Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

Kupiga picha unakuwa unaangalia, unapiga kwa kuvizia mfano mim juzi nilipewa task ya kupiga picha kanisa au msikiti, nikaenda nikasimama mbali sana nikapiga picha kanisa badae wakataka nipige na kibao chake na kibao kilikuwa ndani nikaamua kupiga picha rami nikasubmitt, kesho yake mpunga ukaingia kama kawaida ukaongeza balance
Mkuu samahani hiyo application yake inaitwaje
 
Back
Top Bottom