Nipo Mwanza, haijanivutia kabisa

Nipo Mwanza, haijanivutia kabisa

Kwel kabisa.Lkn warembo asilia wapo vjjn hata hapo Mwz jijin mkorogo ni a kufa mwanadam !,yan usiombe ukapanda hiace NA Ke alyejkrimu n MNUKO WA HTR SANA.Jasho, mixer chemicals from mkorogo n balaa yan.Ila kwa warembo kabisa , AISEE ARUSHA NI BALAA DADA KAPEACE.HATA MWANZA INAKAA KWA A-CIR
Hii ni vita ya daslam na rockcity arusha iache kwanza maana hawa wanaume wala ubuyu na viepe wanapenda kujishongondoa
 
Habari zenu wadau
Ni siku yangu Ya pili hapa Rock City (Mwanza) kama inavyo julikana na wengi

Kwa wale wanao tamani kufika mwanza ambalo lisha tunukiwa sifa ya jiji miaka kadhaa sasa lakini jina hilo haliendani na sifa ambayo inapewa

Saa yangu inaonyesha ni saa 1:23 usiku ndani ya dar lux tunaingia mwanza, moyo unashtuka baada ya kuambiwa Nyegezi stand ndo mwisho wa safari, wakimaanisha tusha fika mwanza

Ni giza kila sehemu stand ya nyegezi kama dampo jamaaaani hakuna taa barabara imejaamashimo, taa za barabarani haziwaki

Tunatoka nyegezi twaelekea Nata ambako ndio mwisho wa gari jamaaaani city centre mashimo, viroba vya taka vimetupwa katikati ya barabara

Hiyo ndio mwanza unayo isikia
Pana pambazuka asubuh najiandaa kwa ajili ya mishe ilo nifikisha uuuuuwiiiiii daladala zimechoka, na zinajaza balaa, vituo havieleweki kama vile hakuna mkandarasi wa jiji
Je mkuu wa mkoa hayupo au hajifunzi kutoka kwa Makonda
Kuna jamaa alitokea cape town alipofika DAR alisiktika sana. Alitamani shuguli yake iishe mapema.
 
Ukweli jiji la mwanza limekuwa la hovyo sana, pale buzuruga stand karibu na tfda kuna kashimo kadogo barabarani kameachwa tu hadi lami yote ibomoke sijui ndio wajenge mpya? Hovyo sana

Shua mkuu kwenye ukweli tusema mwanza pamekua pa ovyo sana pachafu sijui kwa nini tofauti na miaka kama mi tatu nyuma
 
WEWE, MWANZA NI MATATA SANA ! TEMBEA KAPIRI POINT, ILEMELA AIRPORT, PANSIASI CCM KILUMBA N.K UONE MAAJABU KTK TANZANIA HII.NILIFIKA KULE MARA YA KWANZA 2010, NIKASHANGAA KUONA ULAYA KTK AFRIKA.NILIFIKA DAR YENU HIYO LKN HAIIFIKII MWANZA 4 SURE ! MBEYA SIJAFIKA ILA MWANZA N HTR SANA ! NIPO ARUSHA ILA HATA ARUSHA HAIIFIKII MWANZA KWA UZR.ACHA T MM SIYO WA MWANZA LKN NNAONGEA UKWEL WANGU.
We unazingua
 
I love lringa city, small but very smart and clean
Mmhh!. Kiukweli mm ni wa Iringa, nimekulia Iringa mjini home ni Njombe kwa sasa njia ya Lusisi kuelekea Igwachanya makao makuu ya H/W Wanging'ombe but to be fair and impartial Iringa big panaboa ile mbaya.
 
Sehemu nzuri ya kuishi kwa mtu anayejua maana ya maisha ni mkoa wa Kilimanjaro tu........

NB;
Ni mtazamo tu
Cha ajabu watu wa kilimanjaro wamekimbia mkoa wao wako huku mikoani wanapambana na maisha wanarudi kwao mwezi wa 12 tu pamoja uzuri wote wa mkoa huo.
 
Habari zenu wadau
Ni siku yangu Ya pili hapa Rock City (Mwanza) kama inavyo julikana na wengi

Kwa wale wanao tamani kufika mwanza ambalo lisha tunukiwa sifa ya jiji miaka kadhaa sasa lakini jina hilo haliendani na sifa ambayo inapewa

Saa yangu inaonyesha ni saa 1:23 usiku ndani ya dar lux tunaingia mwanza, moyo unashtuka baada ya kuambiwa Nyegezi stand ndo mwisho wa safari, wakimaanisha tusha fika mwanza

Ni giza kila sehemu stand ya nyegezi kama dampo jamaaaani hakuna taa barabara imejaamashimo, taa za barabarani haziwaki

Tunatoka nyegezi twaelekea Nata ambako ndio mwisho wa gari jamaaaani city centre mashimo, viroba vya taka vimetupwa katikati ya barabara

Hiyo ndio mwanza unayo isikia
Pana pambazuka asubuh najiandaa kwa ajili ya mishe ilo nifikisha uuuuuwiiiiii daladala zimechoka, na zinajaza balaa, vituo havieleweki kama vile hakuna mkandarasi wa jiji
Je mkuu wa mkoa hayupo au hajifunzi kutoka kwa Makonda
Usiiponde Mwanza bure! Hata hiyo Dar unayoisifia mbona ya hovyo tu? Kuna changamoto gani iliyopo Mwanza Dar haipo? Mimi naona Dar inachoizidi Mwanza ni population na ukubwa in terms of sq kms. Vingine bora na Mwanza. Wewe leo umefika Mwanza lakini wenzio hata huko ulikotoka tunapafahamu! Karibu Mwanza
 
Habari zenu wadau
Ni siku yangu Ya pili hapa Rock City (Mwanza) kama inavyo julikana na wengi

Kwa wale wanao tamani kufika mwanza ambalo lisha tunukiwa sifa ya jiji miaka kadhaa sasa lakini jina hilo haliendani na sifa ambayo inapewa

Saa yangu inaonyesha ni saa 1:23 usiku ndani ya dar lux tunaingia mwanza, moyo unashtuka baada ya kuambiwa Nyegezi stand ndo mwisho wa safari, wakimaanisha tusha fika mwanza

Ni giza kila sehemu stand ya nyegezi kama dampo jamaaaani hakuna taa barabara imejaamashimo, taa za barabarani haziwaki

Tunatoka nyegezi twaelekea Nata ambako ndio mwisho wa gari jamaaaani city centre mashimo, viroba vya taka vimetupwa katikati ya barabara

Hiyo ndio mwanza unayo isikia
Pana pambazuka asubuh najiandaa kwa ajili ya mishe ilo nifikisha uuuuuwiiiiii daladala zimechoka, na zinajaza balaa, vituo havieleweki kama vile hakuna mkandarasi wa jiji
Je mkuu wa mkoa hayupo au hajifunzi kutoka kwa Makonda
acha uwongo dar lux ya jana ililala shinyanga, sasa wewe sijui huo usiku wa saa saba ulifikaje na dar lux mwanza...
 
Kuna warembo pia usisahau tena asilia sio km wa daslam wanapendeza kichina china full kujisiliba mekapu halafu wakilowa jasho anajipaka eti wao ndo kujifuta ndo maana wananuka papuchi
Hahah.af we kapeace madem wa dar wamekufanyaje?

Maana sjawai ona umecomment + hata sku1...tatzo madem wa mkoa wamekomaa kapeace,sasa sjui ni barid ndo inawakausha ama nin..af weng hawaijui deodorant..
 
Back
Top Bottom