Kenya yasema Ugonjwa wa Macho (Red Eye) ulioanzia Tanzania unaenea kwa kasi County za Mombasa na Kilifi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,984
142,002
Kenya yasema Ugonjwa wa Red Eye ulioripotiwa kusambaa kwa kasi nchini Tanzania na kuripotiwa Kesi zaidi ya 800 sasa umeyakumba maeneo ya Pwani ya nchi hiyo yakiwemo Mombasa na Kilifi

Hadi sasa zimeripotiwa Kesi zaidi ya 1000 wengi wao wakiwa wanafunzi wa Shule

Runinga ya Citizen imeonesha namna Mabasi ya Mwendokasi nchini Tanzania yanavyojaza Abiria kupita kiasi Wakati Huu wa mlipuko wa red eyes

Source: Citizen TV

Mlale Unono 😄
 
Mlale Unono
Kwani Red eyes ni Airborne Disease? Wataalamu mkuje kutuelewesha sisi la Saba C
 
Kufika kenya labda madereva ndio wameupeleka ila kama mikoa ya mpakani Arusha , Kilimanjaro na Tanga huo ugonjwa haupo kabisa labda Dodoma huko.
 
mombasa hapo kila siku kuna basi zinaingiza mamia ya watu kutoka tanzania, ikiwemo wa kutoka mkoa wa Dar kwenye red eyes
 
Back
Top Bottom