Nipeni mawazo kwenye hili

Nipeni mawazo kwenye hili

Mahusiano ya ckuiz bila pesa hayaendi kbsa, ukishindwa kumpa hiyo elfu 25 just imetoka hiyo.Wanawake wa ckuiz hawanaga muda mchafu na mwanaume asiye na pesa.

Sasa ichukulie hiyo Kama changamoto.Achana na mapenzi kwanza Kisha utafute pesa kwa hasira.Ukishaanza kuwa nazo tu utaona mademu wenyewe wanakutafuta.
 
25k kama ndo unaanza life kubwa sana ila kama uko moderate mfanyie mpango utamtumia kwa sasa mwambie sina niko vibaya nikipata nitakutumia atakuambia basi acha mi nafanya mpango mwingine siku nyingine mtumie ila ilibidi ujizoeshe kutuma ili usibanwe kama hivi leo ungekua na mazoea ya kumtumia then akuombe hivyo ungesema tu sina ila zaidi ya hapo utaonekana mswahili
shukrani mkuu ni mwezi huu tu ndio mambo hayajaenda sawa..nikivuka nae hapa mambo yatakuwa poa tu
 
Sharti la kwanza, siku zote ukiandikiwa msg ya nikuombe ama nikwambie kitu, usiijibu ikiwezekana zima na simu endapo uwezo wako utakuwa ni wa kudema dema.
 
Mkuu huyu tuko kwenye mahusiano kama mwezi na ni mdada ana kazi yake nzuri tu

sasa nashanga kuniambia hana 25k

Ndio nawaza labda ananitafutia sababu nini
Toa hela, acha kutafuta sababu za kuachwa
 
Sharti la kwanza, siku zote ukiandikiwa msg ya nikiombe ama nikwambie kitu, usiijibu ikiwezekana zima na simu endapo uwezo wako utakuwa ni wa kudema dema.
Hahaha sawa ila sikutegemea kabisaa mkuu muda huo maana tulikuwa mada tofauti kabisa na ni leo asubuhi -sasa asubuhi kuomba hela wapi na wapi

Na mimi ndio nilianza kumtafuta
 
Niko na mahusiano na huyu binti kama mwezi hivi.

Na hajawahi niomba hela
Leo ameniomba 25k

Lakini hali yangu sio poa,na nimeogopa kumwambia ukweli kuwa sina.

Kwa sababu nikimwambia ukweli kuwa sina nahisi tutakuwa tumefika mwisho

Sasa nimemuhaidi baadae lakini nafikiria kumblock-kama defensive mechanism nisiumie kivilee

Sema nimejifunza kitu kuwa kwa hali yangu ya kiuchumi, uwezo wa kutoa hela kwa babies sinao bado

Sasa nawaza je, nitakuwa sahihiView attachment 2660194
Kwa sababu nikimwambia ukweli kuwa sina nahisi tutakuwa tumefika mwisho

kwani mliingia mkataba wa kupeana pesa??,why you man hamjiamini mwambie huna hela kwa kipindi hiki mbona simple tu sio wanawake wote wanataka hela kwa wanaume unaweza mwambia na akakuelewa na penzi likaendelea,ukimblock nafsi itakusuta alafu kwani hapajui kwako si atakuja kukudai hukohuko maghetoni ...afu acha kulala amka ukateseke
 
Kumbe ni demu wako!!
Toa hela kijana

Me hela ya kikoba natoa mwenyewe
Sitaki ushirika na mtu kabisa.
Kwenye kuvunja nile matunda yangu mwenyewe.
Kwanza sijawahi kuomba pesa ya kikoba

Nakomaa mwenyewe,nitaomba za vocha nk.
 
Tafuta fweza kijana ndo uhusiane kwa furaha na wanawake
IMG-20230610-WA0005.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom