- Thread starter
- #141
Pole ,Kuwa na mafua yasio isha kipindi cha baridi au mvua na chafya zisizoisha pamoja na muwasho wa kwenye macho ni nin hasa sababu
Hizo ni dalili za mzio au allergy,
Allergic rhinitis au allergic conjuctivatis.
Allegy ni tatizo linalotokana na overeaction ya mfumo wa kinga kwa kile kitu inachodhani sio sehemu ya mwili wake.
Pale mwili unapotengeneza kumbukumbu hiyo kuwa kitu flani sio sehemu ya mwili, kila kinapoingia mwilini mwili lazima u react.
Allergy mara nyingi ni tatizo sugu ila mwili uendelea kujicontrol kadri unavyoendelea kukua. Its severity tend to descrease.
Ila kuna dawa unaweza kuzitumia ili kupunguza frequency of attacks/occurance and its severity.
Ukipata nafasi wasiliana nami kwa mawasiliano niliyotoa kule juu.