Nipo katika majaribu ya kuua mtu jamani

Nipo katika majaribu ya kuua mtu jamani

Sababu popote pale penye vitu zaidi ya kimoja lazima kimoja kiwe kizuri zaidi.
Wewe haukuwepo kwenye kikao kwani?

Tulipitisha sheria kwanba, wanaume tuwachezee wanawake wazuri tu alfu wale wabaya ndio tuwaoe.

Sasa wewe ulienenda kinyume ndio maana majaribu kwako hayaishi
 
Pole sana, AKILI yako imekudanganya, na wewe ukadanganyika, sasa imekujengea kutokujiamini na hivyo huwaamini watu. Ondoa huo UPUPU kichwani kwako utakuwa huru.
Jamaa anaamini yeye ndio kaotoka mwembe chini ya mwarobain, yaani anaweweseka hata mtu akipiga hodi tu roho juu.

Hahahahahaaa
 
Habari zenu wana MMU. Kiukweli katika ukoo wetu wote hakuna mwanamme aliyeowa mwanamke mzuri kunizidi mimi, yaani kaka zangu, wajomba na macousins wote wake wao ni wakaida sana, ni mm ndo nimebahatika kupata mtoto wa kike aliekamilika. Sasa chakushangaza ni kwamba kuna cousin yangu mmoja hatukuwa friend kiivyo ila tangia nioe naona urafiki kama umeongezeka flani halafu kwangu anatia timu sana, hadi naanza kupata wasiwasi ila nikimuuliza wife vipi huyu jamaa anakuja pia nikiwa sipo, kwa maelezo yake ni kama mara mbili tu amewahi kuja nikiwa sipo home ila hakukaa sana akasepa. Mimi kwa kweli nishaanza kuwa na mashaka maana mke wangu masha Allah na ukaribu huu jamaa anaonanaonyesha kwangu nahisi anatafuta sababu azoeleke hapa home ili awe na nafasi ya kuja hapa mda wowote. Ila wadau naenda kuharamika niweke CCTV camera kwa siri na nikija kuona lolote baya hakiamumgu namchinja kama kuku.
mkeo ni mzuri amekua krismas???
 
Nyuma flat screen lakini kwako nitakua sijakamilika [emoji23][emoji23][emoji23]
Aaah hayo mambo ya behaviourist na mwenzie Rrondo...mie sichagui sibagui ataenizika simjui!😀😀😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom