Tatizo langu ni kama unavyoona pichani kuja vitu vimetoka sivielewielewi niliuliza humu jf nikawa nakejeliwa tu,
View attachment 1267583
SijakusomaPandisha juu kidogo mita 2.8 nione extent ya tatizo. Ni viwatilifu mwambato vyenye instilahi hasi.
Wewe Mimi nimeyapata hadi nimedataNi kweli wenye damu kundi 0 wana kinga ya magonjwa ya zinaa?
Tuwasiliane kwa njia gani?Pole mkuu, naomba tuwasiliane
Njoo pm nitakupa msaada...Mdogo wangu ana tatizo la kutosikia vizuri nilimpeleka muhimbili kufanyiwa vipimo na kubainika kuwa tatizo lake haliwezi kutibika anatakiwa kuvaa mashine ya kumsaidia kuweza kusikia kwa gharama ya laki 3 kwa moja na gharama za kumvalisha elfu 70. Cha ajabu kuna sehem nimeambiwa iko kifaa kinauzwa elfu 80 kwa @1. Naomba kujua nini utafauti wake kiutendaji na athari zake. Kijana ameshakwenda kuripoti chuoni anadai haelewi kitu darasani wala hamsikii kabisa mwalim. Ushauri wako plz ili aweze kuendelea vzuri na masomo yake. Asante
Mkuu so hiyo Rh+ na Rh- ina nitofauti na group zadamu?Swali zuri sana mkuu na limekua likileta shida sana kwenye familia zetu.
Kabla sijajibu swali lako fuatilia maelezo yafuatayo.
Tatizo hili Kiko kwenye group tunaloliita kitaalamu "Rhesus factor incopatibility"
Hiyo Rhesus fotor Ni aina ya protein ipo kwenye damu zetu, ambaye anayo hiyo factor tunamuita Rhesus foctor positive (Rh+), ambaye hana anaitwa Rhesus foctor negative (Rh-).
Watu wengi wako kwenye kundi la Rh+. Na factor hii uweza kurithishwa toka kwa baba kwenda kwa mtoto.
Sasa ukiwa wewe mwaume ni Rh+ na mkeo ni Rh-, mtoto wenu atakua Rh+.
Sasa mama mjamzito ambaye ni Rh- akibeba kichanga chenye Rh+ , mwili wa mama utazalisha antibodies na kukishambulia kichanga, na hapo mimba huaribika.
Mara nyingi tatizo hili utokea kwa mimba zitakazotungwa baada ya ujauzito wa kwanza. Hapa ndo unasikiaga watu wakisema mama yule alizaa mwanae wa kwanza vizuri, ila mimba zilizofuata zote zinaharibika!! Msipoelewa tatizo mtaanza kushikana uchawi.
Kitu Cha kuzingatia ,ukiwa mjamzito ,mme na mke fikeni clinic ,mtafanyiwa uchunguzi na mtaelekezwa namna bora za kuzibiti hali hiyo.
Nadhani nimekusaidia.
Uwiiii. Ngoja ncheze taratibu ili yasinifikeWewe Mimi nimeyapata hadi nimedata
Mkuu ukipata tiba twambiane nami nna baba yangu anashida kama hiyi nimwaka na nusu anakidonda ktk mguu hakiponiKidonda kina miaka mitano Mkuu hakiponi kabisaView attachment 1269252
Naomba msaada kwa yafuatayo,Salaam JF,
Kama mtaalamu wa afya Mungu amenipa msukumo wa kukusaidia kiushauri juu ya changamoto ya kiafya inayokukabiri. Wataalamu tunaamini kutambua msingi wa tatizo ni hatua mhimu katika kulitatua. Natarajia kukusaidia wewe mwana JF na kama si wewe basi ndg yako au jamaa wako wa karibu.
Kimaadili ya kitaaluma sitakiwi kujitangaza nafanya kazi wapi ili isionekane najipigia upatu unaoweza kulenga kujinufaisha, ila ntaomba ushirikiano wako ili ku-maintain doctor- patient relationship, utakaojengwa kwa msingi wa mutual respect.
Kimsingi, mimi ni mtaalamu wa fani za afya. Ni mtumishi wa umma na ninauzoefu wa miaka isiyozidi kumi kwenye field hii. Hivyo mambo ya msingi kiutendaji na kimfumo ninayafahamu na kwa msingi huo ninao uwezo wa kukusaidia kitaalamu juu ya issue mbalimbali za kiafya japo kwa sehemu ili kufanikisha wewe au ndugu yako kuwa na afya njema na ustawi
Context ambayo nataka uitumie ni kuuliza swali la kiafya linalokusibu either kwa kutaja dalili za hali ya kiafya inayokutatiza nami nitakusaidia kujua msingi wa tatizo na kukupa options za tiba kwa muktadha wa conventional medicine yaani tiba ya kitaalamu na sio tiba asili.
Kwa kuzingatia unyeti wa suala la afya, nitakuwa huru kupokea maoni ya wataalamu wenzangu ili kuboresha na kuhakiki kile ntakachokua nakishauri ili ku-ensure safety ya watu wetu. Na kwa msingi huo ntajitahidi kushauri kile tu kinachokubarika as best practice kwenye fani yetu na si vinginevyo.
Kwa watakaojitokeza kupata msaada wangu ninaomba uvumilivu wao hata Kama nitachelewa kukupa msaada unaoutaka. Kumbuka ninashughuri zingine nyeti kwa ujenzi wa Taifa ila nimekusudia kutenga muda ili nitoe mchango wangu kwa jamii.
Idea hii nitaanza kuitekeleza kwa familia hii ya JF ila baadaye na kusudia kuipanua kwa jamii pana ya Watanzania. Hivyo wale wadau wa afya ntaomba ushirikiano wao ili kusaidiana kufikia lengo la uzi huu.
Nakukaribisha ndg yangu ili unufaike na ushauri wa kitaalamu kwa tatizo lako la kiafya yaani medical consultation.
Ngoja nije mkuu...Tatizo la infertility nimeshalieza kwa ufupi huko juu. Jaribu kupitia mkuu unaweza pata mwanga.
Kipimo Cha kujua Kama mirija ya uzazi iko patent kinaitwa hysterosalpingography (HSG)
Ukiwa unahitaji msaada zaidi tuwasiliane mkuu
msaada nahitaji...Tatizo la infertility nimeshalieza kwa ufupi huko juu. Jaribu kupitia mkuu unaweza pata mwanga.
Kipimo Cha kujua Kama mirija ya uzazi iko patent kinaitwa hysterosalpingography (HSG)
Ukiwa unahitaji msaada zaidi tuwasiliane mkuu
Mkuu Pole na majukumu, naomba majibu ya maswali yanguMkuu wewe ni hatari, maswali mengi kweli. Sehemu nimeshajibu huko juu, please pitia comment zangu. Ila badae ntarejea kujibu mengine
umepima ukimwi?? samahani lakini [emoji23][emoji23]Tatizo langu ni kama unavyoona pichani kuja vitu vimetoka sivielewielewi niliuliza humu jf nikawa nakejeliwa tu,
View attachment 1267583
Mkuu koromeo likipiga mluzi wakati was kuhema shida ninini? Pia kikohozi hasa usiku.Nimesomea mambo mengi but feel free to address me as physician
Limeanza lini?Mkuu koromeo likipiga mluzi wakati was kuhema shida ninini? Pia kikohozi hasa usiku.
Kidonda kina miaka mitano Mkuu hakiponi kabisaView attachment 1269252
Huyo mtu hasumbuliwi na kisukari? Vidonda vya wenye kisukari wakipata huwa haviponi na visipo shughulikiwa vizuri vinachimbika.Mkuu ukipata tiba twambiane nami nna baba yangu anashida kama hiyi nimwaka na nusu anakidonda ktk mguu hakiponi