luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,017
- 21,254
😁😁😁kwakeli wewe unazaliwa na Mke wa gwajima.MNA moyo sawa, yaan ale samaki peke yake nipo namuona? Siwezi mwacha cha kufanya najisogeza natoa kichwa nakila naona atafanyaje sio kwa uchoyo huo.No kipindi tupo uchumba hakuwa anaonyesha hizo tabia,tulipofunga ndoa baada ya miezi kadhaa ndo nikawa nashangaa baadhi ya tabia ,mfano anaweza kufunga samaki mzima sato kama kulikuwa na kifunction kazini ,but akija nampashia kwa oven anakula pekee yake anamaliza namwangalia ,
Wewe Dada sikujii ila Leo na kuweka kwenye maombi.
Ale samaki mzima mwenyewe aje kitandani ale na papuchi yako?? No way!!!