Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 7,088
- 13,515
Hahahah haki ipo ila inategemeaUbaguzi! Tulikatazwa Na baba wa Taifa. Kwa hiyo mwanamke akiwa mashalaa!, haki ya kuolewa inapotea!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Amefeli sanaExtrovert! Ulivyomganda mleta uzi! Mwache bana Na mkewe mashallah!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha bora mie na msukule lakini amani na furaha tele! Wewe mwenye mlimbwende mbona jambajamba nyingi! Tulia dawa ikuingie mzee baba!Huyu katafuta mwanamke ilimradi tu na yeye aambiwe ameowa, mwisho wa siku mtu anaishia kuchepuka maana unaona watoto wakali kazini na mitaani ukikumbuka home umeacha msukule, sasa yanini yote hayo.
Unajua kuna wanaume wa hovyo kweli , mtu anaweza mwambia kabisa mwanaume mwenzie wakati huo huo anamezea mate wapambane na hali zao acha warembo waolewe na wanaowahitajiYani watu wanashangaza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ndio maana wanawake wa humu kutwa kujisemea wana sura za baba zao ili kuonekana wife material. Mzuri mzuri na mbaya mbaya tu tabia haihusiani na sura wala umbo
Sio wote bana ila majority wana tabia mbovu, yani ukiona mwanamke mzuri ametulia hana wenge ujue hana exposure sana na sio mtu wa kujimix!
We unamuoa Alicia Keys unampeleka manzese halafu unaleta wivu wa kijinga! Akae kwa kutulia mda wa toba huu!hahaha [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anavyomezea wa wenzie mate anaogopa wake atamezewa. Lakini muoaji ana malengo kwa mwanamke amtakaye.Unajua kuna wanaume wa hovyo kweli , mtu anaweza mwambia kabisa mwanaume mwenzie wakati huo huo anamezea mate wapambane na hali zao acha warembo waolewe na wanaowahitaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri una upimaje [emoji12][emoji12][emoji12]Sio wote bana ila majority wana tabia mbovu, yani ukiona mwanamke mzuri ametulia hana wenge ujue hana exposure sana na sio mtu wa kujimix!
Uzuri ni kama wewe ulivyo Mrs.Van VikaUzuri una upimaje [emoji12][emoji12][emoji12]
Kwahiyo wabaya hawana exposure ndio maana wametulia. Fake fake fake [emoji54][emoji54][emoji54][emoji54]
Mie mzuri ndio sitaki kusema mbele za watu kua sio mzuri wakati namshukuru Mungu kwa urembo alionipa [emoji12][emoji12][emoji12]Uzuri ni kama wewe ulivyo Mrs.Van Vika
Najua umekamilika mtoto mtam!Mie mzuri ndio sitaki kusema mbele za watu kua sio mzuri wakati namshukuru Mungu kwa urembo alionipa [emoji12][emoji12][emoji12]
Jamaa unachekesha sana ww jifariji tu wewe ila mtaani hata wale wanawake mataahira waokota makopo watu wanachapa.Hahaha bora mie na msukule lakini amani na furaha tele! Wewe mwenye mlimbwende mbona jambajamba nyingi! Tulia dawa ikuingie mzee baba!
Nyuma flat screen lakini kwako nitakua sijakamilika [emoji23][emoji23][emoji23]Najua umekamilika mtoto mtam!
Machangu ndo wanakuwa wazuri na warembo au unamaanisha nini? ukoo wetu ni washamba kivipi dadavua ebuYaani ukoo wenu ni washamba kweli kwani mnatokea sehemu gani hapa tz? Bila shaka utakuwa umeoa changu ww
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna watu sura za baba na mwili baba lakini ni maharage ya mbea.Yani watu wanashangaza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ndio maana wanawake wa humu kutwa kujisemea wana sura za baba zao ili kuonekana wife material. Mzuri mzuri na mbaya mbaya tu tabia haihusiani na sura wala umbo