kitu nyuma ya pazia sie hatukijui maana yake kama siku ya harus unaambiwa kwamba sitaacha michepuko maana yake hko kitu so kipya kwako
Mnisamehe wote nadhan mnaona mda niloandika kiukwel nilkuwa nmechoka sana kuandika kwenyewe nilkuwa nashindwa lakn kila nikiangalia naona nahitaj kusema kitu,aman ya bwana iwe nanyi
 
kingunebe

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2019
Messages
709
Points
1,000

kingunebe

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2019
709 1,000
No kipindi tupo uchumba hakuwa anaonyesha hizo tabia,tulipofunga ndoa baada ya miezi kadhaa ndo nikawa nashangaa baadhi ya tabia ,mfano anaweza kufunga samaki mzima sato kama kulikuwa na kifunction kazini ,but akija nampashia kwa oven anakula pekee yake anamaliza namwangalia ,
Duh lina tambia mbaya tu na hzo tabia hazihusian na kifo n roho mbaya ya kuzaliwa usimlee bhna aplay part yake u play part yako
 
kingunebe

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2019
Messages
709
Points
1,000

kingunebe

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2019
709 1,000
Mbafsi uyo anatumia kifo cha wazaz kama excuse eti wazaz wangekuepo ningekua na furaha yy ndo wa kwanza kufiwa?
Anaesomesha mke n mjinga yani kuna watu uwa wakiongea hawafklii walchoongea ee
Pole mwaya vumilia ndo ndoa hiyo cha msing ushamjua ni aina gan ya mwanaume fklia maisha yako na wanao tu na ndugu zako kwanza
Afu anatumia kifo cha wazaz kama kizngshio
Sema bwana Mungu n mwema siku zote nadhan hta mke anakupa wa kukufanan hvi hyo baba ngekuwa mm mkewe s angeshaiona dunia chungu mm hyu sijui
 
kingunebe

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2019
Messages
709
Points
1,000

kingunebe

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2019
709 1,000
Kipindi nimefunga ndoa siku hiyo usiku ,alinambia nimekuoa but wasichana was nje siwezi waacha ,but kipindi cha a mwanzo nimepata Shida sana ,nikawaona wasimamuzi wangu wa ndoa wakamshauri akapunguza but nilimshakamata kalala na binti wa kazi ndani,nikamwambia naomba tuachane hapo mtoto akiwa na miaka 3 ,akanibembembeleza sana,akaomba msamaha yakaisha,but kuna kipindi akawa anatongoza mabinti ,nikasema sasa inabidi tuachane ,akalia sana akasema umeona coz wazazi wangu wamefariki ndo unataka kuniacha sawa,huruma ikaniingia tukayamaliza ,kwa sasa naona ametulia hata Kanisani anahudhuria vizuri tu
Sasa nimejua jamaa inaezekana kuna demu aliyekuwa akimpenda sana akamtosa sasa kakawepo kachuk japo hawez ongea ukwel ila nahis hvo
 
Kaira

Senior Member
Joined
Jan 8, 2018
Messages
123
Points
250

Kaira

Senior Member
Joined Jan 8, 2018
123 250
Kipindi nimefunga ndoa siku hiyo usiku ,alinambia nimekuoa but wasichana was nje siwezi waacha ,but kipindi cha a mwanzo nimepata Shida sana ,nikawaona wasimamuzi wangu wa ndoa wakamshauri akapunguza but nilimshakamata kalala na binti wa kazi ndani,nikamwambia naomba tuachane hapo mtoto akiwa na miaka 3 ,akanibembembeleza sana,akaomba msamaha yakaisha,but kuna kipindi akawa anatongoza mabinti ,nikasema sasa inabidi tuachane ,akalia sana akasema umeona coz wazazi wangu wamefariki ndo unataka kuniacha sawa,huruma ikaniingia tukayamaliza ,kwa sasa naona ametulia hata Kanisani anahudhuria vizuri tu
dah huyu anaku mental abuse aisee
 
Forum statistics

Threads 1,353,873
Members 518,398
Posts 33,083,518
Top