Nipo Mwanza, haijanivutia kabisa

Nipo Mwanza, haijanivutia kabisa

Sio lazima kudanganya watu..yaan ata kama umetoka dar lakin basi likalala nzega au shinyanga hauwez kufika mwanza muda huo ulioandika.
N:B lazima ujue kuwa jf ni ya watu makini uongo wa ki zwazwa pelekea watoto..shubhaamitt
 
We unazingua
Sawa.Endelea kujifariji kwamba DAR YENU YA AJABU HIVYO ET N JIJI BORA TZ N.K MAANA NI HAKI YAKO KUDHANIA HIVYO MIMI SIYO WA MWANZA NI WA KIFOMA ILA DAR, ZOO NA A-CITY NMEFKA, NARUDIA TENA NA TENA NDG YNF, KWA MM NNAJUA JIJI LA MWANZA NI HATAR KTK MAENDELEO TZ.MIUNDOMBINU IKO VZR, MANDHARI SAFI SANA, HALI YA HEWA NZURIIIIII PESA INAPATIKANA N.K N.K N.K ... DAR SIYO JIJI ZURI.
 
anachosema mleta mada yupo sahihi kabisa hata mimi mara ya kwanza kufika sikuamini kama ndo lile jiji nalosikia linasifiwa sana na akinangosha, Ni mji mdogo sana na haujapangwa kabisa ukielekea buzuruga angalia apo mabatini huamini kama upo mjini tena, kweny usafir wa public ndo kituko hapo kuna vigari vinabeba abiria apo mfano Kihesa,airpot ni aibu. kweny suala la stand ndo wamepitwa hadi na singida. huwezi kulinganisha stand zote mbili na stand kuu ya singida. niliona hili nikapiga kimya kumbe na ww umeyaona. mje hapa
 
Kweni mbagala siyo mjini?uswazi hata ukienda South utaikuta..we nae vipi
 
Sijakataa kuhusu uswazi ila kwa sifa mwanza inazopewa yeyote akifika atastaajabu. HAKUNA KITU MWANZA. Mji ule ulistahili tu kuwa mamlaka ya mji mdogo. Pita sasa apo makoroboi yan adi unacheka.. hahha ahaha
 
Hujakaa na kutembea Mwanza wewe.we ni mtu uliyekuja na kutoka na ninahisi umejaa na ushamba pia.nikikuuliza hapo utasema unaishi Dar lakini tukitafuta umezaliwa wapi na kwenu ni wapi tutakuta umetokea Sagara Mpwapwa huko.waTanzania wengi ni kama mna matatizo kichwani
 
Naona Povu usikasirike ndugu mpo nyuma...

Serikali imesema kuwa Kigoma, Geita, Kagera, Singida na Mwanza ndiyo mikoa mitano maskini zaidi nchini, aidha mikoa ya Dar es salaam, Kilimajaro, Arusha, Pwani na Manyara ndiyo mikoa mitano yenye ahueni ya umaskini nchini

Waziri wa fedha na mipango Dk Phillip Mpango alisema hayo jana wakati akiwasilisha bungeni taarifa ya hali ya uchumi ya mwaka 2015 na mpango wa maendeleo wa taifa kwa mwaka wa fedha 2016/17.

Mikoa mitano maskini zaidi Tanzania hii hapa – Millardayo.com
 
Basi gani linaingia saa 1 na barabara zp zna mashimo huenda upo kijijn kwenu ndo unawaza uingie mza. Rock City Home pazuri kinyama achaga uboya wa kuleta nyuzi zisizo na maana mshamba wewe.
 
Naona Povu usikasirike ndugu mpo nyuma...

Serikali imesema kuwa Kigoma, Geita, Kagera, Singida na Mwanza ndiyo mikoa mitano maskini zaidi nchini, aidha mikoa ya Dar es salaam, Kilimajaro, Arusha, Pwani na Manyara ndiyo mikoa mitano yenye ahueni ya umaskini nchini

Waziri wa fedha na mipango Dk Phillip Mpango alisema hayo jana wakati akiwasilisha bungeni taarifa ya hali ya uchumi ya mwaka 2015 na mpango wa maendeleo wa taifa kwa mwaka wa fedha 2016/17.

Mikoa mitano maskini zaidi Tanzania hii hapa – Millardayo.com
Una shida kwenye akili,au unaonekana we siyo mTanzania.au ni mTanzania wa vijijini.inawezekana hujui miji ya hapa nchini ikoje na hautembei
 
Hahah.af we kapeace madem wa dar wamekufanyaje?

Maana sjawai ona umecomment + hata sku1...tatzo madem wa mkoa wamekomaa kapeace,sasa sjui ni barid ndo inawakausha ama nin..af weng hawaijui deodorant..
Mtu uliyezoea kula kuku wa kisasa sidhani km ladha na utamu wa kuku wa kienyeji utaujua
 
Una shida kwenye akili,au unaonekana we siyo mTanzania.au ni mTanzania wa vijijini.inawezekana hujui miji ya hapa nchini ikoje na hautembei
Matusi yanaonesha kilichoujaza ubongo wako sihitaji kujisifu kwako ati nimetembea ila nasikitika kama wewe uliyetembea unaiona Mwanza ipo sawa.
 
Hii ni Africa na hii ni Tanzania.ukiondoa Dar utasema nini kama si Mwanza na Arusha kisha na huko Mbeya?wewe ni kujifanya kujua na haujui.ni lazima una tatizo kidogo,kweni kuna mtu kaisema Mwanza kama ulaya?Mwanza huwezi kubeza hata ufanye nini zaidi ya kujifurahisha nafsi pasi na faida yoyote
 
Mwanza ni moja kati ya mikoa mitano MASIKINI zaidi Tz.
 
Mwanza ni jiji ambalo sio la presha kama Dar, kila kitu kina tofauti na kigine kwa sababu Dar mfumo wake ni wa Presha ila mwanza ni tofauti.. watu wametulia na Hawana haraka kama Dar. Hivo jifunze kwa kubadilika na kutulia
 
Usiiponde Mwanza bure! Hata hiyo Dar unayoisifia mbona ya hovyo tu? Kuna changamoto gani iliyopo Mwanza Dar haipo? Mimi naona Dar inachoizidi Mwanza ni population na ukubwa in terms of sq kms. Vingine bora na Mwanza. Wewe leo umefika Mwanza lakini wenzio hata huko ulikotoka tunapafahamu! Karibu Mwanza
Hizi NI takwimu za uogo, Dar ni kaeneo kadogo mnooo just 1320 sq km, huwezi fananisha na mwanza 9467 sq km
 
Back
Top Bottom