But chief most of the malignant lesions huwa ni painless unless ikiwa kwny benign stage...lakn pia uvimbe kwenye matiti ambao unaambatna na discharge could posibbly be breast abscess unless proven otherwise though inawz pia kuwa breast CA...nafkria hvo chief wanguNdg kwa uandishi wako unaonekana ni mtaalamu wa fani ya Afya.
Nakushauri Kama Kuna mass na pia ni painful sio dalili nzuri.
Je Kuna discharge?
Je kuna ulcer
Je kuna lymphnode enlargement kwapani,au shingoni?
Ukiwa na moja au zaidi ya mambo hayo niliyouliza fanya hima kwenda Hospitali kwa uchunguzi zaidi.
Funguka mkuu ulikuwa unamaanisha nini hasa?Chief hii i guess either to be functional dyspepsia au GERD au PUD.....@@pure man...
Bila kuhoji sana, hata kwa hapa tu ulipofika nikupongeze Dr. Kutumia muda wako kutoa majibu kwa wadau, sio kitu kidogo, inahitaji moyo.
Ila usihau kuwa makwazo hayana budi kuja. Kuna members humu watakuja kuharibu tu, kukejeli nk, ndio pale as a physician unabaki na ile kanuni ya "Big Heart" ili mambo yaende. Kazi njema.
Pole sana Dr, na Mungu akutie nguvuHello guys....!!!
Mniwie radhi kwa kuchelewa kujibu maswali yenu. Nilikua kwenye msiba. Ratiba zikikaa vyema nitarajea kutoa ufafanuzi kwa maswali yaliyoulizwa.
Asanteni
Salaam JF,
Kama mtaalamu wa afya Mungu amenipa msukumo wa kukusaidia kiushauri juu ya changamoto ya kiafya inayokukabiri. Wataalamu tunaamini kutambua msingi wa tatizo ni hatua mhimu katika kulitatua. Natarajia kukusaidia wewe mwana JF na kama si wewe basi ndg yako au jamaa wako wa karibu.
Kimaadili ya kitaaluma sitakiwi kujitangaza nafanya kazi wapi ili isionekane najipigia upatu unaoweza kulenga kujinufaisha, ila ntaomba ushirikiano wako ili ku-maintain doctor- patient relationship, utakaojengwa kwa msingi wa mutual respect.
Kimsingi, mimi ni mtaalamu wa fani za afya. Ni mtumishi wa umma na ninauzoefu wa miaka isiyozidi kumi kwenye field hii. Hivyo mambo ya msingi kiutendaji na kimfumo ninayafahamu na kwa msingi huo ninao uwezo wa kukusaidia kitaalamu juu ya issue mbalimbali za kiafya japo kwa sehemu ili kufanikisha wewe au ndugu yako kuwa na afya njema na ustawi
Context ambayo nataka uitumie ni kuuliza swali la kiafya linalokusibu either kwa kutaja dalili za hali ya kiafya inayokutatiza nami nitakusaidia kujua msingi wa tatizo na kukupa options za tiba kwa muktadha wa conventional medicine yaani tiba ya kitaalamu na sio tiba asili.
Kwa kuzingatia unyeti wa suala la afya, nitakuwa huru kupokea maoni ya wataalamu wenzangu ili kuboresha na kuhakiki kile ntakachokua nakishauri ili ku-ensure safety ya watu wetu. Na kwa msingi huo ntajitahidi kushauri kile tu kinachokubarika as best practice kwenye fani yetu na si vinginevyo.
Kwa watakaojitokeza kupata msaada wangu ninaomba uvumilivu wao hata Kama nitachelewa kukupa msaada unaoutaka. Kumbuka ninashughuri zingine nyeti kwa ujenzi wa Taifa ila nimekusudia kutenga muda ili nitoe mchango wangu kwa jamii.
Idea hii nitaanza kuitekeleza kwa familia hii ya JF ila baadaye na kusudia kuipanua kwa jamii pana ya Watanzania. Hivyo wale wadau wa afya ntaomba ushirikiano wao ili kusaidiana kufikia lengo la uzi huu.
Nakukaribisha ndg yangu ili unufaike na ushauri wa kitaalamu kwa tatizo lako la kiafya yaani medical consultation
Ahsante mkuu. Nimuda wa miezi Saba saizi nasumbuliwa na tatizo ambalo silielewi tatizo lenyewe liko hivi.
Mishipa ya kwenye taya inabana Sana mpaka huwa napiga mihayo kwa tabu Sana.
Pia halii hii husababisha kichwa kuwa kizito na kuwasha kwa ndani na maumivu upande wa masikio na pia naweza kukosa balance kwa mda mchache.
Matatizo haya Yana ambatana na tatizo la kujaa gas tumboni pia nakuwa nahisi clicking sound masikio I.
Kaka, somo la nutrition kwa watu wenye diabetes 2 ni topic ndefu sana ambayo siwezi ieleza kwa kutumia platform hii.Ndg physìcian, natumaini hujambo hebu mwaga chini hapa nutrution guide kwa diabet 2
Asante kwa feedback mzuri mkuu.Ndugu mungu akubariki sana kwa kujitolea kuusaidia uma, hakika Mungu yuko upande wako na nina amini kuna thawabu unazipata,
Mimi nipo kwenye fifties, nasumbuliwa na maumivu upande wa kushoto chini kidogo ya kitovu. Sometimes nikikaa sana kwenye kiti nahisi maumivu inabidi niebend upande wa kulia ili kuupa ahueni huu upande wa kushoto, pia ninaposafiri mf toka dar hadi singida inafika muda naienjeka kwa kulia hasa nikihisi maumivu upande huu wa kushoto, kama nimekaa, nikibend leftwards nahisi ka maumivu eneo hilo ila nikibend rightwards sina maumivu. Naomba msaada wako, eneo lenyewe ni maeneo ya kiuno, chini ya kitovu upande wa kushoto
habar mkuu naomba unisaidie kwenye kolodani zangu zina shida moja naona inapotea inakuwa ndogo sana halafu pembeni kuna kama mabonde bonde lakini haziumi na pia nikifanya mapenzi bao 2 tu shahawa hakuna, plzSalaam JF,
Kama mtaalamu wa afya Mungu amenipa msukumo wa kukusaidia kiushauri juu ya changamoto ya kiafya inayokukabiri. Wataalamu tunaamini kutambua msingi wa tatizo ni hatua mhimu katika kulitatua. Natarajia kukusaidia wewe mwana JF na kama si wewe basi ndg yako au jamaa wako wa karibu.
Kimaadili ya kitaaluma sitakiwi kujitangaza nafanya kazi wapi ili isionekane najipigia upatu unaoweza kulenga kujinufaisha, ila ntaomba ushirikiano wako ili ku-maintain doctor- patient relationship, utakaojengwa kwa msingi wa mutual respect.
Kimsingi, mimi ni mtaalamu wa fani za afya. Ni mtumishi wa umma na ninauzoefu wa miaka isiyozidi kumi kwenye field hii. Hivyo mambo ya msingi kiutendaji na kimfumo ninayafahamu na kwa msingi huo ninao uwezo wa kukusaidia kitaalamu juu ya issue mbalimbali za kiafya japo kwa sehemu ili kufanikisha wewe au ndugu yako kuwa na afya njema na ustawi
Context ambayo nataka uitumie ni kuuliza swali la kiafya linalokusibu either kwa kutaja dalili za hali ya kiafya inayokutatiza nami nitakusaidia kujua msingi wa tatizo na kukupa options za tiba kwa muktadha wa conventional medicine yaani tiba ya kitaalamu na sio tiba asili.
Kwa kuzingatia unyeti wa suala la afya, nitakuwa huru kupokea maoni ya wataalamu wenzangu ili kuboresha na kuhakiki kile ntakachokua nakishauri ili ku-ensure safety ya watu wetu. Na kwa msingi huo ntajitahidi kushauri kile tu kinachokubarika as best practice kwenye fani yetu na si vinginevyo.
Kwa watakaojitokeza kupata msaada wangu ninaomba uvumilivu wao hata Kama nitachelewa kukupa msaada unaoutaka. Kumbuka ninashughuri zingine nyeti kwa ujenzi wa Taifa ila nimekusudia kutenga muda ili nitoe mchango wangu kwa jamii.
Idea hii nitaanza kuitekeleza kwa familia hii ya JF ila baadaye na kusudia kuipanua kwa jamii pana ya Watanzania. Hivyo wale wadau wa afya ntaomba ushirikiano wao ili kusaidiana kufikia lengo la uzi huu.
Nakukaribisha ndg yangu ili unufaike na ushauri wa kitaalamu kwa tatizo lako la kiafya yaani medical consultation.