Nipeni mawazo kwenye hili

🐒

IMG_20230617_102112.jpg
 
Niko na mahusiano na huyu binti kama mwezi hivi.

Na hajawahi niomba hela
Leo ameniomba 25k

Lakini hali yangu sio poa,na nimeogopa kumwambia ukweli kuwa sina.

Kwa sababu nikimwambia ukweli kuwa sina nahisi tutakuwa tumefika mwisho

Sasa nimemuhaidi baadae lakini nafikiria kumblock-kama defensive mechanism nisiumie kivilee

Sema nimejifunza kitu kuwa kwa hali yangu ya kiuchumi, uwezo wa kutoa hela kwa babies sinao bado

Sasa nawaza je, nitakuwa sahihiView attachment 2660194
Hapana usimdanganye mwambie babe niko ovyo nisamehe...akinuna basi ana walakini
 
Sasa mbona unasumbua watoto wa watu kaka. Elfu 25 ndio umblock mtu? Tena ambae hajakuomba hela tangu muanze mahusiano?

Jambo la maana we jiblock mwenyewe kwenye mahusiano.
amna mkuu haikuwa planned,kuna mazingira aliyatengeneza..nikaona nisionekane fala
 
25k kama ndo unaanza life kubwa sana ila kama uko moderate mfanyie mpango utamtumia kwa sasa mwambie sina niko vibaya nikipata nitakutumia atakuambia basi acha mi nafanya mpango mwingine siku nyingine mtumie ila ilibidi ujizoeshe kutuma ili usibanwe kama hivi leo ungekua na mazoea ya kumtumia then akuombe hivyo ungesema tu sina ila zaidi ya hapo utaonekana mswahili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom