Nipo katika majaribu ya kuua mtu jamani

Nipo katika majaribu ya kuua mtu jamani

Habari zenu wana MMU. Kiukweli katika ukoo wetu wote hakuna mwanamme aliyeowa mwanamke mzuri kunizidi mimi, yaani kaka zangu, wajomba na macousins wote wake wao ni wakaida sana, ni mm ndo nimebahatika kupata mtoto wa kike aliekamilika. Sasa chakushangaza ni kwamba kuna cousin yangu mmoja hatukuwa friend kiivyo ila tangia nioe naona urafiki kama umeongezeka flani halafu kwangu anatia timu sana, hadi naanza kupata wasiwasi ila nikimuuliza wife vipi huyu jamaa anakuja pia nikiwa sipo, kwa maelezo yake ni kama mara mbili tu amewahi kuja nikiwa sipo home ila hakukaa sana akasepa. Mimi kwa kweli nishaanza kuwa na mashaka maana mke wangu masha Allah na ukaribu huu jamaa anaonanaonyesha kwangu nahisi anatafuta sababu azoeleke hapa home ili awe na nafasi ya kuja hapa mda wowote. Ila wadau naenda kuharamika niweke CCTV camera kwa siri na nikija kuona lolote baya hakiamumgu namchinja kama kuku.
Idara usika washa kuwa karibu nawe...
unaenda jela jamaa unamuacha anakula mzigo...Likumbuke hilo...
 
Hayo hayo ya sura na umbo! Unatakiwa ujue kuwa mchele wa Mbeya ndio una demand kubwa sokoni ijapokuwa kuna michele toka moro, moshi n.k! Hii ina maana kuwa mke mrembo lazima atapendwa na vidume wengi mtaani na atatongozwa sana na hataweza kuwakatalia wote!

Unapooa mke mzuri haina tofauti na kulima shamba la miwa jirani na shule. Lazma kuna muda wanafunzi watakuja kuikwanyua tu na haikwepeki!

Tunaooa wanawake wa kawaida msituone hatuna akili jamani!
Tusivunjane moyo na kutiana pressure mkuu yaani mm kiukweli asa mke katimia yaani akitoka roho paaaaa!!
 
Ukioa unaheshimika na ndugu wa kukutembelea huongezeka..Acha wivu..
 
Kwani mkuu wewe mama yako ana shape, sura nzuri na msambwanda kumzidi mke wako? Acha kucomplicate mambo mkuu
Inamaana kama kwa upande wako hivyo havipo unaamini kila mama ni shapeless
 
Uzuri wa mtu upo machoni kwa mtu, yaweza kuwa hata ndugu zako wanaponda huo msambwanda wa mkeo umekaa mgongoni ama kwenye mapaja, ingawa anao mkubwa lakini hauvutii kwa wengine😀😀😀
 
Inamaana kama kwa upande wako hivyo havipo unaamini kila mama ni shapeless
Hapa nilitaka tu kumuonyesha kuwa mke anaweza kuwa mzuri kuliko hata mama katika muktadha wa umbo, sura na hata rangi. Yeye alisema nimemtusi baba yangu kisa nimesema ukoo mzima mm ndo bro na mke mzuri, akitaka kutuaminisha kama mama ndo mzuri wa mwanzo duniani. Hapa hakuwa sawa mama ana nafasi yake kubwa na umuhim mkubwa lakini kiumbo, sura aweza akapitwa na mkwe wake
 
Uzuri wa mtu upo machoni kwa mtu, yaweza kuwa hata ndugu zako wanaponda huo msambwanda wa mkeo umekaa mgongoni ama kwenye mapaja, ingawa anao mkubwa lakini hauvutii kwa wengine😀😀😀
Hiyo ni misemo tu ya kujifariji, halafu cjataja hapa sifa za mke wangu lakini amini ukoo mzima hamna anamkaribia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom