Nipo Mwanza, haijanivutia kabisa

Nipo Mwanza, haijanivutia kabisa

Kutoka dar, tena hilo lilichelewa sana

Hakuna bus la kutoka dar likaingia mwanza saa 1 magharibi wadanganye wasiofahamu
Ma bus ya arusha na moshi ndio mida yao hio magharibi hadi saa 2 usiku
Ma bus ya dar yakiwahi saaaaana ni saa5 usiku ndio yanafika mwanza
Mida ya magharibi yanakuwa Nzega
 
Saa1 magharibi ma bus ya dar yanakuwa Nzega kwa mujibu wa sheria ya SUMATRA kutokana na muda wao walio weka
Huyu alivofika nzega akajua ndio tayari kashaingia jiji la Rock City
Mleta mada bora ungeisherehesha post yako kwa kusema kuwa nilipoamka asubuhi nilishangaa kuona hivi na vile
Kwasbb %99 ya wasafiri wanaofika toka dar wanakuwa hoi na safari kutokana na mwendo wa taratibu wa ma bus hadi safari unaiona ndefu saaana.
Sasa wewe uliwezaje kuangalia barabarani ati taka zimetupwa
Sasa ngoja urudi dar kwa bus kulala msamvu morogoro ni muhimu
Ma bus machache saana yanayotoboa siku hio hio
 
Wahamiaji wa dar wakifikaga mwanza wanajiona kama vile wametoka mamtoni kila wakionacho mwanza wanakikosoa,hivyo viroba barabarani labda kaweka yeye. Taa za baa za barabaran zinawaka kila usiku
Acha kudanganya watu hapa wewe.kuna daladala mbovu hapa mjini toka lini?watu mna vimaneno vya kijinga jinga kweli sijui utapata nini kuwadanganya watu.mji huu una hiace kama mchanga na zote kwa %90 ni gari mpya.mashimo barabarani umeyaona wapi?kuna uchakavu wa barabara kidogo mwanzoni mwa pamba road na Lumumba road kutokana na mapolomoko ya maji ya mvua maana kuna mwinuko kidogo basi,na hazina hata point 4 za kilometer.sasa hayo mashimo ya mpaka wewe kuleta maneno hapa umeyaona wapi?
 
Dom to mwanza unafika saa kumi na mbili au saa moja jioni.
tatizo mmekariri sana yaani mtu kwenda mwanza lazima atoke dar! unsjuaje je km ametoka arusha au dodoma?
 
Nimeishi mikoa tofauti tofauti ikiwemo.Dar es salaam,morogoro,Ruvuma,iringa,singida,Dodoma,njombe lakini yote hiyo hakuna niliotokea kuupenda zaida kama dar na ndio naishi na pia nimeishi kwa miaka mingi sana
 
Acha kudanganya watu hapa wewe.kuna daladala mbovu hapa mjini toka lini?watu mna vimaneno vya kijinga jinga kweli sijui utapata nini kuwadanganya watu.mji huu una hiace kama mchanga na zote kwa %90 ni gari mpya.mashimo barabarani umeyaona wapi?kuna uchakavu wa barabara kidogo mwanzoni mwa pamba road na Lumumba road kutokana na mapolomoko ya maji ya mvua maana kuna mwinuko kidogo basi,na hazina hata point 4 za kilometer.sasa hayo mashimo ya mpaka wewe kuleta maneno hapa umeyaona wapi?

Anachokiongea mleta uzi ni kweli mwenyewe nipo mwanza lakini huu mjini miundo mbinu barabara hamna kitu labda njia ya airport
 
Toka porini huko njoo maeneo ya airport road huku ufike hata Diamond pub au Villa Park uione Mwanza.

Mwanza viwanja vya kula bata baada ya Diamond Galaxy au rock bottom umemaliza mwanza na karioki ya rock city mall
 
WEWE, MWANZA NI MATATA SANA ! TEMBEA KAPIRI POINT, ILEMELA AIRPORT, PANSIASI CCM KILUMBA N.K UONE MAAJABU KTK TANZANIA HII.NILIFIKA KULE MARA YA KWANZA 2010, NIKASHANGAA KUONA ULAYA KTK AFRIKA.NILIFIKA DAR YENU HIYO LKN HAIIFIKII MWANZA 4 SURE ! MBEYA SIJAFIKA ILA MWANZA N HTR SANA ! NIPO ARUSHA ILA HATA ARUSHA HAIIFIKII MWANZA KWA UZR.ACHA T MM SIYO WA MWANZA LKN NNAONGEA UKWEL WANGU.
 
Kuna warembo pia usisahau tena asilia sio km wa daslam wanapendeza kichina china full kujisiliba mekapu halafu wakilowa jasho anajipaka eti wao ndo kujifuta ndo maana wananuka papuchi
 
Kuna warembo pia usisahau tena asilia sio km wa daslam wanapendeza kichina china full kujisiliba mekapu halafu wakilowa jasho anajipaka eti wao ndo kujifuta ndo maana wananuka papuchi
Kwel kabisa.Lkn warembo asilia wapo vjjn hata hapo Mwz jijin mkorogo ni a kufa mwanadam !,yan usiombe ukapanda hiace NA Ke alyejkrimu n MNUKO WA HTR SANA.Jasho, mixer chemicals from mkorogo n balaa yan.Ila kwa warembo kabisa , AISEE ARUSHA NI BALAA DADA KAPEACE.HATA MWANZA INAKAA KWA A-CIR
 
Back
Top Bottom