Nipo Mwanza, haijanivutia kabisa

Nipo Mwanza, haijanivutia kabisa

Muulize mwandishi kwa nini alitaja muda kwenye makala yake? Members wanatumia muda kama ku-cross check ukweli wa kilichoandikwa.
Nyie ndio mlikuwa manafeli mkiambia muweke vichwa vya habari kwenye Hadithi za Somo la Kiswahili....
 
Kama hujui mabasi yanayo toboa ni bora ukae kimya si unaandika tu unavyo jisikia. Nitakuandikia hapa baadhi ya mabasi yanayo toboa kutoka Dar na kufika Mwanza siku hiyo hiyo. Nayo ni Kibo, Kisbo, Zube, Zuberi n.k.
Hilo basi lililala njiani?maana hakuna basi linalotaka Dar na kuingia muda huo Mwanza.Ni lazima kulala Nzega au Shy.
 
Kama unatoka dodoma sawa unaweza kufika saa moja ila kwa dar big noo hata zamani zile kabla ya matorch ikikuwaga saa tatu au nne usiku
 
Ni kweli lazima ushangae 7bu umetoka dar ni kama utoke singida halafu uende dar lazima tofauti
 
Kama unaishangaa mwanza kuwa jiji siku ukifika mbeya itakuwaje?

Atajiua kwa mshangao.....tena bora asiende Mbeya ajipeleke tu Bukoba au Kigoma kwanza, mshangao atakaoupata kule ndiyo mwisho wa maisha yake.
 
B
Kama hujui mabasi yanayo toboa ni bora ukae kimya si unaandika tu unavyo jisikia. Nitakuandikia hapa baadhi ya mabasi yanayo toboa kutoka Dar na kufika Mwanza siku hiyo hiyo. Nayo ni Kibo, Kisbo, Zube, Zuberi n.k.
Best line nayo iko vizuri saa tano mpk sita usiku hakuna kulala njiani
 
Acha kuiponda mwanza yangu ww dah ......yaan mwanza ni mbaya hebu tuombe radhi maana mji uko poa sana mkuuu
 
Napasikiaga tuu lkn cjawahii taman kwendaa...ilaaa kwetu ARUSHAA pazurii jmn
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Watanzania Tuna matatizo ... Mada ni JIJI au Muda ?
Watu wqnatafuta uongo wake

Kutoka mwanza to dar unafika saa saba usiku kama mkishindwa kutoboa bas mnafika kesho asubuh yake

Huyu chalii wa chuga anatuzuga hata mwanza hakujui kaisoma tu kwenye magazet ya shigongo
 
Watanzania Tuna matatizo ... Mada ni JIJI au Muda ?
Alivyoanza kudanganya kawatia watu Mashaka.
Mara kaambiwa Nyegezi ndio mwisho wa safari.
Para nyingine anasema Natta mwisho wa safari.
Hitimisho: Msimulizi anaishi mwanza ( kwa ugeni wa siku 2 asingejua vyote hivyo) lakini sio msukuma.
Nilitembelea mwanza desemba 2017, ni Jiji zuri. Hasa usiku.
 
Kama hujui mabasi yanayo toboa ni bora ukae kimya si unaandika tu unavyo jisikia. Nitakuandikia hapa baadhi ya mabasi yanayo toboa kutoka Dar na kufika Mwanza siku hiyo hiyo. Nayo ni Kibo, Kisbo, Zube, Zuberi n.k.
Sio SAA Moja lakini. SAA sita.
 
Back
Top Bottom