Nipo Mwanza, haijanivutia kabisa

Nipo Mwanza, haijanivutia kabisa

kikubwa jiji la mwanza alipendezi.
naona mmegeukia kwenye muda Wa kufika mwanza.
 
Ndio maana nikaweka alama ya n.k nikimaanisha nakadhalika, ama hukuelewa mrembo?
Halafu hiyo Best Line si ndio yale mabasi yapo yapo tu yaani ata huwa sijaelewi kabisa. Ama siku hizi Kaleta mapya?
Best Line inatoboa maana ikifika Mwanza asubuhi inaunga mpaka Tarime.
Kuna baadhi ni mazuri lkn mengine ni yeeeee bhaghooooshaaa
 
Bila shaka utakuwa upo Misungwi umedanganywa ni Mwanza town. Kwa Tanzania Mwanza ni sehemu nzuri Sana karibu kwa kila kitu ukilinganisha na mikoa mingine.
Eti mwanza kuchafu kasahau daslam inavyonuka kila pahala ptuuuuu
 
Ukienda Mwanza na bus lazima upaone pa ajabu. Kwanza umefika umechoka. Pili kama huna wenyeji utaona kero pia. Mwanza nimeenda kama mara nne na sikukaa sana ila napakubali sana
Njoo unywe supu ya sato mtoto mzuri achana na hao wala viepe na ubuyu
 
Unapotunga uongo/hadithi rudia kusoma ili ufanye uhariri.
Saa yangu inaonyesha ni saa 1:23 usiku ndani ya dar lux tunaingia mwanza, moyo unashtuka baada ya kuambiwa Nyegezi stand ndo mwisho wa safari, wakimaanisha tusha fika mwanza


Ameota kufika mwanza...
Basi la kuingia mwanza saa 1 usiku mmetokea morogoro au?!
 
Nimefika mwanza hakuna lolote shombo sangara tu jiji moja tu ...dar...kwingine mini tu..misifa miiiiiiingi
 
Watanzania Tuna matatizo ... Mada ni JIJI au Muda ?
Mada imehama kutoka kwenye jiji kwenda kwenye uongo wa mleta mada. Kama ni kweli yuko mwanza na alitaka kulichambua jiji kwa kasoro alizoziona basi angetumia hoja na data za kweli badala ya ulongo. Uongo ni immorality kama wizi, uzinzi, uuaji, usaliti, nk.
 
Sure mkuu, mimi pia nilifika kwa mara ya kwanza last week, sijalipenda lile jiji na sifa zote linazopewa ila sijaona lolote la maana na kushangaza zaidi zaidi nimeona kero kama za Dar es salaam ya miaka ya 1998-2005
 
Back
Top Bottom