Lazima twende na hatua za kujilinda ukizingatia kutotabirika kwa mahusiano ya Tanzania na Kenya tangu enzi za Mwl. Nyerere na Jomo Kenyatta....ni hatari kubwa kuingiza watu wetu kwenye mahusiano yasiyo na break na kenya. Tunahitaji kujenga kwanza uwekezaji wa ndani na kuwaandaa watu wetu kwenye kupambania fursa katika eneo zima la afria mashariki..Watu kama nyinyi Mh. Suluhu amewaongelea kule bungeni. Watu kadhaa walio na choyo na fikra finyu za kuendeleza chuki baina ya wananchi wa pande zote mbili. Na hamtaweza kwani mwendo ni ya 5G sahi. Urafiki, undugu, ushirikiano na ujirani mwema kwa pande zote mbili husika ndio jambo muhimu sahi na mbeleni ili kuimarisha uchumi na hali ya maisha kwenye ukanda huu. 🇹🇿 + 🇰🇪 = Prosperity
Sidhani Kama ni hoja ya msingi, Tanzania sio kisiwa tunahitaji kufanya biashara na majirani zetu kwa namna zote. Mfano Congo wanategemea bidhaa kutoka kwetu, na sisi tunapaswa kuchukua baadhi ya bidhaa za congo kuzileta huku. Hali hiyo pia kwa kenya na nchi zingine. Ukisema tufunge Ili tuimarishe uchumi wa ndani ni akili za ajabuajabu tu.Lazima twende na hatua za kujilinda ukizingatia kutotabirika kwa mahusiano ya Tanzania na Kenya tangu enzi za Mwl. Nyerere na Jomo Kenyatta....ni hatari kubwa kuingiza watu wetu kwenye mahusiano yasiyo na break na kenya. Tunahitaji kujenga kwanza uwekezaji wa ndani na kuwaandaa watu wetu kwenye kupambania fursa katika eneo zima la afria mashariki..
Mkuu, yaliyopita si ndwele, tugange yajayo. Lakini ka waona kubaki nyuma ndio muhimu kwako, uko huru kubaki na msimamo wako. Kazi iendelee!Lazima twende na hatua za kujilinda ukizingatia kutotabirika kwa mahusiano ya Tanzania na Kenya tangu enzi za Mwl. Nyerere na Jomo Kenyatta....ni hatari kubwa kuingiza watu wetu kwenye mahusiano yasiyo na break na kenya. Tunahitaji kujenga kwanza uwekezaji wa ndani na kuwaandaa watu wetu kwenye kupambania fursa katika eneo zima la afria mashariki..
Hata mimi zamani nilijua jeshi linakula fedha bure.Mama aboreshe uhusiano na Majirani zetu wote
Kisha tuwasainishe kuwa hakutakuwa ma agression baina ya Nchi zetu
Kisha Mama apunguze Jeshi na kulibakisha kidogo bajeti ya Ulinzi ipunguzwe
Tuboreshe huduma za Jamii na kuuondoa huu umasikini unaotutesa.
Hoja nzuri, sasa ndio maana nilisema tunafanya makubaliano na Majirani zetu wote haswa Malawi.Hata mimi zamani nilijua jeshi linakula fedha bure.
Malawi wakijua jeshi letu limepunguzwa nguvu wanchukua ziwa nyasa na mikoa ya Songea ,Njombe na Mbeya asubui-asubui...
Biashara kati ya Tanzania na Kenya mbona ipo miaka mingi mkuu, ninachohofia ni hizi moves zinazoharakishwa ambazo zitaipa kenya advantages zaidi za kiuwekezaji nchini kwao huku wakifaidika kwa kutengeneza ajira zaidi na kuifanya Tanzania kuwa soko tu la bidhaa zao jambao ambalo litaendelea kuua ajira za watu wetu.Sidhani Kama ni hoja ya msingi, Tanzania sio kisiwa tunahitaji kufanya biashara na majirani zetu kwa namna zote. Mfano Congo wanategemea bidhaa kutoka kwetu, na sisi tunapaswa kuchukua baadhi ya bidhaa za congo kuzileta huku. Hali hiyo pia kwa kenya na nchi zingine. Ukisema tufunge Ili tuimarishe uchumi wa ndani ni akili za ajabuajabu tu.
Usiwaogope sana wakenya bali tuwatumie kifursa kujenga uchumi wetu na muhimu tujenge uhusiano wa kimkakati katika diplomasia ya uchumi ili ushirikiano wetu na wao uwe SMART na uchochee ukuaji wa uchumi na ustawi wa taifa.Salaam JF, hivi karibuni mh. rais alifanya ziara nchini kenya lengo likiwa kurejesha mahusiano ya kibiashara na kidiplomasia na kujenga zaidi ushirikiano baina ya hizi nchi ili kuipa uimara jumuiya ya afrika mashariki...
Sijachungulia budget ya jeshi la Israel wala Uswiss lakini naamini zitakuwa zinatenga dolari nyingi sana.Hoja nzuri, sasa ndio maana nilisema tunafanya makubaliano na Majirani zetu wote haswa Malawi
Iddi Amini na madai yake ya Mto Kagera zilikuwa ni Propaganda za kutaka Obote afukuzwe na Nyerere..
Uswiss haina jeshi waliingia mikataba na majirani zao wote ya AmaniSijachungulia budget ya jeshi la Israel wala Uswiss lakini naamini zitakuwa zinatenga dolari nyingi sana.
Nagoogle halafu nitaziweka hapa soon.