Nipo katika majaribu ya kuua mtu jamani

Nipo katika majaribu ya kuua mtu jamani

Kwa MAELEZO YAKO HAYA HUYO MWANAMKE ATAKUENDESHA SANA. NYIE NDIO MNAOTUDHALILISHA WANAUME TULIOOA. HATA JIRANI AKIPITA TU WEWE AKILI ZAKO ZOKO KWENYE MATAKO Y MKE WAKO TU. INA MIAKA MONGAPI MKUU??
30
 
Utapata kifungo halafu jamaa wanakuja kujigongea kirahisi tu
 
Hayo hayo ya sura na umbo! Unatakiwa ujue kuwa mchele wa Mbeya ndio una demand kubwa sokoni ijapokuwa kuna michele toka moro, moshi n.k! Hii ina maana kuwa mke mrembo lazima atapendwa na vidume wengi mtaani na atatongozwa sana na hataweza kuwakatalia wote!

Unapooa mke mzuri haina tofauti na kulima shamba la miwa jirani na shule. Lazma kuna muda wanafunzi watakuja kuikwanyua tu na haikwepeki!

Tunaooa wanawake wa kawaida msituone hatuna akili jamani!
Acha uongo inamaana wanawake wote wazuri wana tabia moja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa nilitaka tu kumuonyesha kuwa mke anaweza kuwa mzuri kuliko hata mama katika muktadha wa umbo, sura na hata rangi. Yeye alisema nimemtusi baba yangu kisa nimesema ukoo mzima mm ndo bro na mke mzuri, akitaka kutuaminisha kama mama ndo mzuri wa mwanzo duniani. Hapa hakuwa sawa mama ana nafasi yake kubwa na umuhim mkubwa lakini kiumbo, sura aweza akapitwa na mkwe wake
Kweli hujawahi sikia mama anakwambia mwanangu unatafuta mkamwana wakuonekana sii kujiokotea tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie mbadilishane akuongeze na hela[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]

Sichenji buku kwa njaa ya siku moja
 
Hayo hayo ya sura na umbo! Unatakiwa ujue kuwa mchele wa Mbeya ndio una demand kubwa sokoni ijapokuwa kuna michele toka moro, moshi n.k! Hii ina maana kuwa mke mrembo lazima atapendwa na vidume wengi mtaani na atatongozwa sana na hataweza kuwakatalia wote!

Unapooa mke mzuri haina tofauti na kulima shamba la miwa jirani na shule. Lazma kuna muda wanafunzi watakuja kuikwanyua tu na haikwepeki!

Tunaooa wanawake wa kawaida msituone hatuna akili jamani!
hahaha [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Habari zenu wana MMU. Kiukweli katika ukoo wetu wote hakuna mwanamme aliyeowa mwanamke mzuri kunizidi mimi, yaani kaka zangu, wajomba na macousins wote wake wao ni wakaida sana, ni mm ndo nimebahatika kupata mtoto wa kike aliekamilika. Sasa chakushangaza ni kwamba kuna cousin yangu mmoja hatukuwa friend kiivyo ila tangia nioe naona urafiki kama umeongezeka flani halafu kwangu anatia timu sana, hadi naanza kupata wasiwasi ila nikimuuliza wife vipi huyu jamaa anakuja pia nikiwa sipo, kwa maelezo yake ni kama mara mbili tu amewahi kuja nikiwa sipo home ila hakukaa sana akasepa. Mimi kwa kweli nishaanza kuwa na mashaka maana mke wangu masha Allah na ukaribu huu jamaa anaonanaonyesha kwangu nahisi anatafuta sababu azoeleke hapa home ili awe na nafasi ya kuja hapa mda wowote. Ila wadau naenda kuharamika niweke CCTV camera kwa siri na nikija kuona lolote baya hakiamumgu namchinja kama kuku.
Yaani ukoo wenu ni washamba kweli kwani mnatokea sehemu gani hapa tz? Bila shaka utakuwa umeoa changu ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mie nashanga kwakweli ukiona hivyo tmbua alitoswa na mrembo, au alipachika mimba akasusiwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuacha kashindwa wapambane na hali zao

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani watu wanashangaza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ndio maana wanawake wa humu kutwa kujisemea wana sura za baba zao ili kuonekana wife material. Mzuri mzuri na mbaya mbaya tu tabia haihusiani na sura wala umbo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom