Nipo Mwanza, haijanivutia kabisa

Nipo Mwanza, haijanivutia kabisa

Mwanza kuna maeneo yenye changamoto kama sehemu nyingine..

Ambacho sikukipenda Mwanza baadhi ya maeneo kuwa na mbwa wengi wanaozurura mitaani..

Vinginevyo,ah kuna maeneo unaweza dhani uko nchi zilizoendelea..
 
Habari zenu wadau
Ni siku yangu Ya pili hapa Rock City (Mwanza) kama inavyo julikana na wengi

Kwa wale wanao tamani kufika mwanza ambalo lisha tunukiwa sifa ya jiji miaka kadhaa sasa lakini jina hilo haliendani na sifa ambayo inapewa

Saa yangu inaonyesha ni saa 1:23 usiku ndani ya dar lux tunaingia mwanza, moyo unashtuka baada ya kuambiwa Nyegezi stand ndo mwisho wa safari, wakimaanisha tusha fika mwanza

Ni giza kila sehemu stand ya nyegezi kama dampo jamaaaani hakuna taa barabara imejaamashimo, taa za barabarani haziwaki

Tunatoka nyegezi twaelekea Nata ambako ndio mwisho wa gari jamaaaani city centre mashimo, viroba vya taka vimetupwa katikati ya barabara

Hiyo ndio mwanza unayo isikia
Pana pambazuka asubuh najiandaa kwa ajili ya mishe ilo nifikisha uuuuuwiiiiii daladala zimechoka, na zinajaza balaa, vituo havieleweki kama vile hakuna mkandarasi wa jiji
Je mkuu wa mkoa hayupo au hajifunzi kutoka kwa Makonda
Basi pambana na hali yako. Mbona nyumbani kwenu pachafu vile vile. Rotten mind......
 
Naona Povu usikasirike ndugu mpo nyuma...

Serikali imesema kuwa Kigoma, Geita, Kagera, Singida na Mwanza ndiyo mikoa mitano maskini zaidi nchini, aidha mikoa ya Dar es salaam, Kilimajaro, Arusha, Pwani na Manyara ndiyo mikoa mitano yenye ahueni ya umaskini nchini

Waziri wa fedha na mipango Dk Phillip Mpango alisema hayo jana wakati akiwasilisha bungeni taarifa ya hali ya uchumi ya mwaka 2015 na mpango wa maendeleo wa taifa kwa mwaka wa fedha 2016/17.

Mikoa mitano maskini zaidi Tanzania hii hapa – Millardayo.com
Hapa ndo unashindwa kuelewana na G taxi unaleta takwimu za umasikini za mkoa wa Mwanza badala za jiji la la Mwanza. Ukichukua takwimu za mkoa kweli itakuwa masikini kwa sababu inajumuisha Kwimba, Magu ambako uchumi wake unategemea zaidi zao la pamba ambalo ni kama lishakufa.
 
Mwanza jiji kungekuwa na maendeleo makubwa kama tunavyoaminishwa na mchangiaji aliyepita huko kote ulipopataja kungeadopt kile kilichopo kwa jirani yao. Kwenye list hiyo ya mikoa masikini umeona jiji gani lingine? je mikoa kama Tanga,Mbeya na Arusha ni majiji Mikoa yote??
 
Kweli wewe uwezo wako mdogo Ruvuma sio jiji je wana umasikini kuwa jiji sio kegezo cha mkoa mzima usiwe masikini kuna changamoto za hali ya hewa ya maeneo husika kilimo na shughuli zingine za kuingiza kipato sasa Maeneo kama Kwimba, Misungwi hakuna zaidi ya pamba.
 
Kama unaishangaa mwanza kuwa jiji siku ukifika mbeya itakuwaje?
Mbeya is growing at steady rate ni tofauti na mwanza ambayo ulikuwa kwa kasi sasa imefifia ,afu hata potentially mbeya itakuwa poa kuliko mwanzs
 
Mbeya is growing at steady rate ni tofauti na mwanza ambayo ulikuwa kwa kasi sasa imefifia ,afu hata potentially mbeya itakuwa poa kuliko mwanzs
mkuu hamna hata siku moja mbeya itakuja izidi mwanza,sababu mikoa inayoizunguka mwanza ndio mikoa inayoongoza kuwa na rasilimali nyingi kama migodi,mbuga,n.k
 
Mwanza ni kati ya majiji yanayoongoza kuwa na miundo mbinu mbovu
Barabara ya kuingia katikati ya jiji ni majanga ukianzia maeneo ya nyegezi kona mpaka maeneo ya sahara ni mashimo ya kufa mtu.
Barabara ni finyu sana na viwanda viko too close na barabara
Ukianzia Pepsi mpaka maeneo ya posta ni balaa, gari ikipata hitilafu hata njia za kuchepukia hakuna.
Viroba vya taka kila mahali nasikia walikua na mgogoro na kampuni yenye kandarasi ya kuzoa taka.
 
BeautyPlusMe_20180223222814_save.jpg
BeautyPlusMe_20180223222741_save.jpg

Penda sana huu mji....!!
 
mkuu hamna hata siku moja mbeya itakuja izidi mwanza,sababu mikoa inayoizunguka mwanza ndio mikoa inayoongoza kuwa na rasilimali nyingi kama migodi,mbuga,n.k
Hizo hadithi kuwa Nazi makini,kwa idadi ya watu sawa hakuna ila kwa economic potential itaikuta na kuipita in long run,Reli ya Tanga-Arusha-Musoma ndio killer ya mwanza,hiyo mikoa mingine inazidi punguza dependence kwa mwanza,daily,keep these words,,Tanzania ya fursa inafungukia kusini na mashariki huko kwingine ni kuunga unga tu
 
Nakukata Kauli mkuu ,NILIENDA mwanza January 27 mwaka huu japo niliingia saa 6 mchana na kuondoka saa Moja jioni kurudi Arusha .Kwa Muda ule niliokaa hapo japo Ni mfupi Niliona Mwanza pako vizuri zaidi ya Arusha .pale mjini Kuna majengo mengi mazuri tuu ,Achilia mbali hizo hoteli za kisasa zilizojengwa pembeni mwa ziwa .Mwanza Ni nzuri bhana .
 
Back
Top Bottom