Nisaidieni, upendo unapungua kwa mume wangu

Na saa nyingine baadhi ya makanisa huko ndo Kuna umbea utajikuta story zako wanazo waumini...... Mamiii mlilie Mungu kajiunge na prayer marathon kabla it's too late yaan uyo mume mbona utashangaa kajiunge embu Mimi nasubiri ushuhuda wako kabla huu mwaka haujaisha
Amen dear ,I will do

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No kipindi tupo uchumba hakuwa anaonyesha hizo tabia,tulipofunga ndoa baada ya miezi kadhaa ndo nikawa nashangaa baadhi ya tabia ,mfano anaweza kufunga samaki mzima sato kama kulikuwa na kifunction kazini ,but akija nampashia kwa oven anakula pekee yake anamaliza namwangalia ,
Safi kabisa huyo Ni dagaa kauzu na wewe njoo na sangala umtafune mbele yake mpaka aishe usiache hata kichwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mumeo ni mmoja wa wale wanaume selfish,uamuzi ni wako kukaa nae au kuachana nae.....mie nakushauri uachane nae bado mapema ukiamua kubaki ujue unatoa sadaka furaha yako...na utabaki miserable for the rest of your life........................

Kuhusu wazazi,nahisi hakupata muda mzuri wa kukubali wamekufa(grieving period)...saa zote ana feel guilty and puzzled kuhusu kifo chao...au anaona wamekufa mapema kabla hajawahudumia kama zawadi ya kumlea......


Kwa kifupi ameyabeba mengi kifuani,ndio maana ukimuudhi kidogo ana snap,dada huyo ni bomu...ondoka kabla hujazaa mtoto wa pili na watatu halafu ushindwe ku move on.
Wewe acha kumpotosha mwenzako unataka awe single mother kama wewe muulize yeye anamapungufu gani kwa mumewe usikute sio mwaminifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amen dear ,I will do

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni muda kidogo toka umeleta bandiko lako dada...Hajaonyesha dalili yoyote ya kubadilika???

Kama Jibu ni hapana...
Hiyo ndoa ni ya kanisani ni kwanini kama wengine walivyoshauri usipeleke hili swala mbele ya mtu anayeheshimika wa dhehebu lako kama mchungaji nk.Kusema hutaki wajue unayopitia na kujionyesha kanisani uko normal wakati una majeraha moyoni si sawa hata kidogo.Hapo huendi kutangaza mbele ya washarika uogope kwamba watu watajua...No.Mapito unayopitia yanasikitisha mno kwa kweli.
 
Back
Top Bottom