Hata Chelsea Clinton ana PhD. Lakini sijawahi ona popote akiitwa Dr. Clinton...
Si kweli mkuuPhd in Tanzania is associated with ulimbukeni au poverty mentality. Kwa wenzetu PHD aint a big deal.
Hata Chelsea Clinton ana PhD. Lakini sijawahi ona popote akiitwa Dr. Clinton...
Si kweli mkuuPhd in Tanzania is associated with ulimbukeni au poverty mentality. Kwa wenzetu PHD aint a big deal.
Na u' Professor nao una hatua kama Phd. Kwenye Phd ni tafiti ulizozifanya na kutoa majarida mbalimbali kuhusu hizo tafiti pamoja na kufundisha kwenye ulichobobea.. Juhudi na maarifa ya kufanya tafiti yanakupeleka mpaka kwenye level ya u' senior. Ukishatoka level ya u' senior ndiyo unakaribia uprofessor.professor niliwahi kusikia ni yule ambae amefanya utafiti UNIQUE sana juu ya jambo fulani, ambalo halikuwahi kufanywa hapo nyuma sana
Na amevumbua jambo ambalo lililkuwa likisumbua sana watu kwa kulifanyia utafiti wa kina
mi najua kidoogo hivyo kuhusu Professor
ASANTE MKUU KWA NYONGEZANa u' Professor nao una hatua kama Phd. Kwenye Phd ni tafiti ulizozifanya na kutoa majarida mbalimbali kuhusu hizo tafiti pamoja na kufundisha kwenye ulichobobea.. Juhudi na maarifa ya kufanya tafiti yanakupeleka mpaka kwenye level ya u' senior. Ukishatoka level ya u' senior ndiyo unakaribia uprofessor.
Mi nimekuvua jose nipe uprofesaprofessor niliwahi kusikia ni yule ambae amefanya utafiti UNIQUE sana juu ya jambo fulani, ambalo halikuwahi kufanywa hapo nyuma sana
Na amevumbua jambo ambalo lililkuwa likisumbua sana watu kwa kulifanyia utafiti wa kina
mi najua kidoogo hivyo kuhusu Professor
😂 😂 😂 😂UPROFESA WA NINI MKUU, WAKATI MIM MWENYEWE KANJANJA TU😂😂Mi nimekuvua jose nipe uprofesa
Karibu.ASANTE MKUU KWA NYONGEZA
Sawa mkuuSi kweli mkuu
MTAFITI WA UCHUMI YULE MKUU NASIKIA...Lipumba alifanya utafiti gani mkuu.
Tukirudi hapa Tanzania, requirement ya kuwa Professor ni kufanya machapisho kadhaa baada ya PhD.
Ni uamuzi tu. Siyo lazima ukiwana PhD uitwe Dr. Ni kama kwa mwalimu Nyerere lakini Magufuli haitwi mwalimu Magu japo alishakuwa mwalimu.Nimekuelewa, but kinachonitatiza nimetolea mfano Obama ana PHD lakini sikuwahi kusikia au kusoma akiitwa Doctor.
Utofauti upo wapi?
Doctor ni mtu mwenye PhD. Yaweza kuwa ya kusomea au ya heshima. Na PhD ya kusomea inapatikana baada kupata ya kwanza (Bachelor) na ya pili (Masters).Habari zenu wadau wa JF.
Hivi Ni vigezo gani hutumika mpaka mtu aitwe Proffesor au Doctor.Doctor ninayemzungumzia ni yule mwenye PHD sio hospitali.
Nimeuliza hivi kwa sababu, Tanzania mtu yeyote mwenye shahada ya uzamivu huitwa Doctor(Dr).
Lakini nimesoma biography ya Barrack Obama na Hillary Clinton na nikagundua wamesoma mpaka level ya PHD lakini sijawahi kusikia wanaitwa Doctor tofauti na hapa kwetu.
Mfano rais wetu John Pombe Magufuli ana PHD anaitwa Doctor.Obama pia ana PHD na aliwahi kufundisha Chuo kikuu ila sikuwahi kusikia akiitwa Doctor au Proffesor.
Hii imekaaje ndugu wa JF naomba kuelimishwa.
Spot on!Kwa UDSM, zamani [sina hakika kwa sasa] kuwa associate professor au professor haikuwa lazima uwe na PhD.
Wapo nawafahamu waliokuwa ma professor bila kuwa na PhD. Nadhani sasa watakuwa wameshastaafu hapo.
Pia enzi hizo hao ma university dons walikuwa na siasa zao hapo chuoni.
Kwa mujibu wa stori zao, kuna wengine walikuwa wanapendelewa katika kutunukiwa huo uprofesa. Wengine walikuwa wanabaniwa. Na kadhalika.
Vilevile, wenyewe walikuwa wanatambiana kati ya waliosoma nchi za Magharibi [US, Canada, UK, etc] na wale waliosoma nchi za Mashariki [Urusi, Chekoslovakia, Romania, Yugoslavia, nk].
Eti waliosomaga nchi za magharibi ndo walikuwa na ujiko zaidi na walikuwa wakijidai zaidi.
Hahahaaa mambo ya wasomi hayo.
Scheme of service ni moja sasa hivi na hiyo ndo requirement kwa vyuo vyote vya public. Zamani iliwezekana kuwa Prof bila PhD. Ila kwa sasa, kwanza kuwa Senior Lecturer lazima uwe tayari ulishapata PhD, na hiyo ni one rank before associate professorshipKwa UDSM, zamani [sina hakika kwa sasa] kuwa associate professor au professor haikuwa lazima uwe na PhD.
Huko Kibondo unakutana na mzungu mwenye PhD anafanya nnWazungu wengi wanapenda kuitwa majina yao ,kuna mmoja nilikua nikimwita professor hataki anataka kina lake
Ndugu umeandika huku umejaa wivu na uchungu mwingi ndani yako. Kwani MTU akiitwa Dr/Doctor/Professor wewe unapoteza nini? Wacha MTU ajivunie mafanikio yake kitaaluma. MTU kamenyeka na PhD wewe unampangia ajiiteje? **Wivu sio mzuri ndugu**Kuna tofauti kati ya:
Dr. Barrack Obama
Barrack Obama (PhD)
Tofauti hii ni kiuandishi, japo kusomeka yote yanatamkwa sawa
Jina la kwanza kitaaluma ni Daktari anaehusika na mambo ya tiba yaani Medical Doctor (MD)
Jina la pili ni Daktari katika ngazi ya elimu.
Wenzetu wameweza kutofautisha Doctor ya kutibu na Doctor ya elimu kwa kuziandika, japo zote zinajulikana ni Doctor.
Anaetakiwa kuanza na Dr kisomi ni Doctor wa Afya. Wengine wote wanatakiwa kuandika majina yao na mwisho kuongeza neno (PhD).
Kutokana na hilo madakatari (PhD) wengi walioendelea wanaongeza neno PhD mwisho wa majina yao pale tu wanapoandika kitu kitaaluma, au kutoa ushauri wa fani au kama anafundisha chuo, au kama anawasiliana na taasisi fulani kitaalamu analazimika kuongeza neno PhD ili kutambulisha level yake ya kielimu na kwamba aliyoyaandika yanaendana na taaluma au level ya mtu wa PhD. So wakati wakiwa wanafanya vingine ambavyo havihusiani na hivyo nilivyotaja hawana haja ya kutambulisha level yao ya elimu
Kwetu sisi kwanza tunakosea maana halisi ya PhD na MD Medical Doctor.
Tumeona ni fahari kuitwa Doctor, bila kujua Doctor inayozungumzwa ni ile ya PhD inayoandikwa kwenye mabano mwisho wa jina. Badala yake tumehalalisha Doctor ya Afya kuwa Doctor ya elimu, na majina yetu yanaanza na jina Dr
Jina sahihi linatakiwa
Doctor Rebecca Peter, kwenye kutamka. Lakini kwa kuandikwa jina hilo linaandikwa Rebecca Peter (PhD) na sio Dr Rebecca Peter.
Hon John Pombe Magufuli (PhD)
Kutamka tuko sawa ila kuandika ndo wengi tumeingia chaka
Baharia Chomboni (PhD)
Kwa mfano bongo full professor ni kama nani mkuuukiwa na Bachelor > Tutorial Assistant
Masters > Instructor
PhD > Lecturer
PhD ( experience ya mda mrefu as Lecturer ) > Senior Lecturer
PhD ( experience ya mda mrefu as Senior Lecturer ) > Associate Professor
PhD ( ukishafanya ma research yao ) > Full Professor
so kuna tofauti kati ya Associate Professor na Full Professor
Wengi tulionao ni Associate Professor