Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,425
- 191,639
Pambana na hali yako, wahuni tunakusubiria keko hapa!Kuiyendea hiyo K kunahitaji mood flani unakuta mtu sura kama cjui dude gani na jimwili shape kama kitunguu maji mzuka unakuja wapi.
Pambana na hali yako, wahuni tunakusubiria keko hapa!Kuiyendea hiyo K kunahitaji mood flani unakuta mtu sura kama cjui dude gani na jimwili shape kama kitunguu maji mzuka unakuja wapi.
Kama ni hivyo hata aliyenioa 'kabahatika' sababu hakuoa mti alioa mtu. Na sijaolewa zama hizi [emoji16]Usiseme umeolewa tu, tanguliza neno "nimebahatika" maana kuolewa ingekuwa rahisi hivyo zama hizi watu wasingekuwa wanazalia nyumbani na kwenye mageto!
Kwa akili hizi lazima wahuni wala asali ya mamsap wako.Habari zenu wana MMU. Kiukweli katika ukoo wetu wote hakuna mwanamme aliyeowa mwanamke mzuri kunizidi mimi, yaani kaka zangu, wajomba na macousins wote wake wao ni wakaida sana, ni mm ndo nimebahatika kupata mtoto wa kike aliekamilika. Sasa chakushangaza ni kwamba kuna cousin yangu mmoja hatukuwa friend kiivyo ila tangia nioe naona urafiki kama umeongezeka flani halafu kwangu anatia timu sana, hadi naanza kupata wasiwasi ila nikimuuliza wife vipi huyu jamaa anakuja pia nikiwa sipo, kwa maelezo yake ni kama mara mbili tu amewahi kuja nikiwa sipo home ila hakukaa sana akasepa. Mimi kwa kweli nishaanza kuwa na mashaka maana mke wangu masha Allah na ukaribu huu jamaa anaonanaonyesha kwangu nahisi anatafuta sababu azoeleke hapa home ili awe na nafasi ya kuja hapa mda wowote. Ila wadau naenda kuharamika niweke CCTV camera kwa siri na nikija kuona lolote baya hakiamumgu namchinja kama kuku.
Ndugu hakuna mtoto wa kike wala wa kiume aliyekamilika acha kuudanganya moyo wako, Uzuri wa mtu uko kwa anayetizama.Habari zenu wana MMU. Kiukweli katika ukoo wetu wote hakuna mwanamme aliyeowa mwanamke mzuri kunizidi mimi, yaani kaka zangu, wajomba na macousins wote wake wao ni wakaida sana, ni mm ndo nimebahatika kupata mtoto wa kike aliekamilika. Sasa chakushangaza ni kwamba kuna cousin yangu mmoja hatukuwa friend kiivyo ila tangia nioe naona urafiki kama umeongezeka flani halafu kwangu anatia timu sana, hadi naanza kupata wasiwasi ila nikimuuliza wife vipi huyu jamaa anakuja pia nikiwa sipo, kwa maelezo yake ni kama mara mbili tu amewahi kuja nikiwa sipo home ila hakukaa sana akasepa. Mimi kwa kweli nishaanza kuwa na mashaka maana mke wangu masha Allah na ukaribu huu jamaa anaonanaonyesha kwangu nahisi anatafuta sababu azoeleke hapa home ili awe na nafasi ya kuja hapa mda wowote. Ila wadau naenda kuharamika niweke CCTV camera kwa siri na nikija kuona lolote baya hakiamumgu namchinja kama kuku.
Hao kina ebitoke wataolewa na watu wanaowapenda lakini sio kwa kuangalia eti kisa sio mrembo according to you (though namuonaga mrembo akishajipodoa) atadumu kwenye ndoa bila kuchepuka.Hahaha sasa umeanzisha uzi wa nini mjomba? kama ulikuwa hutaki kujikera nafsi ungemuoa Ebitoke ungepata heshima na amani tele ukiwa ofisini au safarini!
Inaonekana Keko ushauzoea weye hahahahaPambana na hali yako, wahuni tunakusubiria keko hapa!
Hahahah hongera kwa kuwa Mrs. VAN VIKA mapema sana kabla kina Wema hawajaanza fujo mitandaoni!Kama ni hivyo hata aliyenioa 'kabahatika' sababu hakuoa mti alioa mtu. Na sijaolewa zama hizi [emoji16]
Usisahau bebi kea ankal!Inaonekana Keko ushauzoea weye hahahaha
Ukimiliki demu au mke mkali hakikisha una mpunga wa kutosha vinginevyo utachapiwa tu hakuna namna.Huyu wangu sio sisterduu ananidham zake nzuri tu sema sura na umbo lake halifichiki, yaani hadi nikitembea nae napata tabu jamaa wanavyomtupia macho
mkeo akat unaoa ulimkuta bikra???Habari zenu wana MMU. Kiukweli katika ukoo wetu wote hakuna mwanamme aliyeowa mwanamke mzuri kunizidi mimi, yaani kaka zangu, wajomba na macousins wote wake wao ni wakaida sana, ni mm ndo nimebahatika kupata mtoto wa kike aliekamilika. Sasa chakushangaza ni kwamba kuna cousin yangu mmoja hatukuwa friend kiivyo ila tangia nioe naona urafiki kama umeongezeka flani halafu kwangu anatia timu sana, hadi naanza kupata wasiwasi ila nikimuuliza wife vipi huyu jamaa anakuja pia nikiwa sipo, kwa maelezo yake ni kama mara mbili tu amewahi kuja nikiwa sipo home ila hakukaa sana akasepa. Mimi kwa kweli nishaanza kuwa na mashaka maana mke wangu masha Allah na ukaribu huu jamaa anaonanaonyesha kwangu nahisi anatafuta sababu azoeleke hapa home ili awe na nafasi ya kuja hapa mda wowote. Ila wadau naenda kuharamika niweke CCTV camera kwa siri na nikija kuona lolote baya hakiamumgu namchinja kama kuku.
Lakini anaweza akakupa mechi ukabaki ukajiuliza imekuwaje na yeye ni mbayaKuiyendea hiyo K kunahitaji mood flani unakuta mtu sura kama cjui dude gani na jimwili shape kama kitunguu maji mzuka unakuja wapi.
Ubaguzi! Tulikatazwa Na baba wa Taifa. Kwa hiyo mwanamke akiwa mashalaa!, haki ya kuolewa inapotea!!?Pole sana, tulishawaasa mapema vijana kwamba masistaduu sio wake wa kuoa! Manendeleza ubishi haya subiria uone moto wake, si ulimaindisha sura na matako!
Hahahaaa eti Van Vika. Labda Van DammeHahahah hongera kwa kuwa Mrs. VAN VIKA mapema sana kabla kina Wema hawajaanza fujo mitandaoni!
Eeeeeeh[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Hakuna mwanaume anayeweza kumridhisha mwanamke mwenye akili timamu..Mungu mwenyewe hajawahi kuwaridhisha itakuwa MTU?!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Extrovert! Ulivyomganda mleta uzi! Mwache bana Na mkewe mashallah!Mi sikuvunji moyo ila nakuonea huruma maana ni matatizo umejitafutia. Kama uliwaolea watu wakuone utajinyonga mapema sana siku utapogundua hupendwi kwa dhati na unamegewa nje
Kwa MAELEZO YAKO HAYA HUYO MWANAMKE ATAKUENDESHA SANA. NYIE NDIO MNAOTUDHALILISHA WANAUME TULIOOA. HATA JIRANI AKIPITA TU WEWE AKILI ZAKO ZOKO KWENYE MATAKO Y MKE WAKO TU. INA MIAKA MONGAPI MKUU??Habari zenu wana MMU. Kiukweli katika ukoo wetu wote hakuna mwanamme aliyeowa mwanamke mzuri kunizidi mimi, yaani kaka zangu, wajomba na macousins wote wake wao ni wakaida sana, ni mm ndo nimebahatika kupata mtoto wa kike aliekamilika. Sasa chakushangaza ni kwamba kuna cousin yangu mmoja hatukuwa friend kiivyo ila tangia nioe naona urafiki kama umeongezeka flani halafu kwangu anatia timu sana, hadi naanza kupata wasiwasi ila nikimuuliza wife vipi huyu jamaa anakuja pia nikiwa sipo, kwa maelezo yake ni kama mara mbili tu amewahi kuja nikiwa sipo home ila hakukaa sana akasepa. Mimi kwa kweli nishaanza kuwa na mashaka maana mke wangu masha Allah na ukaribu huu jamaa anaonanaonyesha kwangu nahisi anatafuta sababu azoeleke hapa home ili awe na nafasi ya kuja hapa mda wowote. Ila wadau naenda kuharamika niweke CCTV camera kwa siri na nikija kuona lolote baya hakiamumgu namchinja kama kuku.
Huyu katafuta mwanamke ilimradi tu na yeye aambiwe ameowa, mwisho wa siku mtu anaishia kuchepuka maana unaona watoto wakali kazini na mitaani ukikumbuka home umeacha msukule, sasa yanini yote hayo.Extrovert! Ulivyomganda mleta uzi! Mwache bana Na mkewe mashallah!
Sent using Jamii Forums mobile app