Dar panaitwa KIJIJI CHA WAVUVI according to BBCNimefika mwanza hakuna lolote shombo sangara tu jiji moja tu ...dar...kwingine mini tu..misifa miiiiiiingi
Ishu kwanza kaanza kuongea uongo hvyo hata maada nzima inakuwa ni ya uongoWatanzania Tuna matatizo ... Mada ni JIJI au Muda ?
Mada imehama kutoka kwenye jiji kwenda kwenye uongo wa mleta mada. Kama ni kweli yuko mwanza na alitaka kulichambua jiji kwa kasoro alizoziona basi angetumia hoja na data za kweli badala ya ulongo. Uongo ni immorality kama wizi, uzinzi, uuaji, usaliti, nk.
Acha uongo wewen...dar hadi mwanza unafika saa 1 haahaha labda mlilala.jana yake misungwi ndo mkaamkia mwanzaKutoka dar, tena hilo lilichelewa sana
Kama umeishia kwenda kamanga kivukoni wategemea usikie harufu ya nini mkuu?Nimefika mwanza hakuna lolote shombo sangara tu jiji moja tu ...dar...kwingine mini tu..misifa miiiiiiingi
Elim huna blaza,..jamaa kaandika 1.23 ya kizungu,toka lin tunasoma muda kiswahil blaza?mbona unatia aibuYaan hapa ni kutaka kumuonyesha kuwa anaposema uongo akumbuke kupanga data vizuri!
Baada ya hapo anashushia na maji ya KandoroDar inanuka vinyesi balaa na joto lenu mh unakuta mtu anatiririka mijasho anachukua kitambaa na kujipakaa tu putuuuuuuu
Baada ya hapo anashushia na maji ya KandoroDar inanuka vinyesi balaa na joto lenu mh unakuta mtu anatiririka mijasho anachukua kitambaa na kujipakaa tu putuuuuuuu
Kwa hio tanzania nzima wahamie kilimanjaro?Sehemu nzuri ya kuishi kwa mtu anayejua maana ya maisha ni mkoa wa Kilimanjaro tu........
NB;
Ni mtazamo tu
Umenichekesha sana mkuu.Jij ni 1 tu Tanzania,nalo ni DSM ,
Mengine ni kujipa moyo,hakuna cha mwanza wala arusha wala nn,..ni kujipa moyo tuu

Habari zenu wadau
Ni siku yangu Ya pili hapa Rock City (Mwanza) kama inavyo julikana na wengi
Kwa wale wanao tamani kufika mwanza ambalo lisha tunukiwa sifa ya jiji miaka kadhaa sasa lakini jina hilo haliendani na sifa ambayo inapewa
Saa yangu inaonyesha ni saa 1:23 usiku ndani ya dar lux tunaingia mwanza, moyo unashtuka baada ya kuambiwa Nyegezi stand ndo mwisho wa safari, wakimaanisha tusha fika mwanza
Ni giza kila sehemu stand ya nyegezi kama dampo jamaaaani hakuna taa barabara imejaamashimo, taa za barabarani haziwaki
Tunatoka nyegezi twaelekea Nata ambako ndio mwisho wa gari jamaaaani city centre mashimo, viroba vya taka vimetupwa katikati ya barabara
Hiyo ndio mwanza unayo isikia
Pana pambazuka asubuh najiandaa kwa ajili ya mishe ilo nifikisha uuuuuwiiiiii daladala zimechoka, na zinajaza balaa, vituo havieleweki kama vile hakuna mkandarasi wa jiji
Je mkuu wa mkoa hayupo au hajifunzi kutoka kwa Makonda
We mwanaume wa dar umetoka huko unakula vichips kuHabari zenu wadau

Kijini kwenu hakuna mashimo?Ukweli jiji la mwanza limekuwa la hovyo sana, pale buzuruga stand karibu na tfda kuna kashimo kadogo barabarani kameachwa tu hadi lami yote ibomoke sijui ndio wajenge mpya? Hovyo sana
Jamaa anataka kudanganya watu,mi nayajua hayo mashimo uliyoyasema ya pamba road na Lumumba roadAcha kudanganya watu hapa wewe.kuna daladala mbovu hapa mjini toka lini?watu mna vimaneno vya kijinga jinga kweli sijui utapata nini kuwadanganya watu.mji huu una hiace kama mchanga na zote kwa %90 ni gari mpya.mashimo barabarani umeyaona wapi?kuna uchakavu wa barabara kidogo mwanzoni mwa pamba road na Lumumba road kutokana na mapolomoko ya maji ya mvua maana kuna mwinuko kidogo basi,na hazina hata point 4 za kilometer.sasa hayo mashimo ya mpaka wewe kuleta maneno hapa umeyaona wapi?
Jamaa ni liongo hujapata ona duniani..Jamaa anataka kudanganya watu,mi nayajua hayo mashimo uliyoyasema ya pamba road na Lumumba road