Black Bolt
JF-Expert Member
- Jun 5, 2021
- 257
- 418
Mwezi mzima ndio kamuomba pesa huyo sio ombaomba hapo tatizo ni Mwanaume Hana pesa#kataaa omba omba ..tembe na hashtag iyo chifuuu utanishkru badae[emoji2]
Mwezi mzima ndio kamuomba pesa huyo sio ombaomba hapo tatizo ni Mwanaume Hana pesa#kataaa omba omba ..tembe na hashtag iyo chifuuu utanishkru badae[emoji2]
[emoji23][emoji23] sasa kwann unamucha mkuu si ungesubil uone uvumilivu wake utaishia wapiIla huyu ananivulimilia Sana yaani ni mke wakuoa ingekuwa na kapesa kadogo tu love ingekuwa shatashata ila tatizo mimi Sina pesa kabisa so hata hizo ndogo zinanipa mishindo [emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3] amna nilikuwa nahisi ataona nazingua na ataniblock..sasa ili nisiumie nilitaka nimblock mimi mapemaYaani unashindwa kumwambia ukweli kwamba atakunyonga ama[emoji848][emoji3]
Nimesema bado Niko nae nimemuacha leo Kesho tumerudiana[emoji23][emoji23] sasa kwann unamucha mkuu si ungesubil uone uvumilivu wake utaishia wapi