Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

Hii imekaaje naulizwa hapa au

IMG_20220519_230104_100.JPG
 
Mkuu nadhan siku 23 tayar tunomba mrejesho please vp hio laki 2 ya pili umefanikiwa kuitoa? Vp hujaanza kuwekeza faida yao? Ushuhuda wenu ndio utatuokoa wengine
Ni full kuwindana mkuu, hakuna namna
Nimeshatoa mara ya kwanza, nasubiri siku 23 zingine zipite nitoe laki mbili ya pili, baada ya apo ata wakinipiga bado nakua nmefaidika
 
Nikishafika hii hatua ya kutoa, nikitoa buku 4 yenyewe inaleta mia 4, shida sijui ni nn
 

Attachments

  • 20220524_084714.jpg
    20220524_084714.jpg
    58.8 KB · Views: 62
Mkuu hii unakuwa unajibu tu maswali ya kawaida tu kun, kuna muda wanaweza kukwambia uwende ukapihe picha maktaba, kituo cha mabasi, au chuo, hizo ndo zina hela kubwa mfano 350, 400, ila ya maswali mi wananipa 60 kila nikijibu ila baada ya masaa 72, muda unaweza kumaliza ata mwezi ila speed ya kujibu kwako
Ishu ipo kwenye kupga picha baadhi ya vitu Ndo shida
 
Ishu ipo kwenye kupga picha baadhi ya vitu Ndo shida
Kupiga picha unakuwa unaangalia, unapiga kwa kuvizia mfano mim juzi nilipewa task ya kupiga picha kanisa au msikiti, nikaenda nikasimama mbali sana nikapiga picha kanisa badae wakataka nipige na kibao chake na kibao kilikuwa ndani nikaamua kupiga picha rami nikasubmitt, kesho yake mpunga ukaingia kama kawaida ukaongeza balance
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom