Nilimfukuzisha mume wangu kazi na sasa amenitelekezea Watoto

george aloyce

JF-Expert Member
Aug 22, 2017
1,177
1,823
MY STORY; NILIMFUKUZISHA MUME WANGU KAZI SASA KANITELEKEZEA WATOTO!

Sikua na shida yoyote na mume wangu, alikua ni Baba wa familia anayejali kwa kila kitu. Lakini nilikua si ridhiki, kila nilipokua nikiona wenzangu wana maisha mazuri nilijikuta nakua na hasira, natamani kuwa kama wao. Rafiki yangu mkubwa ambaye mume wake alikua akifanya kazi na anapata mshaara mdogo kuliko mume wangu alikua akiendesha gari alilokua kanunuliwa na mume wake.

Mimi na mume wangu tulikua hatuna kitu, tunahangaika kujenga tu, yeye kila ukimgusa alikua anakuambia hana pesa. Yaani nilikua nakasirika hasa nikiona namna anavyosaidia ndugu zake, mume wangu ni mtu wa kutoa, alikua anaomsha watoto mpaka wa ndugu ambao hata si wa karibu. Kila nikimuuliza kwanini sisi tusihangaike na maisha yetu alikua akinipa marisala yake amabayo yalizidi kunikasirisha.

Wakati mmoja mume wangu aliumwa, rafiki zake na wafanyakazi wenzake walikuja hospitalini kumsalimia. Jioni moja alikuja Bosi wake, alikua ni makaka makamu ya mume wangu, alichukau namba yangu ili kuwasiliana kuhusiana na hali ya mume wangu. Alinisaidia kweli akalipa kila kitu baada ya wiki mbili mume wangu alitoka hospitalini.

Lakini sisi hatkuacha kuwasiliana, tuliwasiliana mpaka tukaingia kwenye mahusiano. Yule Kaka alikua anajua kutoa pesa, anajali, ilifikia hatua mpaka nikamsahau mume wangu, nikawa na kiburi na kila siku nikawa natafuta sababu ya kugombana na mume wangu ili tu aniache niwe huru na yule kaka. Aliniambia ndoa yake ina matatizo na anakaribia kauchana na mke wake.

Ingawa hakuniambia moja kwa moja kama atanioa lakini nilijiongeza, nikaanza kumfanyia mume wangu visa kitu kidogo tu nataka kuondoka. Nilimuambia Bosi wake kuwa nataka kumuacha mume wangu, alinaimbia itakua ngumu lakini kama najua password ya mume wangu basi anaweza kunisaidia. Alinaimbia kuwa kuna pesa atamuingizia mume wangu katika Akaunti yake na kisha mimi nitahamishia kwenye akaunti nyingine ambayo atanipa.

Aliniambia kabisa niwe makini wakati anaingiza hiso pesa atahakikisha mume wangu yupo nyumbani na mimi nihakikishe kuwa, nachukua simu ya mume wangu ili kama akitumiwa meseji na Benki niifute kabla hajashtuka. Kweli nilifanya hivyo, mara ya kwanza mume wangu aliingiziwa milioni kumi.

Baadaye zikaja kuingia tano, zikaja tena kuingia mbili zote hizo alikua ananielekeza namna ya kuzitoa au kuziruma. Baada ya kama miezi mitatu hivi mume wangu alikamatwa, aliwekwa ndani wiki kama mbili hivi ndipoa aktolewa lakini alifukuzwa kazi. Katika kipindi chote hicho bosi wake alikua karibu na mimi na alikua akijifanya kumsaidia mume wangu mpaaka katoka.

Baada ya mume wangu kufukuzwa kazi nilihisi labda ndiyo mapenzi yetu yatadumu lakini haikua hivyo. Alinikatia mawasiliano kwa kigezo kuwa mke wake kamuomba msamaha hivyo hanitaki tena. Kusema kweli nilihisi kuchanganyikiwa, kwangu kila kitu kilisimama, niliona kama ninakufa maana mume wangua likua hana kazi, familai ni kubwa yaani mambo yalikua magumu sana.

Kupata kazi kwa mume wangu ilikua ni ngumu sana kwani kukamatwa kwake kulitangazwa kwenye Magazeti. Alihangaika sana, nilikua na hasira siku moja nikaamua kumpigia simu mke wa yule Baba kumuambia ukweli kuhusu mume wake, namba yake nilikua nayo kipindi natembea na mume wake.

Sikujua kama wakati naongea mume wangu alikua mlangoni akinisikiliza. Nilipomaliza kuongea alifungua mlango, hakunisemesha chochote, alichukua Begi lake la nguo, akatoka bila kunisemesha, mimi nilijua ni hasira tu lakini ni mwaka wa pili sasa hivi mume wangu hajarudi nyumbani na sijui hata yuko wapi.

Kaniachia watoto watatu, ndugu zake yeye ndiyo alikua akiwasaidia hivyo hawana msaada kwangu. Sina kazi, ndugu zangu wamenisusa, hakuna wakunisaidia. Nimechanganyikiwa, nimetoka kuwa mke nimeishia kutembea na waume za watu ili kupata tu pesa kwaajili ya kuhudumia wanangu na sijui nifanye nini?
1707480847649.jpg
 
View attachment 2901955
Chai hz peleka fb
 
Sasa kama una hulka ya umalaya, tutakusaidia vipi?
 
Back
Top Bottom