Nipeni mawazo kwenye hili

Nipeni mawazo kwenye hili

🤣🤣🤣🤣
Usije jaribu kunisaliti tafadhali sana naomba, kwa sasa bado najitahidi kuishi kwenye principles zilezile, ila bado sijajua yajayo, I can't promise anything..!!🤭
🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Vijana tafuteni hela kabla ya kuingia kwenye mahusiano

Hakuna mbususu ya bure.

Hivi unapataje nguvu ya kutongoza na kibunda hauna
 
Last born bhana🤣😄,weka sura mbuzi Sina ni hatari kuingia kwenye madeni kwenye kitu ambazo hakikuingizii akikuchunia jiremove kwenye mfumo
 
MKuu kama huna sema huna acha maisha ya maigizo.
Ukweli utakuweka huruu. Kama atakukimbia kisa huna na aende aje anejua hal yako
 
Kama unahofia kuonekana low, mwambie "kwa sasa sina nitafanya vibaruabarua nikipata nitakupa"

Ila kumbuka usije ukampa hata ukipata, piga kimnya na usitekeleze hiyo ahadi , hichotumia kama mtego wa kujua kakupendea hela au laha asha.

Akija kukukumbusha kuhusu ulimwambia ukipata wewe mjibu bado sijapata nikipata nitakupa .. alafu kausha . Kama kakupenda kweli ataganda na wewe ila kama yupo after money utaona anasepa mwenyewe

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Wee jamaa unachangamoto sana, pesa Huna unahangaika na mahusiano, mimi sikuhangaika nanmahusiano mpaka nilivyopata pesa, nimeanza kugonga nina miaka 26 baada ya maisha yangu kuwa bora kifedha. Nina uwezo wa kupeleka mwanamke hotel na si logde wala guest.

Tafuta pesa kwanza uufurahie ujana wako usiwe na stress wewe, achana na wanawake kwa sasa.
 
Nimetoka kuua mahusiano week iliyopita tu ila bado tupo tena mpaka sasa kutokua na pesa mahusiano utapata shida halafu hata apendi pesa Sana walanini pesa niliyompa kubwa haivuki 10,000 ila tatizo lake moja tukikaa mala asimulie stori zinazoondoka anauhitaji wa pesa ile mfano daah ningapata 60,000 nikawa naji feel Kama Sina msaada Sasa Kama anani toucher kisaikolojia nikasema Bora tubaki marafiki tu
PicsArt_06-17-10.01.09.jpg
 
Nimetoka kuua mahusiano week iliyopita tu ila bado tupo tena mpaka sasa kutokua na pesa mahusiano utapata shida halafu hata apendi pesa Sana walanini pesa niliyompa kubwa haivuki 10,000 ila tatizo lake moja tukikaa mala asimulie stori zinazoondoka anauhitaji wa pesa ile mfano daah ningapata 60,000 nikawa naji feel Kama Sina msaada Sasa Kama anani toucher kisaikolojia nikasema Bora tubaki marafiki tu
View attachment 2660762
Bila pesa changamoto sana hawa watu
 
Niko na mahusiano na huyu binti kama mwezi hivi.Na hajawahi niomba hela. Leo ameniomba 25k.

Lakini hali yangu sio poa, na nimeogopa kumwambia ukweli kuwa sina.

Kwa sababu nikimwambia ukweli kuwa sina nahisi tutakuwa tumefika mwisho.

Sasa nimemuhaidi baadae lakini nafikiria kumblock-kama defensive mechanism nisiumie kivilee.

Sema nimejifunza kitu kuwa kwa hali yangu ya kiuchumi, uwezo wa kutoa hela kwa babies sinao bado. Sasa nawaza, Je nitakuwa sahihi?

View attachment 2660194
Hilo mbona dogo mueleze ukweli kwama huna ili atafute poli jingine
 
Bila pesa changamoto sana hawa watu
Ila huyu ananivulimilia Sana yaani ni mke wakuoa ingekuwa na kapesa kadogo tu love ingekuwa shatashata ila tatizo mimi Sina pesa kabisa so hata hizo ndogo zinanipa mishindo 🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom