Nisaidieni, upendo unapungua kwa mume wangu

Ncherry1

Ncherry1

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2016
Messages
1,807
Points
2,000
Ncherry1

Ncherry1

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2016
1,807 2,000
Mbafsi uyo anatumia kifo cha wazaz kama excuse eti wazaz wangekuepo ningekua na furaha yy ndo wa kwanza kufiwa?
Anaesomesha mke n mjinga yani kuna watu uwa wakiongea hawafklii walchoongea ee
Pole mwaya vumilia ndo ndoa hiyo cha msing ushamjua ni aina gan ya mwanaume fklia maisha yako na wanao tu na ndugu zako kwanza
Afu anatumia kifo cha wazaz kama kizngshio
 
luckyline

luckyline

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2014
Messages
10,579
Points
2,000
luckyline

luckyline

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2014
10,579 2,000
Nashukuru dear kwa ushauri ingawa ni mama kijacho ,yaani kazini walikataa kunilipia masomo ya master ,ada ilikuwa milioni kama milioni kumi na tano hivi pamoja na research nililipa kama milioni 13,000,000 hivi sasa ikabaki milioni 3 nikamwomba akakataa kunipa ikabidi nikamkopa coz bank nilikuwa najua ana sh.ngapi akanipa baada ya miezi 3 alikuwa ananidai mpaka nikitoka kazini nakosa raha ya kurudi Nyumbani ,ikabidi niingie bank nikope nimrudishie ndo tukawa na amani but roho inaniuma coz kaenda kuweka bank,
Hii ndio imeniuma yaani mmeo hawezi kukusaidia hata kwenye masomo? Mhhhhh Mme ulomzalia anakudai as if wewe ni mtu baki? Pole sana ila..........

Vip umeshapeleleza hana mchepuko??
 
M

miss_mbeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2015
Messages
876
Points
500
M

miss_mbeya

JF-Expert Member
Joined Mar 24, 2015
876 500
Mbafsi uyo anatumia kifo cha wazaz kama excuse eti wazaz wangekuepo ningekua na furaha yy ndo wa kwanza kufiwa?
Anaesomesha mke n mjinga yani kuna watu uwa wakiongea hawafklii walchoongea ee
Pole mwaya vumilia ndo ndoa hiyo cha msing ushamjua ni aina gan ya mwanaume fklia maisha yako na wanao tu na ndugu zako kwanza
Afu anatumia kifo cha wazaz kama kizngshio
Hicho ndo kinachoniumiza sana ,yaani ajitahidi kumuonyesha upendo inashindikana
 
luckyline

luckyline

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2014
Messages
10,579
Points
2,000
luckyline

luckyline

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2014
10,579 2,000
Mbafsi uyo anatumia kifo cha wazaz kama excuse eti wazaz wangekuepo ningekua na furaha yy ndo wa kwanza kufiwa?
Anaesomesha mke n mjinga yani kuna watu uwa wakiongea hawafklii walchoongea ee
Pole mwaya vumilia ndo ndoa hiyo cha msing ushamjua ni aina gan ya mwanaume fklia maisha yako na wanao tu na ndugu zako kwanza
Afu anatumia kifo cha wazaz kama kizngshio
Kweli kabisa dah
 
Ncherry1

Ncherry1

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2016
Messages
1,807
Points
2,000
Ncherry1

Ncherry1

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2016
1,807 2,000
Sikuambii kwa ubaya watu wa hvyo dawa yao ni kujfanya humuoni tu hata kama unampenda na vile unasal unamwombea mi ngeish nae angefurahi mbna
Angelia kila siku huwez kuacha mthamini mtu unaeishi nae anakupenda anakuvumilia afu unaongea pumba pumba tu unasema eti ndo nlvyo yy habadlik watu ss sio static tunajfunza, tunabadilika na kuadopt sio kujifanya na misimamo ya upuuz tu inayoumiza wanaotupenda
Hicho ndo kinachoniumiza sana ,yaani ajitahidi kumuonyesha upendo inashindikana
 
ni ngumu

ni ngumu

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2016
Messages
3,172
Points
2,000
ni ngumu

ni ngumu

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2016
3,172 2,000
Mtu hawezi kukupa kitu ambacho yeye Hana.

Huyu anaogopa kupenda hivyo anaishi kwa machalee na hofu.Kitu pekee atakachokupa Ni machale na hofu maana ndo anavyo moyoni.There is hope,love heals Everything,can you love him deeply?

Kuhusu kusomesha na msapoti lakini
 
M

miss_mbeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2015
Messages
876
Points
500
M

miss_mbeya

JF-Expert Member
Joined Mar 24, 2015
876 500
Hii ndio imeniuma yaani mmeo hawezi kukusaidia hata kwenye masomo? Mhhhhh Mme ulomzalia anakudai as if wewe ni mtu baki? Pole sana ila..........

Vip umeshapeleleza hana mchepuko??
Kipindi nimefunga ndoa siku hiyo usiku ,alinambia nimekuoa but wasichana was nje siwezi waacha ,but kipindi cha a mwanzo nimepata Shida sana ,nikawaona wasimamuzi wangu wa ndoa wakamshauri akapunguza but nilimshakamata kalala na binti wa kazi ndani,nikamwambia naomba tuachane hapo mtoto akiwa na miaka 3 ,akanibembembeleza sana,akaomba msamaha yakaisha,but kuna kipindi akawa anatongoza mabinti ,nikasema sasa inabidi tuachane ,akalia sana akasema umeona coz wazazi wangu wamefariki ndo unataka kuniacha sawa,huruma ikaniingia tukayamaliza ,kwa sasa naona ametulia hata Kanisani anahudhuria vizuri tu
 
Rebeca 83

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Messages
9,343
Points
2,000
Rebeca 83

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2016
9,343 2,000
Mtu hawezi kukupa kitu ambacho yeye Hana.

Huyu anaogopa kupenda hivyo anaishi kwa machalee na hofu.Kitu pekee atakachokupa Ni machale na hofu maana ndo anavyo moyoni.There is hope,love heals Everything,can you love him deeply?

Kuhusu kusomesha na msapoti lakini
Kusomesha ‘mchumba’ labda kuna ukakasi, ila huyu ni mke wa ndoa mweeh
 
Rebeca 83

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Messages
9,343
Points
2,000
Rebeca 83

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2016
9,343 2,000
Kipindi nimefunga ndoa siku hiyo usiku ,alinambia nimekuoa but wasichana was nje siwezi waacha ,but kipindi cha a mwanzo nimepata Shida sana ,nikawaona wasimamuzi wangu wa ndoa wakamshauri akapunguza but nilimshakamata kalala na binti wa kazi ndani,nikamwambia naomba tuachane hapo mtoto akiwa na miaka 3 ,akanibembembeleza sana,akaomba msamaha yakaisha,but kuna kipindi akawa anatongoza mabinti ,nikasema sasa inabidi tuachane ,akalia sana akasema umeona coz wazazi wangu wamefariki ndo unataka kuniacha sawa,huruma ikaniingia tukayamaliza ,kwa sasa naona ametulia hata Kanisani anahudhuria vizuri tu
Pole sana kukaa na mtu asiyekupenda,sijui unapata nini kwenye hii ndoa?? Au kuringishia mashosti saloon na wewe umeolewa? Kuna huyo aliekushauri upeleke mzigo wako kwa Mungu ,jaribu hilo
 
M

miss_mbeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2015
Messages
876
Points
500
M

miss_mbeya

JF-Expert Member
Joined Mar 24, 2015
876 500
Sikuambii kwa ubaya watu wa hvyo dawa yao ni kujfanya humuoni tu hata kama unampenda na vile unasal unamwombea mi ngeish nae angefurahi mbna
Angelia kila siku huwez kuacha mthamini mtu unaeishi nae anakupenda anakuvumilia afu unaongea pumba pumba tu unasema eti ndo nlvyo yy habadlik watu ss sio static tunajfunza, tunabadilika na kuadopt sio kujifanya na misimamo ya upuuz tu inayoumiza wanaotupenda
Kweli my dear ,hata ndugu zangu wala wazazi hawajui haya ,kuna kipindi nilikonda sana ,coz anataka ndugu zake tukae nao,ila wangu hawataki nimekaa na wadogo zake wawili tangu wapo shule mpaka wanamaliza vyuo wanaenda kuajiriwa niliwaona km wadogo zangu ,nikinunua underwear dozen ,nawagawia na wao ,hata nguo nilikuwa nawapa zinaxonibana ,but wadogo zangu walipo maliza chuo ,mmoja akapata kazi mapema ,mngine tulivokaa nae miezi 7 akasema mwambie ndugu yako akasalimie na ndugu zake wengine nitampa nauli ,nilijikia vibaya sana
 
ni ngumu

ni ngumu

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2016
Messages
3,172
Points
2,000
ni ngumu

ni ngumu

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2016
3,172 2,000
Kusomesha ‘mchumba’ labda kuna ukakasi, ila huyu ni mke wa ndoa mweeh
Hata mke SI sisomeshi nitafungulia biashara ila sisomeshi mke....

Nikiwa chuo darasa letu lilikuwa na wake za watu kumi na mbili Kati ya hao,10 walilalwa na hao wawili Ni wale ma gwiji wa maadili.

Mbaya zaidi Kati ya hao wa nne Ni rafiki zangu sana nilikuwa nawafundisha kwa pamoja masomo ya hesabu sometimes tunapiga story wanasema kabisa jinsi wame zao wanavyowajali mixer kutuma miamala ila upweke wa miezi matatu minne ndo wanapalamiwa na vijana, shame.
 
luckyline

luckyline

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2014
Messages
10,579
Points
2,000
luckyline

luckyline

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2014
10,579 2,000
Kipindi nimefunga ndoa siku hiyo usiku ,alinambia nimekuoa but wasichana was nje siwezi waacha ,but kipindi cha a mwanzo nimepata Shida sana ,nikawaona wasimamuzi wangu wa ndoa wakamshauri akapunguza but nilimshakamata kalala na binti wa kazi ndani,nikamwambia naomba tuachane hapo mtoto akiwa na miaka 3 ,akanibembembeleza sana,akaomba msamaha yakaisha,but kuna kipindi akawa anatongoza mabinti ,nikasema sasa inabidi tuachane ,akalia sana akasema umeona coz wazazi wangu wamefariki ndo unataka kuniacha sawa,huruma ikaniingia tukayamaliza ,kwa sasa naona ametulia hata Kanisani anahudhuria vizuri tu
Unisamehe nitakachoongea hapa, haiwezekani Siku ya kwanza mume akutamkie eti wanawake wa nje hatoacha? Dhalau gani? Hukulia jamani?

Nimevaa viatu vyako vimenilegea nawaza dia au wewe ndio ulilazimisha ndoa? Au ilitegesha mimba akalazimika kukuoa?

Ni nini shida mbona mwanaume anakunyanyasa hivyo?

Kweli dia alikuoa kutoka moyoni mwake? Au ulivyoona imefika 28 ukawa desperate ukaamua kuolewa ukidhani umri umeenda? Mbona sisi tupo?

Ndoa ni kifungo dia, yaan nakuonea huruma. Nashindwa kukushauri umuache maana mm sipendi usingle Maza hata Siku moja.

Ila unajua nini dia, vumilia huu mwaka uishe asipobadilika, waweza mwambia aoe mwanamke anae mpenda, wewe Lea wanao thank God una kazi.

Pole sana hii imeniuma sana mtu unadhani mmeo ndio atakupa raha anageuka simba?

Ee Mungu msaidie huyu binti.
 
jogijo

jogijo

Senior Member
Joined
Mar 29, 2019
Messages
101
Points
250
jogijo

jogijo

Senior Member
Joined Mar 29, 2019
101 250
Samahani nikuulize, wewe ni dhehebu gani? Na upo mkoa gani, naweza pata basis ya kukusaidia.
MUNGU ANACHUKIA KUACHANA, mkiachana hutopata amani siku zote hadi unaingia kaburini. Msiachane na wala wakt huu sio wakati wa kuchepuka.
 
Meek Mill

Meek Mill

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2013
Messages
644
Points
500
Meek Mill

Meek Mill

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2013
644 500
Ushauri Mzuri..Pia Nime Note Kitu.Mara Nyingi Watu wa Hapa Jamii Forum Watoaji Ushauri Mzuri Kama Wewe Maisha Yao Ya Ndoa Uwa ayapo Stable.Yani mambo Yake Kiujumla nae Yanamsumbua Sana.
mumeo ni mmoja wa wale wanaume selfish,uamuzi ni wako kukaa nae au kuachana nae.....mie nakushauri uachane nae bado mapema ukiamua kubaki ujue unatoa sadaka furaha yako...na utabaki miserable for the rest of your life........................

Kuhusu wazazi,nahisi hakupata muda mzuri wa kukubali wamekufa(grieving period)...saa zote ana feel guilty and puzzled kuhusu kifo chao...au anaona wamekufa mapema kabla hajawahudumia kama zawadi ya kumlea......

kwa kifupi ameyabeba mengi kifuani,ndio maana ukimuudhi kidogo ana snap,dada huyo ni bomu...ondoka kabla hujazaa mtoto wa pili na watatu halafu ushindwe ku move on.
 
Rebeca 83

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Messages
9,343
Points
2,000
Rebeca 83

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2016
9,343 2,000
Ushauri Mzuri..Pia Nime Note Kitu.Mara Nyingi Watu wa Hapa Jamii Forum Watoaji Ushauri Mzuri Kama Wewe Maisha Yao Ya Ndoa Uwa ayapo Stable.Yani mambo Yake Kiujumla nae Yanamsumbua Sana.
Mnhhhh
 
Forum statistics

Threads 1,336,378
Members 512,581
Posts 32,537,038
Top