Nipo kinyume na kwenda kasi kwenye kurudisha mahusiano na Kenya

Uswiss haina jeshi waliingia mikataba na majirani zao wote ya Amani

Israel inajeshi dogo la kisasa na askari mgambo wengi wa akiba ambao hawalipwi mpaka itakapotokea vita.
Budget ya Uswiss 5.2bn
Budget ya Israel 20bn
Budget ya Tz 870m

Budget ya Tz inaingia mara tano na zaidi ya Budget ya Uswiss.
 
Budget ya Uswiss 5.2bn
Budget ya Israel 20bn
Budget ya Tz 870m

Budget ya Tz inaingia mara tano na zaidi ya Budget ya Uswiss.
Ukiangalia kwa mtizamo huo itakuchanganya kwa kufananisha third world country

Point ilikuwa ni tufuate walikopita Swiss na Israel
 
Ukisema jeshi la kisasa unamaanisha silaha za kisasa.

Nunua zile missile kama za mkorea.

Nunua raptors za mmarekani na rador zake, siyo raptors pekee maana kila ndege huwa na asignment yake.

Nadhani kuna kama aina nne za ndege zinabidi zinunuliwe.

Hii budget sisi hatutaiweza,, tutaua wannchi.
 
Ukiangalia kwa mtizamo huo itakuchanganya kwa kufananisha third world country

Point ilikuwa ni tufuate walikopita Swiss na Israel
Jeshi la kisasa linahitaji nguvu kazi zaidi ya hii tuliyonayo

Hao Uswis na Israel zina wanajeshi wengi kuliko sisi kwa kila moja.
Dhana ya jeshi dogo nadhani inabidi ifafanuliwe na ijadiliwe na kamati ambazo zitahusisha wanasiasa na wanajeshi wenyewe.
 
Salaam JF, hivi karibuni mh. rais alifanya ziara nchini kenya lengo likiwa kurejesha mahusiano ya kibiashara na kidiplomasia na kujenga zaidi ushirikiano baina ya hizi nchi ili kuipa uimara jumuiya ya afrika mashariki...
Ujinga na udikiteta mtupu.
 
Ukisema jeshi la kisasa unamaanisha silaha za kisasa.
Nunua zile missile kama za mkorea
Nunua raptors za mmarekani na rador zake, siyo raptors pekee maana kila ndege huwa na asignment yake.
Nadhani kuna kama aina nne za ndege zinabidi zinunuliwe

Hii budget sisi hatutaiweza,, tutaua wannchi.
Vita ya sasa inapiganwa sana kwa kutumia Drones
Mfano mzuri ni pale Azerbaijani iliposhinda Armenistan kwa kutumia Drones ndogo ndogo na
 
Salaam JF, hivi karibuni mh. rais alifanya ziara nchini kenya lengo likiwa kurejesha mahusiano ya kibiashara na kidiplomasia na kujenga zaidi ushirikiano baina ya hizi nchi ili kuipa uimara jumuiya ya afrika mashariki...
Hahaha. Poleni sana MATAGA. Huyu ndiye Rais wetu mpendwa Amani bila mbwembwe na Udikteta. Kazi Iendelee.
 
Vita ya sasa inapiganwa sana kwa kutumia Drones
Mfano mzuri ni pale Azerbaijani iliposhinda Armenistan kwa kutumia Drones ndogo ndogo na
Hebu jiingize kidogo kwenye hayo mambo ya kijeshi uone kwanini USA pamoja na technology yake kuwa juu bado ina wanajeshi milioni mbili.
Drones zinaweza kuwa manipulated na zikakudhuru mwenye nazo.

Lakini simple ,,,google manchi ambayo yapo mblele kiteknolojia uone wanachofanya.
 
Hizi ndio akili finyu alizosema mama.
Ubabe wa kipumbavu unaoumiza wananchi wa chini unasaidia nini
 
Lazima twende na hatua za kujilinda ukizingatia kutotabirika kwa mahusiano ya Tanzania na Kenya tangu enzi za Mwl. Nyerere na Jomo Kenyatta....ni hatari kubwa kuingiza watu wetu kwenye mahusiano yasiyo na break na kenya. Tunahitaji kujenga kwanza uwekezaji wa ndani na kuwaandaa watu wetu kwenye kupambania fursa katika eneo zima la afria mashariki..
Acha uzamani mkuu.
Tunaweza kuchagua rafiki, katu hatuwezi kuchagua jirani.
Ubabe kwa jirani yako ni ujinga.
Huyo Nyerere unayemtolea mfano ndiye ambaye zama za utawala wake nchi hii iliingia vitani na nchi jirani kwakuwa tu Diplomasia ilipuuzwa.
Usiturudishe nyuma.
Wakulima wa Tanzania tumieni fursa hii vilivyo ili kuongeza kipato chenu.
 
Hebu jiingize kidogo kwenye hayo mambo ya kijeshi uone kwanini USA pamoja na technology yake kuwa juu bado ina wanajeshi milioni mbili.
Drones zinaweza kuwa manipulated na zikakudhuru mwenye nazo.

Lakini simple ,,,google manchi ambayo yapo mblele kiteknolojia uone wanachofanya.
Ndugu hiyo ilikiwa ni Opinion yangu ya jinsi tunavyoweza kupunguza Jeshi letu kwa nia ya kupunguza matumizi na fedha tuzipeleke kwenye huduma za jamii

Kama wewe unaona haifai basi sawa au kuna mfumo mwingine unaoweza kupendekeza itapendeza zaidi
 
Mama aboreshe uhusiano na Majirani zetu wote

Kisha tuwasainishe kuwa hakutakuwa ma agression baina ya Nchi zetu...
Kupunguza jeshi si sahihi na kusainish si garantii kuwa hawatageuka. Tumewasainisha mengi na wamegeuka kwenye mengi...usipokua mwaminifu kwa kidogo hata kikubwa huwezi kuwa mwaminifu.

Mama anapaswa kutafuta njia bora za kiuchumi yaani kuongeza mapato...huwezi kukaa na jirani wanaokwaruzana daily harafu ulinzi wako ukawa wa mashaka.

Yeye aamue kuingia katika bahari na kukodisha kwa wawekezaji vitabu vya bahari.kuu wavue walipe pesa tuachana na JMT kuwekeza kwenye uvivu wa bahari kuu.

Hakuna namna atakayofanikiwa pasipo kuwajali wataalam wake wanapawa maslah mazur ikiwemo mazingira mazuri na wanafanya kazi kwa bidii.

Akaboreshe miundo mbinu ya utalii,reli,anga na Barbara ili kurahisisha usafiri wa watu na bidhaa zao kutoka kwenye uzalishaji kwenda kwa mlaji na viwandani.

Waangalie namna bora ya kuongeza thamani km uchakataji wa bidhaa..ndo namna pekee tunaweza kujihakikishia usalama wa chakula na bidhaa zingine na kujipatia hifadhi kubwa ya fedha za kigezo.

Akasimamie vema sekta ya madini iwe kuwa faraja badala ya kadhaa baina ya wawekezaji na wananchi na wananchi na serikali yao angalau ifikie uwezo wa kushinda na utalii lol pato is taifa.

Akashawishi wawekezaji wenye pesa waje kuwekeza kwa ubia na watanzania ili kuongeza ajira na kuwapa exposure vijana wetu.
Akaanza utaratibu wa kukodisha wataalam nchi zingine zinazohitaji wataalam hasa za SADc ambapo serikali itapata kodi kwa mtaalam kwenda kutumia nje kwa utaratibu rasmi.

Kupunguza matumizi ya mashirika hasa kwa njia sahihi na bora zaidi mfano kuongeza matumizi ya umeme wa gesi na maji badala ya umeme wa mafuta.

Kuomba kurejea mkataba ya madini na mambo mengine ili kuona namna bora ya kuongeza mapato. Kuboresha mitaala ya elimu iendane na mahitaji ya wakati pamoja na kumshawishi wabunge wamekubali wapunguze maslah yao ili pesa ziende kwenye huduma za jamii.

Kukodisha vitalu vya uvivu kwenye maziwa makuu kwa wawekezaji ili waweze kuzalisha na kusindika minofu nchini. Kuboresha sayansi ikiwemo uwekezaji wa utalii wa kiafya,kufufua tafiti za kisayansi kwenye mashirika na taasisi za kimkakakti km shirika la nyumbu,vyuo vikuu,vituo vya utafiti kwa kushirikiana na wabia.

Kwa leo ni hayo
Alisikikia mkubwa mmoja kwenye kikao cha kijiji
 
Salaam JF, hivi karibuni mh. rais alifanya ziara nchini kenya lengo likiwa kurejesha mahusiano ya kibiashara na kidiplomasia na kujenga zaidi ushirikiano baina ya hizi nchi ili kuipa uimara jumuiya ya afrika mashariki...
Achana na ushamba wa magufuli mabeberu ndio nani sisi Tanzania tunaihitajia zaidi dunia kuliko dunia inavyotuhiji sisi siasa za chuki za Magufuli tumeshachana nazo zamani hata Ndugai ulimsikia bungeni anavyostaajabu watu kukamatwa ovyo na kuwekwa mahabusu bila ya kufikishwa mahakamani na wewe badilika baba.
 
Ndugu hiyo ilikiwa ni Opinion yangu ya jinsi tunavyoweza kupunguza Jeshi letu kwa nia ya kupunguza matumizi na fedha tuzipeleke kwenye huduma za jamii

Kama wewe unaona haifai basi sawa au kuna mfumo mwingine unaoweza kupendekeza itapendeza zaidi
Sawa,, nilikuwa najaribu tu kukuonyesha kuwa jeshi letu bado ni dogo sana chini ya jeshi dogo,, tunahitaji kupeleka vijana wengi zaidi jeshini.
 
Watu wenu wewe na nan? Acha zako. Marehemu aliondoka na wajinga wake
Lazima twende na hatua za kujilinda ukizingatia kutotabirika kwa mahusiano ya Tanzania na Kenya tangu enzi za Mwl. Nyerere na Jomo Kenyatta....ni hatari kubwa kuingiza watu wetu kwenye mahusiano yasiyo na break na kenya. Tunahitaji kujenga kwanza uwekezaji wa ndani na kuwaandaa watu wetu kwenye kupambania fursa katika eneo zima la afria mashariki..
 
Wewe utakuwa ulichoma wale vifaranga sasa umepata laana ya watoto wa kuku si bure.
 
Kaa kimya kima wewe tulio mipakani na wakulima tunafahamu umuhimu wa ushirikiano ,wewe uliye Dodoma huwezi jua kitu
Haya kauze hayo mahindi yenye sumu kenya, kenge wee...halafu mkawakodishe waje wawazalishie wake zenu nyie mkiishia kunywa viroba.....
 
Kwa hiyo unafikiri Jeshi kubwa lenye IQ ndogo ndio solution?.
Hapana,, sijasema hivyo, nimesema nilikuwa nakuonyesha kuwa jeshi letu bado linatakiwa kuajili zaidi kwani hata udogo tunaoutaka halijaufikia.
Nchi yetu inatakiwa iwe na jeshi la nchi kavu, jeshi la maji na jeshi la anga.
Vifaa vya majeshi haya vinahitaji crews wa kuoperate na kumaitain.
Hivyo elimu kwa wanajeshi wetu haikwepeki.

Huu mjadala umetoka kwenye ushauri wako wa kupunguza budget na mimi kuona hatari ikiwa budget itapungua.

Tuchukue mfano jeshi la kisasa la maji (Navy) ,,hili humiliki hata ndege zake lenyewe, achilia mbali meli linazotakiwa kuwa nazo. Set moja ya hivi vifaa tunalimia meno nakwambia.

Njoo anga seti moja tu.

Njoo aridhini napo tupate set moja iliyo kamili.,, tutaandamana kabla hakujacha.
 
Back
Top Bottom