Nipo katika majaribu ya kuua mtu jamani

Nipo katika majaribu ya kuua mtu jamani

Uzuri wa mtu upo machoni kwa mtu yawezekana hata mkeo anonekana kituko mbele ya ndugu zako hakuna mtu ambae hasifii alichonacho punguza jazba haya maisha tunapita tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo hayo ya sura na umbo! Unatakiwa ujue kuwa mchele wa Mbeya ndio una demand kubwa sokoni ijapokuwa kuna michele toka moro, moshi n.k! Hii ina maana kuwa mke mrembo lazima atapendwa na vidume wengi mtaani na atatongozwa sana na hataweza kuwakatalia wote!

Unapooa mke mzuri haina tofauti na kulima shamba la miwa jirani na shule. Lazma kuna muda wanafunzi watakuja kuikwanyua tu na haikwepeki!

Tunaooa wanawake wa kawaida msituone hatuna akili jamani!
Umejuaje? sura ya Baba, miguu kulia na kushoto, mata-core ni flat screen....endeleza na wewe[emoji1]

Acheni kujifariji kwa hiyo misemo, kuna watu hata umpeke wapi jamaa watasema huyu mbaya na mwengine popote ataonekana yupo poa. Wazuri hawafichiki acha kujifariji.
 
Uanfikiri na yeye nitamuacha salama namtenganisha vitanga vya mikono
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]una matatizo. Jioni Njema
 
Hayo hayo ya sura na umbo! Unatakiwa ujue kuwa mchele wa Mbeya ndio una demand kubwa sokoni ijapokuwa kuna michele toka moro, moshi n.k! Hii ina maana kuwa mke mrembo lazima atapendwa na vidume wengi mtaani na atatongozwa sana na hataweza kuwakatalia wote!

Unapooa mke mzuri haina tofauti na kulima shamba la miwa jirani na shule. Lazma kuna muda wanafunzi watakuja kuikwanyua tu na haikwepeki!

Tunaooa wanawake wa kawaida msituone hatuna akili jamani!
Kwahiyo wanawake wazuri wasiolewe? Mbona mimi mrembo nimeshaolewa
 
Uzuri wa mtu upo machoni kwa mtu yawezekana hata mkeo anonekana kituko mbele ya ndugu zako hakuna mtu ambae hasifii alichonacho punguza jazba haya maisha tunapita tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ukashindanishe Tausi na Hamisa Mobeto kweli kuna mtu atachagua Tausi halafu atuambie huyu kamzidi misa kwa uzuri lazima akapimwe mkojo.
 
Hapa nilitaka tu kumuonyesha kuwa mke anaweza kuwa mzuri kuliko hata mama katika muktadha wa umbo, sura na hata rangi. Yeye alisema nimemtusi baba yangu kisa nimesema ukoo mzima mm ndo bro na mke mzuri, akitaka kutuaminisha kama mama ndo mzuri wa mwanzo duniani. Hapa hakuwa sawa mama ana nafasi yake kubwa na umuhim mkubwa lakini kiumbo, sura aweza akapitwa na mkwe wake
Acha kiki za kihaya dogo, tangu lini kinyozi akajinyoa mwenyewe?

"Stand for the truth always stand alone"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasemaga kua na mke mzuri ni sawa na kulima shamba la miwa karibu na shule ya msingi

naanza kuamini.

ABCDEFGHIJKLMNOPQRSTUVWXYZ
 
Umejuaje? sura ya Baba, miguu kulia na kushoto, mata-core ni flat screen....endeleza na wewe[emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha uzuri product yangu ina defect kidogo reception na ni dark chocolate ila kwengineko mashaallah! Naamini usumbufu hautakuwa mkubwa kiasi cha kunikosesha usingizi maana kichwani charge ipo ya kutosha!
 
Bora waambie, yaani mm nijikere nafsi yangu nitafute jidude tu huko aje kunitisha chumbani.
Hahaha sasa umeanzisha uzi wa nini mjomba? kama ulikuwa hutaki kujikera nafsi ungemuoa Ebitoke ungepata heshima na amani tele ukiwa ofisini au safarini!
 
Eeeeeh weka picha ya mkeo hapa tuone usitutishe........kingine ukiona mkeo kakubali kutoka na binamu yako ujue kuna sehemu umekosea .....mfanye mkeo asithubutu kutamani kwingine ........

Nakutakia utekelezaji mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mwanaume anayeweza kumridhisha mwanamke mwenye akili timamu..Mungu mwenyewe hajawahi kuwaridhisha itakuwa MTU?!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo wanawake wazuri wasiolewe? Mbona mimi mrembo nimeshaolewa
Usiseme umeolewa tu, tanguliza neno "nimebahatika" maana kuolewa ingekuwa rahisi hivyo zama hizi watu wasingekuwa wanazalia nyumbani na kwenye mageto!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom