Nilivyowindwa na mke wa mtu bila kujua

MOONFISH

Senior Member
Jul 30, 2022
136
266
Habari zenu wote hope mko poa sana.

Leo nawaletea kisa kimoja cha muda sana leo nimekikumbuka baada ya muhusika kunitafuta facebook na kusababisha nikumbuke mbali sana.

Nilikuwa mkoa wa dar nilifikia kwa ndugu yangu mmoja namuita ndugu ila sio wa damu kabisa, nilikuwa sijaoa wala kuwa na mahusiano na sikujichanganya kutokana na mazingira nilio kuwa, maana wao walikuwa ni watu wa dini sana(Mda nilio kuwa kwao).

Nikisema ni watu wa dini najua mmnanielewa, basi katika kuishi hapo kwa mda wa mwaka nikiwa sina makuu kabisa yani ni mtu ambae niko cool na mpole hata watoto wa hapo nwenye 19-23 age walikwa kama wanne na Black beuty blaaa na mwingine alikuwa mfupi ila bado pini ishort walikuwa mashalaa sio kimuonekano tu bali hata kwa tabia na matendo yao.

Nilijaribu ku kwepa vishawishi vyote ili nisiweze kuwa na tamaa na nikaaharibu uwepo wangu kwenye hilo eneo ambalo nilikuwa naishi. Kabla sijaendelea kuna mtukio yalikuwa yanaendelea hii itasaidia kujua kwanini kisa kili tokea.

TWENDE POLE POLE
Katika hawa ma binti kuna ambae alikuwa sana anapenda kushika simu yangu yani kila mda lazima na akishika ataenda upande wa msg call na FB na Whatsapp kuangalia huwa na chat na nani akiona hmna kitu basi huwa anarudisha. Sasa kama wanawake mnavyo wajua wakawa wanajadili kuwa kila yule (BLACK BEAUTY) binti akishika simu yangu haoni msg ya mapenzi au ya mwanamke yoyote, ila mama yao akawa ana waambia kuwa ni mazingira na si wanaona mtu mwenyewe (MIMI) sio mtembeaji na tunapo ishi hamna hata wasichana ni wachache. Basi binti naona alielewa ndo akazidi ukaribu sana ila nilijitahidi ku mkwepa ikiwa na kufanya anichukie bila sababu. Na katika hao wa nne kuna mmoja nilifanikiwa kumla kisiri siri nitaleta kisa chao ishalla.

TUENDELE SASA,
kuna mda wa mwezi mmoja walikuwa wananiandama sana niokoke ila mimi niligoma kabisa na hii ni kutokana mimi na mambo ya Dini nilikuwa nishaanza kuwa nayo mbali sana tena sana na nilikuwa nawaambia siwezi badili dini ya wazazi wangu, walijitahidi sana hadi kutuma watu mbali mbali hadi marafiki na watu wangu wakaribu ambaoo nilikuwa nimesha anza kuweka nao mazoea (washaji majirani).Aisee sikufichii nilikuwa najitahidi kusimamia maamuzi yangu kwa hali na mali japo walikuja kuanza kunipiga vita na kusema mimi nitakuwa na pepo sio bure na inakuwaje 30+ unashindwa kufata moyo wako tena dini sahihi ().

Sasa hapa ndo kisa kikaanzia kuna mdada alikuwa ana kuja na yeye anaongea vizuri tu kunishauri ila alikuwa ameolewa na alikuwa na watoto wawili wa kike, niseme ukweli huyu dada nilikuwa nimemuelewa sana ila baadae baada ya kuwa marafiki (kuzoeana) na ndo amebeba kichwa chote cha habari.

Siku ya jumamosi huwa wana mtindo wa kwenda church kila siku nina maana kila siku kuanzia saa 8 hadi jioni saa 12 hii ni kutokana ni mama wa nyumbani ndo maana huwa yuko free, mahali alipo kuwa anaishi sio mbali sana na nilipo kuwa nakaa so kila saa 8 lazima aje aungane na wa home pale kisha anaondoka nao kwenda church ila kuna mda huwa anachelewa, so anakuta wameondoka basi anajikongoja mpaka church mwenyewe na wanae.

MAPENZI YALIPO ANZIA:
Siku hiyo alikuwa ana jumuiya kwake ni siku ya jumamosi sasa alikuja kumueleza ndugu kuwa yko vibaya na hajui awaandalie nini hawa watu wanao kuja kwake (WANAJUMUIA). Basi wali m direct kwangu kuwa aje aniombe chochote ili wajue wanafanyaje mimi nilikuwa ndani chumbani nacho lala nikasikia mtu amenigongea kuja kufungua namuona yeye tumuite MAMA JANE Basi nikamuuliza nnishida akawa anaogopa sana kuniambia ikabidi niwe normal maana nilikuwa nimeweka sura kauzu basi akanieleza pale nikamuuliza swali moja tu kuwa shughuli mpaka ikamilike ni kiasi gani jumla, akasema ni kama 15,000 hivi basi nikatoa elfu 20 nikampa nikamwambia hakikisha pesa inatumika ulipo omba basi tukaachana akaondoka. Ikapita kama siku 2 alikuwa anakuja ila alikuwa anioni maana unakuta niko ndani nimetulia na pc yangu ila nilikuwa na msikia maana alikuwa anajitahidi kuongea kwa nguvu (Hili jambo sikulijua maana alikuja kunieleza mwenyewe).

WEEK YA MAWINDO:
Hii ni ilikuwa siku ya J3-JMOSI hii week sikujua kama niliwindwa au niliwinda maana nilijikuta kuwenye mtego ambao siku uwelewa.

J3: Alikuja amechelewa mida ya saa 9 na anajua kabisa wenzake wote wameondoka wameenda church na huwa home habaki mtu zaidi yangu mimi tu. Akaingia ndani akajifanya anawaita wale mabinti, nikawa namsikia kabisa ila nimenyamaza baadae naona kimya mara nasikia naitwa nikaitika akaulizia kuwa hawa wameondoka mda mrefu nikajibu kuwa mda sana tokea saa 7.

Basi akawa ametulia mimi nikarudi ndani kuendelea na mambo yangu. ghafla nasikia mtu nje kama anaongea na watoto yuko dirishani kwangu, nikachungulia kisha nikaanza kumuongelesha kuwa kwanini asiende mbona bado mapema akajibu kuwa hawezi maana ashachelewa basi mimi nikakausha.

Nimetulia naona mtu anaanza maswali.
1: Mbona unakaa ndani sana?
2: Vipi huchoki kukaa huko ndani?
3: Unafanya nini mpaka unakaa ndani kila mda?
4:Au una chat na shemeji yetu? n.k

Hayo yote alikuwa anauliza nilikuja nika mjibu kuwa nina kazi mbili tatu akasema kazi gani kama sio unaangalia movie na kuchat na shemu nili mjibu hapa. Akauliza au unachat na wachumba wa online nikasema hapa ila niko na FB nachungulia vichekesho, akasema yy kufungua video hawezi maana anatumia simu ya button ila inazama fb fresh. Ghafla akaniomba jina la FB ili aone picha zangu na status yangu nikampa akawa hanioni maana jina lilikuwa gumu kidogo ikabidi nimpe smart yangu aweke jina lake, akacheki akajiona basi tukawa marafiki akatuma na msg hapo hapo kuwa una jina gumu fb kwanini nisiandike la uhalisia.

Siku jibu nikakausha sijakaa dakika mbili dogo wa kike huyo hapo kaja akamuuliza mbona amekaa mwenyewe maana mimi mda huo nilikuwa kwa ndani MA J akajibu amechoka anataka kurudi home maana amechelewa church . Basi akapiga story kidogo kisha akaondoka akaniaga kwa fb nikajibu basi akasepa.

SEHEMU YA PILI

SEHEMU YA TATU

SEHEMU YA NNE

SEHEMU YA TANO
 
J4:
J3 iliisha kesho yake nikajua ata wahiii kumbe wapi ni yale yale ya jana.................................

ENDELEA👇👇👇👇👇👇👇

J4:
J3 iliisha kesho yake nikajua ata wahiii kumbe wapi ni yale yale ya jana kwa mda huo sikujua kama alikuwa na lake jambo. Basi akaja kama kawaida ila siku hiyo aliwatanguliza watoto church ila yeye alikuja mwenyewe mpaka home akaja kama kawaida yake kuwaulizia baada ya kuona hamna mtu akaanza maswali huku akiwa kwenye korido kuwa vipi mbona msg zangu hujibu FB.
Nilishtuka sana maana mimi sio mpenzi sana wa kuingia FB mara kwa mara huwa ni mara chache sana tofauti navyo penda kuwa Telegram,TWITTER au Discord au JF. Nili mjibu kuwa sijafungua na sijaweka bando ndo nina mpango wa kuweka.
Akanijubu tena na kusema kuwa mbona nakuona online mda wote, nikajibu kwa ufupi kuwa huwa inanaonekana hivyo kama ukiwa na messenger ila sipo online. Mda huo wakati na mjibu nilikuwa namfata kwenye korido basi tukaaa tukaongea mawili matatu akawa anauliza maswali kama ya udadisi mi nikawa najitetea, mwisho j4 ikaisha.

J5:
Hii siku nahisi aliamka na mimi maana nilikuwa naogopa kumjibu kwenye fb maana nilijua jamaa yake anaweza shika simu ikaja ikawa balaa maana picha yangu inaonekana so nikawa muoga. Usiku wa saa 7 nikiwa macho nikaingia fb kucheki msg zake na kuzijibu nikajibu zote ila alarm ilianza kulia maana anapenda sana kudadisi.
Nimeamka asubuhii nikaenda kutafuta TTCL nimerudi nimeweka bando naona msg ina pop up kuangalia ni yeye kifupi hiyo siku tulichat ila yalikuwa mambo ya maisha nikawa namgusia kuhusu jamaa yake akawa anasema ana account mbili za fb so nisiwe na wasi na huwa jamaa anajua kuwa simu yake haiwezi kuwa fb so nisiwe na wasi maana jamaa alimwambia asiweke picha wala kutumia fb.

ALH:
Sasa kwenye kila kitu kika hamia fb mpaka inafika mda huoo kiukwelii nilikuwanimesha jua mambo mengi kuhusu yeye na familia yake na kazi ya jamaa na mda na ratiba zote yan kila kitu kiukweli yule mwanamke alikuwa anafunguka sana.
Jioni wakati tuna chat tena akaanza kuleta story za mapenzi ila nikawa na jibu sio ile sana kawaida na kujitahidi kubadili mada.
Akaja kuniambia anapika akimaliza tuta chat na jamaa yake amekuja so baadae basi mi nikapotezea mpaka kesho na sikutaka kuchat nae tena.

IJUMAA:
Hii siku nilikuwa nimesha ona kabisa hapa kuna kitu nataka kupewa kama sio shukrani sijuiii itakuwa ni nini basi nikawa nasikilizia tu ajilipuee nione, maana sikutaka hata kumuanza kwa story yoyote. Basi mida ya saa 8 niko zangu ndani nimetulia naona msg kama zote fb na malalamiko kibao kuwa mbona nimemchunia na nipo kimya au kanikera na maswali, kiukweli msg yenyewe ni za salam tu na maswali mdogo.

Ghafla saa 9 huyo hapo nasikia mtu anagonga kwenye mlango wangu kwenda nakuta yeye aiseee nilipigwa na butwaaa moja matata sana nikawa mpole akaniuliza kama wapo nikajibu hamna mtu basi akasema nije tuongee kidogo nikamfata nikawa namsikiliza tu.Hana story zaidi ya kuniambia ni mwambie (hapa ubongo ulikuwa ume lock kabisa) basi akaja akaondo ila fb ndo ikawa silaa kwake.
Jioni akanitumia msg akasema kuwa kuna kitu nataka kumwambia ila naonekana naogopa, akawa ananisihi nisiogope niseme tu. Hahahahaha aisee mimi nikawa namsifia kuwa yeye ni mwanamke mwenye mfanikio japo ndoa ina mziba sana na kutokana na wivu wa jamaa na ni mpambanaji sana. Nilijibiwa short sana kuwa hayo tumeshaongea, kuna mengine niseme tu. Nikapotezea msg zake maana nilikuwa naona kasi yake sio ndogo na alikuwa anataka nifunguke na mimi nilikuwa naangalia heshima nisije tengeneza picha mbaya.

JMOSI:
siku nilio kula denda bila kutegemea......................

ITAENDELEA..............................
 
Habari zenu wote hope mko poa sana.

Leo nawaletea kisa kimoja cha muda sana leo nimekikumbuka baada ya muhusika kunitafuta facebook na kusababisha nikumbuke mbali sana.

Nilikuwa mkoa wa dar nilifikia kwa ndugu yangu mmoja namuita ndugu ila sio wa damu kabisa, nilikuwa sijaoa wala kuwa na mahusiano na sikujichanganya kutokana na mazingira nilio kuwa, maana wao walikuwa ni watu wa dini sana(Mda nilio kuwa kwao).

Nikisema ni watu wa dini najua mmnanielewa, basi katika kuishi hapo kwa mda wa mwaka nikiwa sina makuu kabisa yani ni mtu ambae niko cool na mpole hata watoto wa hapo nwenye 19-23 age walikwa kama wanne na Black beuty blaaa na mwingine alikuwa mfupi ila bado pini ishort walikuwa mashalaa sio kimuonekano tu bali hata kwa tabia na matendo yao.

Nilijaribu ku kwepa vishawishi vyote ili nisiweze kuwa na tamaa na nikaaharibu uwepo wangu kwenye hilo eneo ambalo nilikuwa naishi. Kabla sijaendelea kuna mtukio yalikuwa yanaendelea hii itasaidia kujua kwanini kisa kili tokea.

TWENDE POLE POLE
Katika hawa ma binti kuna ambae alikuwa sana anapenda kushika simu yangu yani kila mda lazima na akishika ataenda upande wa msg call na FB na Whatsapp kuangalia huwa na chat na nani akiona hmna kitu basi huwa anarudisha. Sasa kama wanawake mnavyo wajua wakawa wanajadili kuwa kila yule (BLACK BEAUTY) binti akishika simu yangu haoni msg ya mapenzi au ya mwanamke yoyote, ila mama yao akawa ana waambia kuwa ni mazingira na si wanaona mtu mwenyewe (MIMI) sio mtembeaji na tunapo ishi hamna hata wasichana ni wachache. Basi binti naona alielewa ndo akazidi ukaribu sana ila nilijitahidi ku mkwepa ikiwa na kufanya anichukie bila sababu. Na katika hao wa nne kuna mmoja nilifanikiwa kumla kisiri siri nitaleta kisa chao ishalla.

TUENDELE SASA,
kuna mda wa mwezi mmoja walikuwa wananiandama sana niokoke ila mimi niligoma kabisa na hii ni kutokana mimi na mambo ya Dini nilikuwa nishaanza kuwa nayo mbali sana tena sana na nilikuwa nawaambia siwezi badili dini ya wazazi wangu, walijitahidi sana hadi kutuma watu mbali mbali hadi marafiki na watu wangu wakaribu ambaoo nilikuwa nimesha anza kuweka nao mazoea (washaji majirani).Aisee sikufichii nilikuwa najitahidi kusimamia maamuzi yangu kwa hali na mali japo walikuja kuanza kunipiga vita na kusema mimi nitakuwa na pepo sio bure na inakuwaje 30+ unashindwa kufata moyo wako tena dini sahihi ().

Sasa hapa ndo kisa kikaanzia kuna mdada alikuwa ana kuja na yeye anaongea vizuri tu kunishauri ila alikuwa ameolewa na alikuwa na watoto wawili wa kike, niseme ukweli huyu dada nilikuwa nimemuelewa sana ila baadae baada ya kuwa marafiki (kuzoeana) na ndo amebeba kichwa chote cha habari.

Siku ya jumamosi huwa wana mtindo wa kwenda church kila siku nina maana kila siku kuanzia saa 8 hadi jioni saa 12 hii ni kutokana ni mama wa nyumbani ndo maana huwa yuko free, mahali alipo kuwa anaishi sio mbali sana na nilipo kuwa nakaa so kila saa 8 lazima aje aungane na wa home pale kisha anaondoka nao kwenda church ila kuna mda huwa anachelewa, so anakuta wameondoka basi anajikongoja mpaka church mwenyewe na wanae.

MAPENZI YALIPO ANZIA:
Siku hiyo alikuwa ana jumuiya kwake ni siku ya jumamosi sasa alikuja kumueleza ndugu kuwa yko vibaya na hajui awaandalie nini hawa watu wanao kuja kwake (WANAJUMUIA). Basi wali m direct kwangu kuwa aje aniombe chochote ili wajue wanafanyaje mimi nilikuwa ndani chumbani nacho lala nikasikia mtu amenigongea kuja kufungua namuona yeye tumuite MAMA JANE Basi nikamuuliza nnishida akawa anaogopa sana kuniambia ikabidi niwe normal maana nilikuwa nimeweka sura kauzu basi akanieleza pale nikamuuliza swali moja tu kuwa shughuli mpaka ikamilike ni kiasi gani jumla, akasema ni kama 15,000 hivi basi nikatoa elfu 20 nikampa nikamwambia hakikisha pesa inatumika ulipo omba basi tukaachana akaondoka. Ikapita kama siku 2 alikuwa anakuja ila alikuwa anioni maana unakuta niko ndani nimetulia na pc yangu ila nilikuwa na msikia maana alikuwa anajitahidi kuongea kwa nguvu (Hili jambo sikulijua maana alikuja kunieleza mwenyewe).

WEEK YA MAWINDO:
Hii ni ilikuwa siku ya J3-JMOSI hii week sikujua kama niliwindwa au niliwinda maana nilijikuta kuwenye mtego ambao siku uwelewa.

J3: Alikuja amechelewa mida ya saa 9 na anajua kabisa wenzake wote wameondoka wameenda church na huwa home habaki mtu zaidi yangu mimi tu. Akaingia ndani akajifanya anawaita wale mabinti, nikawa namsikia kabisa ila nimenyamaza baadae naona kimya mara nasikia naitwa nikaitika akaulizia kuwa hawa wameondoka mda mrefu nikajibu kuwa mda sana tokea saa 7.

Basi akawa ametulia mimi nikarudi ndani kuendelea na mambo yangu. ghafla nasikia mtu nje kama anaongea na watoto yuko dirishani kwangu, nikachungulia kisha nikaanza kumuongelesha kuwa kwanini asiende mbona bado mapema akajibu kuwa hawezi maana ashachelewa basi mimi nikakausha.

Nimetulia naona mtu anaanza maswali.
1: Mbona unakaa ndani sana?
2: Vipi huchoki kukaa huko ndani?
3: Unafanya nini mpaka unakaa ndani kila mda?
4:Au una chat na shemeji yetu? n.k

Hayo yote alikuwa anauliza nilikuja nika mjibu kuwa nina kazi mbili tatu akasema kazi gani kama sio unaangalia movie na kuchat na shemu nili mjibu hapa. Akauliza au unachat na wachumba wa online nikasema hapa ila niko na FB nachungulia vichekesho, akasema yy kufungua video hawezi maana anatumia simu ya button ila inazama fb fresh. Ghafla akaniomba jina la FB ili aone picha zangu na status yangu nikampa akawa hanioni maana jina lilikuwa gumu kidogo ikabidi nimpe smart yangu aweke jina lake, akacheki akajiona basi tukawa marafiki akatuma na msg hapo hapo kuwa una jina gumu fb kwanini nisiandike la uhalisia.

Siku jibu nikakausha sijakaa dakika mbili dogo wa kike huyo hapo kaja akamuuliza mbona amekaa mwenyewe maana mimi mda huo nilikuwa kwa ndani MA J akajibu amechoka anataka kurudi home maana amechelewa church . Basi akapiga story kidogo kisha akaondoka akaniaga kwa fb nikajibu basi akasepa.

J4:
J3 iliisha kesho yake nikajua ata wahiii kumbe wapi ni yale yale ya jana...............................

itendeleabasi
Utoporo
 
JMOSI:
siku nilio kula denda bila kutegemea......................

ENDELEA👇👇👇👇👇👇👇

JMOSI:
Kifupi ile siku ya ijumaa usiku ndo ulikuwa mda wake kabisa wa kuchat na mimi sasa kuna msg alinitumia ambayo niliamka nayo jmosi. zilikuwa zina sema hivi
MAMA J: "Uliwahii kumpenda mtu ukashindwa kumambia"
"Hivi ukipenda unaweza ukamwambia mtu moja kwa moja"
"Hivi unaweza kuruhusu hisia zako zikutese ikiwa mtu mwingine ameonyesha dalili zote za kuwa na wewe"
"Wewe ni mwanaume bwana sema yaliyoko moyoni"
"Funguka bsi mimi nakusikiliza"

Hizi msg nilikuwa nashindwa kujibu kabisa straight yani moja kwa moja kwa ajili ya hofu, maana kuna jamaa yangu alinishauri na kuniambia kwa mke wa mtu usipende sana kuchat nae ni mara mia uumpigie au muonane ana kwa anana maana kwake itakuwa salama na kwako pia maana alisha wahii kukutwa na msala ila kilicho muokoa ni ushahidi hamna.
Hapa ndo maana mimi ni mpenzi sana wa TELEGRAM maana nafuta msg mda wowote, hata kufuta na jina kabisa.
Basi asubuhii kama kawaida nimefungua PC nakuta kuna msg hizo sikujibu nikaona na salamu.

MAMA J: mambo
MIMI: poa
MAMA J: msg zangu huzioni au
MIMI: naziona sema kukujibu sitaweza labda kwa matendo
MAMA J: hahahah matendo gani hayoo
MIMI: kwa mdomo
MAMA J: poa basi ngoja nitakuja mchana
MIMI: poa

Yani nilikuwa naitikia nikasema leo liwalo na liwe akija namchana kama mbwaiii na iwe mbwaii tu sita jali wala nini. Mchana alikuja mapema sana mida ya saa 8:30 akajua atakuta watu hawapo nyumbani kama kawaida kumbe siku hiyoo mabinti walikuwepo na walikuwa hawana time ya kwenda ⛪ kanisani. Basi akawa anasikilizia namsikia anawaulizia kuwa leo vipi kanisani mmoja akasema amechoka hawezi kwenda.
Hapo ikawa MISSION FAIL kwake. Hapo kumbuka watoto wake alikuwa anatabia ya kuwaleta mapema sana na kuwatanguliza church.Basi akawa ananitumia msg FB kuwa atajitaidi leo tuonane iwe isiwe. mimi nikawa na mjibu tu ni sawa usijali.

Sasa hapa niseme kitu kimoja ambacho nilijifunza hapa jamaa wa huyu mwana dada anapenda sana mpira yani upo damuni hasa YANGA so ameshajua jamaa yake hata iweje hawezi kosa mpira na ndo chance yake kubwa na siku hiyo jmosi kulikuwa na mechi na ilikuwa ina isha saa 2 kama sijakosea. mwanamke akisha jua hayoo ni sekunde sana hapotezi chance.

Basi ilivyofika mida ya saa 12 kuelekea saa moja nikaona msg kuwa njo tuonane mahali flani ilikuwa ni sehemu ya nyumba ambayo ilikuwa haijaisha. Mapigo ya moyo yakawa juu nikawa nasema huu sio mtego kwelii ila nikakaza moyo nikaenda. Nimefika nikakuta hamna mtu nikatuma msg akasema ndo anatoka nisijali dakika mbili namuona huyo hapo kafika kwanza akaanza yeye kuonge.

MAMA J: Sasa wewe unajua kabisa mimi ni mke wa mtu na unataka iwe hivyo huoni ni matatizo kwangu.
MIMI: Wewe sikiliza upendo ni upendo sijakupenda kwaajili ya kuharibu ndoa yako hapana wala kukuvuruga ila nimekuta nashindwa kujizuia juu yako, kwa msg zako zile nimepata hisia kali sana kiasi najikuta nimeshindwa kujizuia.
MAMA J: Sasa mbona hukuniambia mapema tokea siku zote na ulikuwa unaniona.
MIMI: Nilishindwa jinsi ya kukufikishia ujumbe na nilikuwa sijakufahamu vizuri.
MAMA J:: Sasa tuseme ukweli umenipendea nini?
MIMI: (Hili swali huwa ni kutunga uongo wa 4G tu huwa hamna namna) kwanza passion yako (kingereza ili kuweza kutamka kwa kujiamini na kumvuruga kupunguza maswali) wewe ni mtu unaonekana ni wa malengo. Pili unavyo tembea na mwendo wako na jinsi ulivyo umbwa huwa napoteza nguvu kabisa nikikutazama japo hizo nguo zinakuficha halafu nimesikia unajua kupika sana natamani nikuambie mengi ila kwasasa mda huu na maeneo sio rafiki ila nachooomba kwako nikuwa wapenzi na wasiri kati yangu mimi na wewe .
MAMA J: Kiukweli mimi naogopa maana mme wangu akija kujua (hapa niliwaza inamaana alivyo kuwa ananiambia nifunguke alimaanisha nini) na sijawahii msaliti mme wangu kamwe.
MIMI: Maongezi yalivyo kuwa mengi nika mvuta nikabiga lita za kutosha akawa anaishiwa nguvu nika maliza niakamwambia nenda. Akadaii bado nususaa mpira uishe maana jamaa na yanga ni damu damu. nikamvuta nikawa naendelea kula denda akiongea akileta na maswali mimi najipimia mpaka akakosa nguvu akawa ana toa ushirikiano. Kuna mda kwa mbali nikaona mtu anakuja ikabidi tuzuge kisha kila mtu akala kona yake tukawa tumemaliza hivyo. akanitumia msg anadai nirudi tena tuonane maana mpira bado mimi nikakaza kuwa kesho nayo ni siku .

itaendela............. kesho alivyo kuja kutaka tu sex..........

itaendelea
 
Back
Top Bottom