mpaka kuombwa yeye kuna wasela kadhaa kama yeye washaombwa. Kati ya 5 mmoja lazima atatuma. Ikitokea wengine wakatuma ni faida kwa muombaji.
Kuna demu niliwahi kumrekebishia simu yake, msg zilikuwa zinagoma kutuma. Nilichokutana nacho whatsapp ana broadcasting group yenye namba kadhaa. Maudhui ya humo ni moja tu. My naomba nitumie (kiasi kadhaa) halafu inatumwa. Sasa hapo kuna wataouchuna, kuna watakaotuma nusu na wapo ambao watatuma yote.
Mwisho wa siku ukiona umeombwa hela usijiumize sana maana kuna wengine kama wewe wameombwa pia hivyo ukiuchuna wewe mwingine atamaliza.