Niruhusu nikusaidie kutatua changamoto yako kiafya

Mi naomba unisaidie nimekuwa na tatizo la mawazo mda mrefu saizi naona mabadiliko makubwa sana mwilini mwangu mishipa ya shingo kuuma na kuchoma choma kwa ndani kifua kuwaka moto na mgongo na kichwani kama nimebeba kitu mda wote kama kunachoma choma yan hakueleweki kabisa na hii hali ya kichwani tangu wa kumi mawazo tangu wa saba had leo sijapata suruhisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila vidonda vya tumbo positive dawa nilishamaliz lakin nafuu hamna kichwa nikibonyeza bonyeza kwa vidole kinauma na kifua nikibonyeza ivy ivy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom