Nipo katika majaribu ya kuua mtu jamani

Nipo katika majaribu ya kuua mtu jamani

vposterior

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2018
Posts
732
Reaction score
1,232
Habari zenu wana MMU. Kiukweli katika ukoo wetu wote hakuna mwanamme aliyeowa mwanamke mzuri kunizidi mimi, yaani kaka zangu, wajomba na macousins wote wake wao ni wakaida sana, ni mm ndo nimebahatika kupata mtoto wa kike aliekamilika. Sasa chakushangaza ni kwamba kuna cousin yangu mmoja hatukuwa friend kiivyo ila tangia nioe naona urafiki kama umeongezeka flani halafu kwangu anatia timu sana, hadi naanza kupata wasiwasi ila nikimuuliza wife vipi huyu jamaa anakuja pia nikiwa sipo, kwa maelezo yake ni kama mara mbili tu amewahi kuja nikiwa sipo home ila hakukaa sana akasepa. Mimi kwa kweli nishaanza kuwa na mashaka maana mke wangu masha Allah na ukaribu huu jamaa anaonanaonyesha kwangu nahisi anatafuta sababu azoeleke hapa home ili awe na nafasi ya kuja hapa mda wowote. Ila wadau naenda kuharamika niweke CCTV camera kwa siri na nikija kuona lolote baya hakiamumgu namchinja kama kuku.
 
Wakati unajiandaa kuchinja mtu andaa na mafuta ya mgando ya kuendea jela

CC Zero IQ
 
Hadi baba yako hakuwa na mke mzuri?!watu mnajua kutukana mama zenu
Kwani mkuu wewe mama yako ana shape, sura nzuri na msambwanda kumzidi mke wako? Acha kucomplicate mambo mkuu
 
Habari zenu wana MMU. Kiukweli katika ukoo wetu wote hakuna mwanamme aliyeowa mwanamke mzuri kunizidi mimi, yaani kaka zangu, wajomba na macousins wote wake wao ni wakaida sana, ni mm ndo nimebahatika kupata mtoto wa kike aliekamilika. Sasa chakushangaza ni kwamba kuna cousin yangu mmoja hatukuwa friend kiivyo ila tangia nioe naona urafiki kama umeongezeka flani halafu kwangu anatia timu sana, hadi naanza kupata wasiwasi ila nikimuuliza wife vipi huyu jamaa anakuja pia nikiwa sipo, kwa maelezo yake ni kama mara mbili tu amewahi kuja nikiwa sipo home ila hakukaa sana akasepa. Mimi kwa kweli nishaanza kuwa na mashaka maana mke wangu masha Allah na ukaribu huu jamaa anaonanaonyesha kwangu nahisi anatafuta sababu azoeleke hapa home ili awe na nafasi ya kuja hapa mda wowote. Ila wadau naenda kuharamika niweke CCTV camera kwa siri na nikija kuona lolote baya hakiamumgu namchinja kama kuku.
Huo uzuri umeupimaje? Nachofahamu uzuri wa mwanamke anaujua mwanaume wake sasa wewe unajifanya ukoo mzima we ushawaonja hao wengine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana, tulishawaasa mapema vijana kwamba masistaduu sio wake wa kuoa! Manendeleza ubishi haya subiria uone moto wake, si ulimaindisha sura na matako!
Huyu wangu sio sisterduu ananidham zake nzuri tu sema sura na umbo lake halifichiki, yaani hadi nikitembea nae napata tabu jamaa wanavyomtupia macho
 
Hayo hayo ya sura na umbo! Unatakiwa ujue kuwa mchele wa Mbeya ndio una demand kubwa sokoni ijapokuwa kuna michele toka moro, moshi n.k! Hii ina maana kuwa mke mrembo lazima atapendwa na vidume wengi mtaani na atatongozwa sana na hataweza kuwakatalia wote!

Unapooa mke mzuri haina tofauti na kulima shamba la miwa jirani na shule. Lazma kuna muda wanafunzi watakuja kuikwanyua tu na haikwepeki!

Tunaooa wanawake wa kawaida msituone hatuna akili jamani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom