Nipo katika majaribu ya kuua mtu jamani

Nipo katika majaribu ya kuua mtu jamani

Habari zenu wana MMU. Kiukweli katika ukoo wetu wote hakuna mwanamme aliyeowa mwanamke mzuri kunizidi mimi, yaani kaka zangu, wajomba na macousins wote wake wao ni wakaida sana, ni mm ndo nimebahatika kupata mtoto wa kike aliekamilika. Sasa chakushangaza ni kwamba kuna cousin yangu mmoja hatukuwa friend kiivyo ila tangia nioe naona urafiki kama umeongezeka flani halafu kwangu anatia timu sana, hadi naanza kupata wasiwasi ila nikimuuliza wife vipi huyu jamaa anakuja pia nikiwa sipo, kwa maelezo yake ni kama mara mbili tu amewahi kuja nikiwa sipo home ila hakukaa sana akasepa. Mimi kwa kweli nishaanza kuwa na mashaka maana mke wangu masha Allah na ukaribu huu jamaa anaonanaonyesha kwangu nahisi anatafuta sababu azoeleke hapa home ili awe na nafasi ya kuja hapa mda wowote. Ila wadau naenda kuharamika niweke CCTV camera kwa siri na nikija kuona lolote baya hakiamumgu namchinja kama kuku.
Funga tu CCTV na hack simu ya mkeo.

Yatakayoendelea nadhani utakuwa na ushahidi tosha.

Utamchinja nani kati ya hao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eeeeeh weka picha ya mkeo hapa tuone usitutishe........kingine ukiona mkeo kakubali kutoka na binamu yako ujue kuna sehemu umekosea .....mfanye mkeo asithubutu kutamani kwingine ........

Nakutakia utekelezaji mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
Namuamini na najitahidi kumfanya hivyo ila hisia za wanawake ni dhaifu kimtindo zikitikiswa sana zinaweza kubadilika hivyo lazima tupambane na vishawishi.
 
Kizuri ule na wenzako weye. Ka ulivyosema; Wewe ndo uliyeenda mnadani ukiwa macho hadi ukamwona huyu mdada. Sasa ruhusu huyo causin amuonje siku moja tu ili akawaelezee wengine kuwa, uzuri wa huko ughaibuni kusikoonekana ni zaidi ya uso. Utapewa hishima nyingi na adabu mkebe mzima.
 
Tafadhali mzee baba
 
Huyo jamaa atakuwa anajisifia kwa ndugu zake kuwa ameoa mwanamke mzuri kuliko wote na vijana wanataka wamkomeshe wakimgegeda tu utaipatapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom